Hakuna pesa ya serikali inaenda chuo chochote cha binafsi kiwe chuo cha kiislamu au cha kikristo au kisicho cha kidiniSisi waisilamu tutapeleka watoto wetu kusoma hapo tu sababu kodi yetu inaenda hapo kila mwaka muhimu ada tu sio sura yako na msalaba wako shingoni
Waislamu ndio pekoe walipewa chuo kikuu bure na serikali chuo kikuu cha Morogoro Muslim University ambacho zamani kikikuwa chuoncha TANESCO pamoja na kupewa bure wanaendesha kwa misingi ya kiislamu utafikiri wao ndio walijenga