Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
🤣🤣🤣🤣Watataka Chuo kiwaruhusu Majuba, Kisha watataka Wajengewe Msikiti hapo hapo Chuoni...Kisha watataka Ijumaa isiwe siku ya Masomo kisha watataka Wakati wa Mfungo Mchana Kusiwepo Chakula Chuo chote Kisubirie Futari! Watataka Mida ya Swala Masomo Yasimamishe....... watataka weee wataka weee.....Chuo Kizima wote wawe Waislam
Kama nchi ya kiislamu ikataka mavazi yasiyo stara ,dunia nzima inasema kwamba ni democray kila mtu avae atakavyo.Kila kitu kina taratibu zake! Ziheshimiwe...!!!
Haya Majuba,Nikabu, ni Dress Code za Arabuni! Mpaka Leo aijalishi ni Dini gani huko Bara la Arabia wanavaa hivi. Wa africa haya ndo mavazi yetuIkitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.
Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale
Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
Punguza migemko, walipotaka lujiunga na chuo walipewa joining instructions hawakuona dress code hazoruhusu hilo? Au hawakujua kama ni chuo cha kanisa nyie mnaita makafiri!?Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.
Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale
Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
Waende wakasome pale Mum. Hawajalazimishwa kusoma hapoNdio Tanzania hii kuna hospital pia hazitaki mtu kuvaa stara
Haya Mahojabi ni Dress Code za Arabuni! Mpaka Leo aijalishi ni Dini gani huko Bara la Arabia wanavaa hivi. Wa africa haya ndo mavazi yetu
Kuna Mwaka pale St. Anthony Secondary School Mbagala- Wakataka kwenye Nembo ya Shule Watoto wa Kiislam Nembo yao isiwe na alama ya Msalaba !! Mkuu wa Shule akawaambia Asietaka mtoto ake Logo ya Shati yake isiwe na Msalaba , Amtafutie Mtoto shule ingine😂..... Wangekuja omba Watoto wao wapewe pa Kuswalia, Mabinti wavae majuba .... the list of Demands goes on and on🤣🤣🤣🤣
Kama huo mkakati ulishindikana chuo Cha serikali, kwa chuo Cha kanisa utawezekana? Kikubwa wajue wamefata nn bas
Onyesha joining instructions! Acha Uongo chuo hicho pakiwa na shoga ,hawawezi kumfukuza kwa tabia yake utasikia haki za binadamu.Punguza migemko, walipotaka lujiunga na chuo walipewa joining instructions hawakuona dress code hazoruhusu hilo? Au hawakujua kama ni chuo cha kanisa nyie mnaita makafiri!?
Kwa kuvaa Hijab Tu Je mvaaji ataenda Peponi??View attachment 2919714View attachment 2919715
Chuo sio cha kiafrica ni cha kikristo ,hizo ndio dressing code za wanaoabudu wakristo...Mwanamke wa mfano kweny ukristo mama ake yesu 😅 anavaa hijab
Hapo tu baadhi ya waislamu ndio huwa mnanichosha.Kama nchi ya kiislamu ikataka mavazi yasiyo stara ,dunia nzima inasema kwamba ni democray kila mtu avae atakavyo.
Chuoni kama hapo tumekubali ,il ukweli nyie ni wanafiki na mnafanya mambo bila ya kutumia akili ...Tangu lin kujifunika kichwa ikawa ni kosa katika ukristo?
Ebu angalia sanamu ya Maria kanisani unakuta imevaa hijabu ,hebu angalia wale ma'sisters ambao ni devoted servants pale tena hata shule za kikristo nimekaa pale Magamba Forest Lushoto naona wale matron wao wanavaa hijab kwa shule ya st Mazinde juu.
Kufunika kichwa haijawahi kuwa jambo geni ,ishu ni chuki.View attachment 2919705
Dress code ya Unesi??? Wakimaliza Chuo wataingia na majuba Wodini???Yap wanazitumia kuficha nyoka aka snake 🐉
Wafate kanuni za chuo au waende wakasome kwenye vyuo vyao vya kiislqm vya afya,Kama wanavyo lakini.
Wapi nimekuambia ataenda peponi kila binadamu ana dhambi ! Unafiki wenu eti ooh mnaheshimu dini za wengine 😅😅Kwa kuvaa Hijab Tu Je mvaaji ataenda Peponi??
Unaelewa maana ya stara ?wnavaa vile kuepuka bughuzi kama kutongozwa hovyo huku barabarani sio lazima kisheria kuvaa ....ila kujifunika kichwa either kwa kanga hata nyasi ni lazima hata kweny ukristo .Hapo tu baadhi ya waislamu ndio huwa mnanichosha.
Neno stara kwako umetafasiri ni ushungi, je kama wanataka kuvaa niqabu, zile nguo zenu za kufunika tu unabakia macho!?
Huwa mnakurupuka kweli sijui ndio
dini yenu imewafundisha muache kutumia logic hata kidogo linapikuja suala la dini
Kutongozwa wakiwa wamevaa hizo niqabu na kutongozwa wakiwa hawajavaa kuna tofauti gani!?Unaelewa maana ya stara ?wnavaa vile kuepuka bughuzi kama kutongozwa hovyo huku barabarani sio lazima kisheria kuvaa ....ila kujifunika kichwa either kwa kanga hata nyasi ni lazima hata kweny ukristo .
jaribu kuficha chuki zako wee bibi, stress za usimbe hizi #uglyassfeministbyaatchYap wanazitumia kuficha nyoka aka snake 🐉
Wafate kanuni za chuo au waende wakasome kwenye vyuo vyao vya kiislqm vya afya,Kama wanavyo lakini.
kila chuo kina sheria na taratibu zake kuna vyuo na shule vinafuga mpaka kitimoto na wanafunzi wote wapo zamu kuwalisha na kufanya usafiHicho chuo kimesajiliwa kwa mrengo wa kudahili wanafunzi wa kikiristo pekee?
huoni kama wewe ndio mjinga kulazimisha dada zenu wakasome chuo cha mashoga?Chuo kinamilikiwa na mashoga kwanini walienda kusoma hapo??? Ona sasa mashoga walivyokasirikaView attachment 2919719
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani kuna chuo kimoja?Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Hiyo sanamu ya Maria ni wapi umeona imeficha sura ikabakiza macho tu!?Nan kaandika ushungi ? Wapi nimeandika ushungi?
Kwanza mpumbavu mama ako! Kuweni na aibu eti mnaheshimu dini za kwa hiyo mnaweza kukubali mashoga kuliko mtu kuvaa stara?
Nionyeshe wapi nimeandika ushungi? Usiwe mjinga hujui hata kuandika.!
Elewa maana ya bughuzi kuanzia kichwa yaani nywele ,kuleta mvuto na ushawishi ,nywele kwa mwanamke ni pamb hata sehemu yake kubwa ya mwili ni pambo.Kutongozwa wakiwa wamevaa hizo niqabu na kutongozwa wakiwa hawajavaa kuna tofauti gani!?
Swali hawakujua hicho ni chuo cha makafiri!?