Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Watataka Chuo kiwaruhusu Majuba, Kisha watataka Wajengewe Msikiti hapo hapo Chuoni...Kisha watataka Ijumaa isiwe siku ya Masomo kisha watataka Wakati wa Mfungo Mchana Kusiwepo Chakula Chuo chote Kisubirie Futari! Watataka Mida ya Swala Masomo Yasimamishe....... watataka weee wataka weee.....Chuo Kizima wote wawe Waislam
🤣🤣🤣🤣

Kama huo mkakati ulishindikana chuo Cha serikali, kwa chuo Cha kanisa utawezekana? Kikubwa wajue wamefata nn bas
 
Kila kitu kina taratibu zake! Ziheshimiwe...!!!
Kama nchi ya kiislamu ikataka mavazi yasiyo stara ,dunia nzima inasema kwamba ni democray kila mtu avae atakavyo.

Chuoni kama hapo tumekubali ,il ukweli nyie ni wanafiki na mnafanya mambo bila ya kutumia akili ...Tangu lin kujifunika kichwa ikawa ni kosa katika ukristo?

Ebu angalia sanamu ya Maria kanisani unakuta imevaa hijabu ,hebu angalia wale ma'sisters ambao ni devoted servants pale tena hata shule za kikristo nimekaa pale Magamba Forest Lushoto naona wale matron wao wanavaa hijab kwa shule ya st Mazinde juu.

Kufunika kichwa haijawahi kuwa jambo geni ,ishu ni chuki.
people-praying-in-front-of-an-statue-of-the-virgin-mary-inside-the-D1X5JC.jpg
 
Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.

Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale

Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
Haya Majuba,Nikabu, ni Dress Code za Arabuni! Mpaka Leo aijalishi ni Dini gani huko Bara la Arabia wanavaa hivi. Wa africa haya ndo mavazi yetu
 
Attachments

  • IMG_2136.jpeg
    IMG_2136.jpeg
    46.9 KB · Views: 3
  • IMG_2137.png
    IMG_2137.png
    120.5 KB · Views: 3
  • IMG_2135.jpeg
    IMG_2135.jpeg
    34.7 KB · Views: 3
  • IMG_2139.jpeg
    IMG_2139.jpeg
    33.1 KB · Views: 3
  • IMG_2141.png
    IMG_2141.png
    67.9 KB · Views: 4
  • IMG_2142.jpeg
    IMG_2142.jpeg
    28 KB · Views: 3
  • IMG_2143.jpeg
    IMG_2143.jpeg
    28 KB · Views: 4
Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.

Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale

Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
Punguza migemko, walipotaka lujiunga na chuo walipewa joining instructions hawakuona dress code hazoruhusu hilo? Au hawakujua kama ni chuo cha kanisa nyie mnaita makafiri!?
 
🤣🤣🤣🤣

Kama huo mkakati ulishindikana chuo Cha serikali, kwa chuo Cha kanisa utawezekana? Kikubwa wajue wamefata nn bas
Kuna Mwaka pale St. Anthony Secondary School Mbagala- Wakataka kwenye Nembo ya Shule Watoto wa Kiislam Nembo yao isiwe na alama ya Msalaba !! Mkuu wa Shule akawaambia Asietaka mtoto ake Logo ya Shati yake isiwe na Msalaba , Amtafutie Mtoto shule ingine😂..... Wangekuja omba Watoto wao wapewe pa Kuswalia, Mabinti wavae majuba .... the list of Demands goes on and on
 
Punguza migemko, walipotaka lujiunga na chuo walipewa joining instructions hawakuona dress code hazoruhusu hilo? Au hawakujua kama ni chuo cha kanisa nyie mnaita makafiri!?
Onyesha joining instructions! Acha Uongo chuo hicho pakiwa na shoga ,hawawezi kumfukuza kwa tabia yake utasikia haki za binadamu.

Onyesha joining instructions ,Dressing code hakuna chuo kimechambua hakuna chuo kinakataza mavazi ya stara.

Vyuo vya kidini kwa ngazi ya chini haswa za kikristo ,hata sketi zao ni ndefu acha uongo.
 
Kama nchi ya kiislamu ikataka mavazi yasiyo stara ,dunia nzima inasema kwamba ni democray kila mtu avae atakavyo.

Chuoni kama hapo tumekubali ,il ukweli nyie ni wanafiki na mnafanya mambo bila ya kutumia akili ...Tangu lin kujifunika kichwa ikawa ni kosa katika ukristo?

Ebu angalia sanamu ya Maria kanisani unakuta imevaa hijabu ,hebu angalia wale ma'sisters ambao ni devoted servants pale tena hata shule za kikristo nimekaa pale Magamba Forest Lushoto naona wale matron wao wanavaa hijab kwa shule ya st Mazinde juu.

Kufunika kichwa haijawahi kuwa jambo geni ,ishu ni chuki.View attachment 2919705
Hapo tu baadhi ya waislamu ndio huwa mnanichosha.
Neno stara kwako umetafasiri ni ushungi, je kama wanataka kuvaa niqabu, zile nguo zenu za kufunika tu unabakia macho!?
Huwa mnakurupuka kweli sijui ndio
dini yenu imewafundisha muache kutumia logic hata kidogo linapikuja suala la dini
 
Kwa kuvaa Hijab Tu Je mvaaji ataenda Peponi??
Wapi nimekuambia ataenda peponi kila binadamu ana dhambi ! Unafiki wenu eti ooh mnaheshimu dini za wengine 😅😅

Nyie ni wanafiki wakubwa kama unaheshimu dini za wengine kwa nn unakataa asivae mavazi yake ? Akija shoga hapo mnampkea maana ni ndugu yenu.😅
 
Hapo tu baadhi ya waislamu ndio huwa mnanichosha.
Neno stara kwako umetafasiri ni ushungi, je kama wanataka kuvaa niqabu, zile nguo zenu za kufunika tu unabakia macho!?
Huwa mnakurupuka kweli sijui ndio
dini yenu imewafundisha muache kutumia logic hata kidogo linapikuja suala la dini
Unaelewa maana ya stara ?wnavaa vile kuepuka bughuzi kama kutongozwa hovyo huku barabarani sio lazima kisheria kuvaa ....ila kujifunika kichwa either kwa kanga hata nyasi ni lazima hata kweny ukristo .
 
Kutongozwa wakiwa wamevaa hizo niqabu na kutongozwa wakiwa hawajavaa kuna tofauti gani!?
Swali hawakujua hicho ni chuo cha makafiri!?
 
Yap wanazitumia kuficha nyoka aka snake 🐉
Wafate kanuni za chuo au waende wakasome kwenye vyuo vyao vya kiislqm vya afya,Kama wanavyo lakini.
jaribu kuficha chuki zako wee bibi, stress za usimbe hizi #uglyassfeministbyaatch
 
Hicho chuo kimesajiliwa kwa mrengo wa kudahili wanafunzi wa kikiristo pekee?
kila chuo kina sheria na taratibu zake kuna vyuo na shule vinafuga mpaka kitimoto na wanafunzi wote wapo zamu kuwalisha na kufanya usafi

kwenye shule za upili za kiislamu ukimpeleka mwanao haijalishi ni mfia kristo namna gani kama ni wa kike atavaa ushungi na nguo nyingine za kuendana na hizo ni taratibu walizo jiwekea

ukisoma shule au chuo kinacho milikiwa na dini fata taratibu zao kama kina pingana na Imani yako kwa nn usiende kule utakakokua huru?
 
Nan kaandika ushungi ? Wapi nimeandika ushungi?

Kwanza mpumbavu mama ako! Kuweni na aibu eti mnaheshimu dini za kwa hiyo mnaweza kukubali mashoga kuliko mtu kuvaa stara?

Nionyeshe wapi nimeandika ushungi? Usiwe mjinga hujui hata kuandika.!
Hiyo sanamu ya Maria ni wapi umeona imeficha sura ikabakiza macho tu!?
Logic yako wakionyesha sura wanatongozwa sana, hizo niqabu zinazuia nini wasitongozwe!?
 
Kutongozwa wakiwa wamevaa hizo niqabu na kutongozwa wakiwa hawajavaa kuna tofauti gani!?
Swali hawakujua hicho ni chuo cha makafiri!?
Elewa maana ya bughuzi kuanzia kichwa yaani nywele ,kuleta mvuto na ushawishi ,nywele kwa mwanamke ni pamb hata sehemu yake kubwa ya mwili ni pambo.

Kanisani palikatazwa watu kuonyesha mapambo kama nywele zao kama unabisha nakuletea andiko hapa!?

Ushawishi katika kuleta matatizo ,kumbuka mwanamke ni mtu wa aibu angalau akibaa stara inaweza kupunguza vishawishi vya kutongozwa.

Kutongozwa ni kawaida ila anapunguza pia ni kisheria ,kuvaa stara katika dini hata mila za Mtanzania.
 
Back
Top Bottom