Mavazi ya heshima ya kanisani yap? Sasa Qur an imeeleza mavazi hayo ya heshima jinsi gani ya kujistiri.
Qur an haijawahi kuandika kitu kwa tamaduni fulani ,kila kitu kinalingana na sehemu husika mfano kujistiri kisheria hawakutaja hijab wala niqab...Ila mavazi hayo ni maalumu mtu kujistiri hata utumie kanga , gauni refu na kufunika kichwa ni sawa.
Jamii husika ndio inachagua ivae vipi kam utekelezaji kisheria ila kufia lengo , kaangalie wanavyovaa yale mavazi pale vatican then niambie pameandikwa wapi kweny biblia? Ishu ya mavazi ni chaguo ili kufikia lengo kwa vile ukivaa hijab upo ndani ya kujistiri sio kosa ,hata uvae kanga ni mulemule.
Qur an haya hata kweny mida haijataka saa fulani, bali dalili za kimazingira ya dunia kama kuchomoza kwa juu basi ni mda fulani ,kuandama kwa mwezi basi ni dalili ya kuingia mwezi mwingine.
Sasa kama kweli mnafuata hayo mavazi ,vile vimini vya nn tena ? Biblia inasema mwanaume asizae mavazi ya kufanana na mwanamke and vice versa.
Chuoni kuna dressing code ila sio wote wafuata ,je umejua chuo kimepiga marufuku mavazi gan?