Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

😅😅😅Umepanic dogo basi kufunika kichwa kweny ukristo ni amri seme hamtaki 😅.

Hili andiko linatoka wapi tena ni agano jipya 👇👇
1 Wakorintho 11:5

"Lakini kila mwanamke anayeomba au kuhubiri bila kufunika kichwa chake, anamdharau yeye mwenyewe, kwa maana ni sawa na kufinyilia nywele zake."

Mambo mengi mnaenda against Bible imekataza ushoga ,ile nyie mnaruhusu ,je mnafuata kitabu gani?
Achana na tafsiri ya biblia utajipotosha mpaka kesho.
Wakristo hawaishi kwa torati , wanaishi kwa neema.
Torati ukitaka ishike yote, Yesu alikuja kuitilikliza na
 
Hilo ni agano jipya 😅😅
Mpagani Accumen Mo nakufunza leo tu, wewe na wapuuzi wengine msirudie kusoma Biblia na vimistari mnavolishana kwenye magroup yenu ya Anti-christ.

Lakini kwa nini nywele ilikuwa suala katika Korintho? Jibu liko katika utamaduni wa siku. Jiji la Korintho lilikuwa na hekalu lililotolea kwa Masemenya, mungu wa upendo, na mahali hapo hapakuwa maharufu kwa mazoezi ya tambiko la ukahaba.

Wanawake waliohudumu katika hekalu hilo walikuwa wananyolewa vichwa vyao. Katika utamaduni wa Korintho, basi, kichwa kilichonyolewa kiliashiria mwanamke kama kahaba wa hekalu. Paulo anaiambia kanisa kwamba mwanamke aliyekuwa amenyolewa lazima afunikwe (1 Wakorintho 11: 6), kwa maana mwanamke aliyekuwa amenyolewa nywele zake alikuwa amepoteza "utukufu" wake, na hakuwa chini ya ulinzi wa mume.

Kichwa kilichonyolewa bila kifuniko kilituma ujumbe: "Ninakataa kujisalimisha kwa utaratibu wa Mungu." Kwa hiyo, Paulo anafundisha Wakorintho kwamba urefu wa nywele au kuvaa "kifuniko" na mwanamke ilikuwa ni dalili ya nje ya kujisalimisha kwa Mungu na mamlaka yake imara. Hii ilikuwa njia moja Kanisa la Korintho lilipaswa kuwa tofauti na utamaduni wa kipagani ulioharibika uliowazunguka (2 Wakorintho 6:17).

_______________________
Ati-Christ Accumen, soma context ya Biblia na siyo kimstari kimoja kwenye magroup yenu ya Freemason!
Kila mazingira yalikuwa na maana yake.
 
Yaani huu ujinga hauingii akilini kabisa 😅😅...Wanyolewe nywele halafu waambiwe wafunike nywele zao ?

Ukweli ni kwamba ni lazima kufunika nywele wanaohubiri ndio maana masisters wanafunika nywele zao , pale kanisani kwa sababu hata mitindo ya nywele ya kuremba haitakiwi..

Taratibu ya kusali bila ya kufunika kichwa kwa wanawake ni taratibu za kipagani ,tena kinyume cha taratibu za kanisa ...Kunyoa nywele sio tatizo katika ukristo ishu ni kuacha kichwa wazi .

Hayo maneno hapo hayana collocation kabisa kwa vile utaratibu wa kanisa ni kufunika kichwa ili kuficha nywele sio kipara kama unavyojidanganya ,au upewe maelzo ya mchungaji wako ndio utaamini ?

Kanisa halitambua hata wanawake kweny kuwa viongozi hata uende Vatican hakuna wakubwa ambao ni wanawake .
 
Mpagani Accumen Mo nakufunza leo tu, wewe na wapuuzi wengine msirudie kusoma Biblia na vimistari mnavolishana kwenye magroup yenu ya Anti-christ.

Lakini kwa nini nywele ilikuwa suala katika Korintho? Jibu liko katika utamaduni wa siku. Jiji la Korintho lilikuwa na hekalu lililotolea kwa Masemenya, mungu wa upendo, na mahali hapo hapakuwa maharufu kwa mazoezi ya tambiko la ukahaba.

Wanawake waliohudumu katika hekalu hilo walikuwa wananyolewa vichwa vyao. Katika utamaduni wa Korintho, basi, kichwa kilichonyolewa kiliashiria mwanamke kama kahaba wa hekalu. Paulo anaiambia kanisa kwamba mwanamke aliyekuwa amenyolewa lazima afunikwe (1 Wakorintho 11: 6), kwa maana mwanamke aliyekuwa amenyolewa nywele zake alikuwa amepoteza "utukufu" wake, na hakuwa chini ya ulinzi wa mume.

Kichwa kilichonyolewa bila kifuniko kilituma ujumbe: "Ninakataa kujisalimisha kwa utaratibu wa Mungu." Kwa hiyo, Paulo anafundisha Wakorintho kwamba urefu wa nywele au kuvaa "kifuniko" na mwanamke ilikuwa ni dalili ya nje ya kujisalimisha kwa Mungu na mamlaka yake imara. Hii ilikuwa njia moja Kanisa la Korintho lilipaswa kuwa tofauti na utamaduni wa kipagani ulioharibika uliowazunguka (2 Wakorintho 6:17).

_______________________
Ati-Christ Accumen, soma context ya Biblia na siyo kimstari kimoja kwenye magroup yenu ya Freemason!
Kila mazingira yalikuwa na maana yake.
Kasome hapa labda dhehebu lenu 😅😅 kujistiri ni lazima

View: https://youtu.be/notvo-s6QC4?si=cEbK_q7jo-xhoxc9
 
Mojawapo ni Iran serikali ya Iran Nusura ipinduliwe baada ya kuua msichana Mahsa akiyeonekana hajavaa hijabu.Sasa hivi wanawake wanatembea vichea wazi wamevaa jeans na hakuna wa kuwasumbua wengi wamesusa hijabu
Nadhani hata Saudi pia
 
Kasome hapa labda dhehebu lenu 😅😅 kujistiri ni lazima
Haya mambo ndiyo kama ya Laila Odinga na Ruto kuhusu kukata, Mungu angeona ulazima wa wanawake kujisitiri angewaumba hivyo mwenyewe tangu uumbaji
 
Mtu amevaa kulingana na sheria ,je mbona mnadai mnaheshimu dini nyingine?

Huu unafiki mnautoa wapi? Mara demokrasia .!
Kuheshimu dini nyingine hakuna maana ya kuweka mambo ya dini ya wengine kwako..!! Vipi kama hayo mambo yanakinzana? Haya, mwingine ataleta kitimoto, na mwingine hataki hata kusikia kuhusu kitimoto, hapo kwenye kuheshimu dini ya mwingine unataka kifanyike nini?

Heshima iliyokusudiwa si ya hivyo
 
JKT wanavaaga hayo magunia na mitandio?

POLISI NA TRAFICK wanavaaga hayo madude?

Mwambieni mkuu wa majeshi na IGP mnaonewa mnataka kuvaa hayo madude!
Umepigilia msumari penye kidonda
Ndege kama Qatar Airways ni ya nchi ya kiislamu lakini wahudumu wake huvaa vimini vinavyobana matako na nyuso wazi .

Waislamu hasa wanaume wa Tanzania shida akiona kasikio tu kako wazi ka mwanamke dude lake katikati ya mapaja linainuka
 
Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.

Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
ka dini kenu kaliona fahari kujenga misikiti, wacheni wakristo wainjoy matumiz ya sadaka zao
wao walijenga mashule na vyuo ili jamii yao inufaike

so nendeni msikitini sisi tunaenda vyuo
mkiugua mje tuwapige na pesa zenu
 
Back
Top Bottom