Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Kujistiri sio kidini zipo hata jamii wanajistiri ,sio lazima kwenu ila ukweli utabaki huwezi kujifanya kwamba unaheshimu dini za wengine ilhali unakataza mavazi ya kujistiri ,kitu ambacho hakina impact kweny maisha yako.
Wewe kwa akili yako finyu unafikiri wasiovaa baibui na ushungi hawajajistiri, poor you.
 
Waislamu wanavyuo vingi sana Tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wakasome huko kwenye vyuo vyao, wasiteseke na vyuo vya makafiri๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ukiwashauri hivi wanakuambia unauchukia uislam kumbe ndiyo best option kwa mujibu wa imani yao,hiyo imani kwa wenye nayo siyo wa kukaa pamoja na wasioamini na hizi vurugu zote duniani zinatokana na kanuni hii.

Nadhani tatizo ni elimu ya dini inawapofusha kuaminishwa kila anayewataka kutumia cha kwao hawataki ktk jamii,in short inferior complex inawatesa.
 
Naamini kila dini kuna wachafu na wasafi hata wewe unajuwa hilo, kikubwa kila mtu aheshimu Imani ya mwenzie.
Ndio maana chuo kikisema hapa lazima hijabu hata mkristo avae hijabu kingine kikisema hapa hakuna hijabu mtu asilete za kuleta kwani hilo hijabu anavaa ana ubikira gani wakati alishabikiriwa huko vaa kimini

Kila mtu asome vyuo vya dini yake atapeli watu wa dini yake kama anajifanya yeye hijabu kwenda mbele wakati hata bikra hana aende vyuo vya kiislamu huko akatapeli waislamu wenzie Morogoro Muslim University na vyuo vya kiislamu asiende vyuo vya kikristo tusiopenda unafiki kuwa vaa hata kimini kama wewe uko vizuri bikra haijabomolewa watajua waislamu wenzio ukimaliza chuo hao watakao kuoa ndio watajua kuwa hilo kama bikra iwe ulivaa kimini nk
Ukitoka chuo vaa hijabu hadi ninja kulaghai wazazi au ndugu wajue wewe bikra

Shule za na vyuo vya wagalatia wakristo havina unafiki kama vyuo vya kiislamu
 
Na harufu tunasikia sisi pia.
Ukute kajifunikiza nguo material ya mpira weeee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ au ndio anayo matatu anarudia rudia
Mbona mimi sijawahi kusikia harufu na kwa uzoefu wangu mabinti au niseme wanawakewa kiislamu ni wasafi sana
 
Watoto wasivalishwe, wasubiriwe wawe watu wazima waamue wenyewe, wanateseka sana.
Huwezi kumpangia mtu jinsi ya kumlea mtoto wake, ndio maana utaona wengine wanawavalisha watoto wao vinguo vinavyobana, wengine wanawasuka nywele watoto wa kike na was kiume,wanawatoboawilimawili kwenye masikio, mbona hawaambiwi wawaache watoto wakue
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Wanavaa star halafu baadae wanaenda kudanfa
 
Sipingani na utaratibu wa chuo maana hata hao waislamu walijua kabisa wanaenda chuo cha kikristo wanapaswa kufuata sheria. Lakini shemela mfano wako huo umechochora....huwezi kulinganisha kitimoto na hijabu
 
  • Ukiwakagua hao wavaa majuba hawana hata bikra๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ halafu wanakuambia wanajistili. Sijui na nini
  • Halafu cha kushangaza wanavidume vinawagonga (Boyfriend) halafu wanakuambia wanajistili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
What's your point? Kwa sababu hawana bikra basi watembee uchi?
 
Inamaana hujii kama linaakisi joto haswa? Kama wasingekuwa wanajipuliza yale marashi ya kiarabu wangekuwa wananuka sana kula eneo katika miili yao
Sasa hata likiakisi joto kwenye mwili wake wewe unapata shida ya nini?
 
  • Ukiwakagua hao wavaa majuba hawana hata bikra๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ halafu wanakuambia wanajistili. Sijui na nini
  • Halafu cha kushangaza wanavidume vinawagonga (Boyfriend) halafu wanakuambia wanajistili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ulisha wahi kukagua ukakosa acha chuki hao ma boyfriend uliwaona nao๐Ÿ˜’
 
Ili kuwepo ipi
 
Hizi kelele zote ni kwakuwa hapo umetajwa uislam
kiufupi mleta mada sio mwislam halfu muislam anae jielewa hawezi mpeleka mtoto wake kwenye shule zenu kwakuwa mnataratibu zenu za kidini. Huu uzi ni kupoteza muda tu na kukashfiana
 
Inamaana hujii kama linaakisi joto haswa? Kama wasingekuwa wanajipuliza yale marashi ya kiarabu wangekuwa wananuka sana kula eneo katika miili yao
Marashi yanazuia mtu kunuka.? Hata hao wasio jistiri wananuka khaswaa mtu anakaa na Rasta wiki mbili zigo hilo na hili joto maji hayapiti kwenye ngozi yake, kipi kina nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ