Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Mavazi ya wadada wa Kiislamu yanapendeza sana , mdada anaevaa kiislam kwa kujisitiri, huwa nina mheshimu sana na kumpa thamani halisi ya mwanamke.
 
Kwani hili ni hijab au ni utamaduni wa watu wa mashariki ya kati. Sidhani kama kuna uhusiano wa dini na tamaduni za mavazi.
Kufunika kichwa kwa mavaz yoyote yale jata hijabu ndio sheria za dini yao.

Hizo suti mmetoa wapi ?
 
Nimekuambia ukristo sio sawa na uislamu ndugu.
Yesu alitahiliwa siku ya nane lakini huwezi kuta kanisa linasisitiza kutahili hizo ni tamaduni za wayahudi na sio kila kilichopo kwenye bible ni kinalenga watu wote zingine kuna mambo yanahusu tamaduni husika kuvaa, chakula nk, Yesu alifunga kula lakini huwezi kuta kanisa catholic linasisitiza kufunga kula bali kuacha matendo maovu
Tofauti ya ukristo na uislamu wakristo tunaamini tumeombolewa kwa neema na kufika mbinguni ni kwa neema na kupotia yesu kristo ninyi manaamini kufika mbinguni ni kwa jitihada zenu kufuata sheria, kufunga nk.
Ndio maana nakuambia ukristo ni tamaduni za wazungu wala sio biblia .

Sasa hilo neno tu ukristo mmelitoa wapi?
 
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungi.

Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shungi zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Mavazi ya wadada wa Kiislamu yanapendeza sana , mdada anaevaa kiislam kwa kujisitiri, huwa nina mheshimu sana na kumpa thamani halisi ya mwanamke.
Mwanamke wa kiislamu kujistiri inasaidia nini.hasa? Nenda maeneo wanavaa hivyo maeneo ya mikoa ya Pwani kuanzia Tanga hadi mtwara malaya hatari

Pili unakuta Mwanamke wa kiislamu anajistiri lakini mwanaume wa kiislamu dude nje nje linaparamia wanawake wa nje kuanzia waislamu ,wakristo na makafiri Dude lake halina dini
Tunaishi na nyie mitaani mtatudanganya nini? Wote shida tu na hijabu zenu na kanzu zenu
Mdanganyane huko misikitini

Kuna msemo.dar unasema ukitaka kujua mwislamu mlevi au mla kitimoto usiulize msikitimi kaulize walevi na wala kitimoto mtaani watakwambia
 
Mwambie mama yako avae ili umoe hiyo heshima ya mwanamke
Punguza hasira , wanawake wa kiislamu wanajiheshimu sna na wa stara na haiba ya kike then wanajua kupika , kwanini umepata hasira kwani nimeongea vibaya mkuu?[emoji12]
 
Nikipita sehemu kuna maduka nje wameandika VUA NICAB, mbona na mengine naona wanaouza ni masheikh na maustaadh kabisa wana ndevu ndefu zimeshuka unbali wa kifua.

Kwa nini wawatake ndg kiimani kuvua hizo kitu hata kama ni kwa usalama?.
 
Wazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!

Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
Kama uliona majini yake vaa nguo nyeusi basi wewe ni zaidi ya mchawi ingependeza kama ugetuwekea picha ya majini yalio vaa nguo nyeusi
 
Ndio maana nakuambia ukristo ni tamaduni za wazungu wala sio biblia .

Sasa hilo neno tu ukristo mmelitoa wapi?
Kristo ni yesu(christ, the anointed one, messiah, saviour, liberator).
Ukristo ni kuwa mfuasi wa Yesu,
Wakristo ni wafuasi wa Yesu.
 
Wachokozi hao
Mtu anakuja kwako, anakuta utamaduni wa kula mbuzi katoliki kwa miaka zaidi ya 20 , yeye anataka hata saani ulete mpya na usipike mbuzi katoliki? si aende kwa nduguze?

The same hawa wakimbizi wa palestina na waarabu wengine wanakimbilia ulaya na marekani alafu wanataka sheria za kiislamu zifuatwe kwa wazungu?
 
Punguza hasira , wanawake wa kiislamu wanajiheshimu sna na wa stara na haiba ya kike then wanajua kupika , kwanini umepata hasira kwani nimeongea vibaya mkuu?[emoji12]
Hata mimi sijaongea vibaya nimekuambia mwambie mama yako avae hivo umpe hiyo heshima ya mwanamke.
Na wanaeake wa kiislamu wanaongoza kutoa nyuma waige na hiyo
 

1709186193108.png
1709186193108.png
 
Back
Top Bottom