christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Kwani hili ni hijab au ni utamaduni wa watu wa mashariki ya kati. Sidhani kama kuna uhusiano wa dini na tamaduni za mavazi.Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.
Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale
Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690