Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Mkuu hio sio hijabu ni vazi la kiyahudi kumbuka uyahudi upo kabla ya mudi kuanzisha uislam
Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.

Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale

Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
 
Hiyo sanamu ya Maria ni wapi umeona imeficha sura ikabakiza macho tu!?
Logic yako wakionyesha sura wanatongozwa sana, hizo niqabu zinazuia nini wasitongozwe!?
Kwa hiyo stara ni kuvaa niqad tu 😅😅naongelea kujifunika kichwa na sheria za kisheria .
Niqab sio lazima ila kujifunika kichawa hata kwa kanga.

Hawa ndio kioo cha ukristo👇

people-praying-in-front-of-an-statue-of-the-virgin-mary-inside-the-D1X5JC.jpg
 
Kuna Mwaka pale St. Anthony Secondary School Mbagala- Wakataka kwenye Nembo ya Shule Watoto wa Kiislam Nembo yao isiwe na alama ya Msalaba !! Mkuu wa Shule akawaambia Asietaka mtoto ake Logo ya Shati yake isiwe na Msalaba , Amtafutie Mtoto shule ingine😂..... Wangekuja omba Watoto wao wapewe pa Kuswalia, Mabinti wavae majuba .... the list of Demands goes on and on
Mkuu sorry nje mada kidogo! Hv kuna kipindi nliskiaga wanadai mahakama ya kadhi🤔hivi ndo inakuaje? Wanahukumu kwa kutumia torati? Magereza yao ni hii hii ya kwetu? Hakimu ni nan
🙏🙏🙏🙏
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Kadhalika wanafunzi wa kikristo wanalazimishwa kuvaa ushungi MUM pamoja na serikali kutoa uhuru kwa wanafunzi kuvaa watakavyo
 
Mkuu hio sio hijabu ni vazi la kiyahudi kumbuka uyahudi upo kabla ya mudi kuanzisha uislam
Hijab ni nn?😅😅 Utakataa

Hijab ni jina tu ila unatakiwa kujistiri hata kwa majani sehemu za kisheria ,ndio maana kutia wudhu kweny uislamu sio lazima utumie maji hata mchanga safi pia inaenda.

Ishu ni vazi la kujistiri sio jina la vazi kama mtu hana hela ya kununua ,je avae nn? Hata kanga unavaa ...
 
Kwa ugomvi wa kuiba vitu mpo vizuri mlishamuiba hadi Yesu mkampachika jina issa hivyo sishangai vazi hilo mmeiba mkalipachika jina hijab

Hata nguruwe mnakula pale mtakapokua na njaa na hamna msosi mwingine anyway haka ni ka mfano tu kama ka mfano ka kutia uthuu ulikokatoa
Hijab ni nn?😅😅 Utakataa

Hijab ni jina tu ila unatakiwa kujistiri hata kwa majani sehemu za kisheria ,ndio maana kutia wudhu kweny uislamu sio lazima utumie maji hata mchanga safi pia inaenda.

Ishu ni vazi la kujistiri sio jina la vazi kama mtu hana hela ya kununua ,je avae nn? Hata kanga unavaa ...
 
Elewa maana ya bughuzi kuanzia kichwa yaani nywele ,kuleta mvuto na ushawishi ,nywele kwa mwanamke ni pamb hata sehemu yake kubwa ya mwili ni pambo.

Kanisani palikatazwa watu kuonyesha mapambo kama nywele zao kama unabisha nakuletea andiko hapa!?

Ushawishi katika kuleta matatizo ,kumbuka mwanamke ni mtu wa aibu angalau akibaa stara inaweza kupunguza vishawishi vya kutongozwa.

Kutongozwa ni kawaida ila anapunguza pia ni kisheria ,kuvaa stara katika dini hata mila za Mtanzania.
Sawa ipo kwenye biblia unaelewa content na context yake!?
Bible sio quran rafiki kuna baadhi ya vitu ni tamaduni tu wala sio Mungu anaangalia niqabu.
Makanisa mengi ya kicatholic yanasisitizs mavazi ya heshima kulingana na tamaduni zetu kuvaa nguo fupi, kuvaa suruali hairuhusiwi ila kuficha uso ni utamaduni wa wayajudi.
Hata hapo Sauti na bugando vyuoni wana mavazi yao ya heshima sauti huwezi vaa suruali kuingia kwenye vipindi
 
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungu.

Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shuni zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Kama ni cha dini ni vyema wafanye mpango wahamie chuo kinachovaa kwa kufuata maadili ya dini yao.
kwa mapendekezo ya chuo wanaweza kuomba pale kibaha mpakani,pale na chuoni wakristo wanalazimika kufunga ushungi ilimradi umekubali kujiunga chuoni hapo kama mwanafunzi au mfanyakazi.
 
Je hii ni kwa sababu gani, ni kulazimishwa na wazazi, walezi na vyuo vya kiimani lakini wakitoka chini ya ulezi wa mamlaka hizo basi kina dada wanaacha kuvaa ndiyo maana hatuoni hijab hizo.
Inasemekana hara huko ilikotoka dini wameanza kuachana na huo uvaaji ili kila awe huru aishi atakavyo
 
Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.

Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale

Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
Kwa hiyo wewe umejiunga na chuo kwa kuvutiwa na mavazi ya sanamu?
Sasa wenye chuo chao wanakutaka uvae wanavyotaka, kama unaona karaa hamia sehemu inayokupa raha.
 
Ukiwa na akili finyu kila kitu utalalamika tu kwamba unaonewa!

kila sehemu ina utaratibu wake. ukifika kwenye familia yangu lazima ufuate taratibu zangu, taratibu za familia yako utazifuata ukiwa kwako.

Kama unaona hao watoto wanaonewa, wapeleke sehemu sahihi ambayo wataweza kushiriki Imani ya dini yao pasipo shida.
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Kuna, watangazaji wa, Al Jazeera, Hodar Abdel Hamid, na mwingine anahetangazia Refah,hawa kwanza, wana nywele ndeefu za, kiarab na, hawavai maushungi!
 
Mimi bado mpaka leo nailaumu Serikali kwa kuruhusu vazi la Hijab kwenye shule za msingi na sekondari! Kwenye vyuo sina tatizo maana pale ni watu wazima wana uhuru wa kuchagua!
Walimu wengi shule za msingi wanasema wazi hakuna watu wachafu kwenye vichwa kama watoto wa kike wa kiislamu ukifungua kile kihijabu kichwani nywele kama vichaa kuna wakati walijaribu kuendesha hilo zoezi kukagua usafi wa vichwa kwa kulazimisha wakichokutana nacho ni uchafu balaa mtoto anaosha uso tu anavaa hijabu

Zoezi likaleta tafaruku wazazi kuja juu kuwa hawataki watoto wao wafunuliwe hijack hao shule za msingi kukaguliwa kichwani
Shida yote hiyo waziri aliyesababisha hayo akiwa waziri wa Elimiu n iMwislamu Proffesa Kapuya .Huo ndio Ubuntu mkubwa alioubuni aliokuwa akitamba nao misikitini kuwa kaleta mabadiliko makubwa kwenye Elimu kwa kuhakikisha Watoto wa kite wa kiislamu wanavaa hijabu na akatoa take kuwa walimu wakuu wahakikishe watoto wa like ea kiislamu wanavaa hijabu akitaka kugeuza walimu wakuu wawe ma Ayatollah au maimamu bila kujali waziristan au la wasimamie hilo.Uzuri walipuuza kuwa wao kazi kupokea mwanafunzi akivaa uniform ya hijabu sawa asipovaa sawa.Na wako wazazi waislamu kibao watoto wao huenda shule za msingi kawaida bila hijabu

Anyway kifupi hiyo ndiyo Shida ya baadhi ya waislamu akikaa popote kichwa chake badala ya kuwaza hapa kazi tu anawaza kugeuza hilo eneo lake kuwa ni Islamic State la kutiririka aya za kuruani liwe chuo,shule,taasisi nk ndio maana shule nyingi za kiislamu hufanya vibaya kwenye mitihani likiwemo hadi somo lenyewe la Islamic knowledge inakuwa too much kwa watoto mazingira yanakuwa katili na confusing huku anasoma Mason ya kuandika ya kawaida kutoka kushoto kwenda kulia huku kwenye Masomo ya kiislamu anakomaliwa na viboko aandike kiarabu kutoka kulia kwenda kushoto huku akariri kuruani kwa viboko huku akariri Masomo ya kawaida mzigo unakuwa mzito sana kwake ndio maana wanafeli sana
Hao wanachuo wanataka kugeuza chuo cha watu Islamic state.Hamas wapigania sharia za Allah chuoni.
 
Chuo kinafanya ukatili mkubwa sana, wapewe uhuru wao wa kuabudu.
 
Kwa hiyo stara ni kuvaa niqad tu 😅😅naongelea kujifunika kichwa na sheria za kisheria .
Niqab sio lazima ila kujifunika kichawa hata kwa kanga.

Hawa ndio kioo cha ukristo👇

View attachment 2919722
Waislamu nadhani mmekalilishwa utamaduni wa mudi ndio uislamu kuanzia lugha kiarabu, mavazi(kanzu na niqabu) mpaka kukosa elimu(mtume hakujua kusoma mkaita elimu ya makafiri).
Msingi wa ukristo ni kumkubali yesu ndio bwana na mwokozi wa maisha yetu na sheria za kristo(Yesu) ni amri kumi za Mungu katika hizo hakuna kipengele cha hijabu, kitimoto wala lugha.
 
Sawa ipo kwenye biblia unaelewa content na context yake!?
Bible sio quran rafiki kuna baadhi ya vitu ni tamaduni tu wala sio Mungu anaangalia niqabu.
Makanisa mengi ya kicatholic yanasisitizs mavazi ya heshima kulingana na tamaduni zetu kuvaa nguo fupi, kuvaa suruali hairuhusiwi ila kuficha uso ni utamaduni wa wayajudi.
Hata hapo Sauti na bugando vyuoni wana mavazi yao ya heshima sauti huwezi vaa suruali kuingia kwenye vipindi
Mavazi ya heshima ya kanisani yap? Sasa Qur an imeeleza mavazi hayo ya heshima jinsi gani ya kujistiri.

Qur an haijawahi kuandika kitu kwa tamaduni fulani ,kila kitu kinalingana na sehemu husika mfano kujistiri kisheria hawakutaja hijab wala niqab...Ila mavazi hayo ni maalumu mtu kujistiri hata utumie kanga , gauni refu na kufunika kichwa ni sawa.

Jamii husika ndio inachagua ivae vipi kam utekelezaji kisheria ila kufia lengo , kaangalie wanavyovaa yale mavazi pale vatican then niambie pameandikwa wapi kweny biblia? Ishu ya mavazi ni chaguo ili kufikia lengo kwa vile ukivaa hijab upo ndani ya kujistiri sio kosa ,hata uvae kanga ni mulemule.

Qur an haya hata kweny mida haijataka saa fulani, bali dalili za kimazingira ya dunia kama kuchomoza kwa juu basi ni mda fulani ,kuandama kwa mwezi basi ni dalili ya kuingia mwezi mwingine.

Sasa kama kweli mnafuata hayo mavazi ,vile vimini vya nn tena ? Biblia inasema mwanaume asizae mavazi ya kufanana na mwanamke and vice versa.

Chuoni kuna dressing code ila sio wote wafuata ,je umejua chuo kimepiga marufuku mavazi gan?
 
Back
Top Bottom