Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mbona unaongea uongo hapa😅😅Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike kwanza... Kanisani wanawake hawaruhusiw kuuliza maswali hata hawa prophetess ni kinyume cha Biblia .Mwanamke halindwi kiheshima anajilinda mwenyewe akipata mafunzo sahihi kwa mama yake
Kwenye Ukristo mama ndie mwenye kazi ya kufunza mtoto wa kike
Kwenye Uislamu kitu cha ajabu unakuta wanaume wa kiislamu ndio hujitia kufunza adabu na heshima wanawake na wasimamia sharia za mwanamke.wa kiislamu avaaje asipovaa wanatembeza mikwaju kana kwamba wanawake hawawezi kujisimamia na kujua kujiheshimu kukoje
Hakuna papa mwanamke katika dini yenu...Wachungaji kama wote ni wanaume hata wanaotoa mafunzo ya ndoa ...Mafundisho kule wanafundisha wanaume