Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

Wewe ni mwalimu dhaifu sana na usiye na maadili.Ukibanwa kidogo tu unaingia kwenye mifumo ya watoto?You need to be renourished.
 
Issue sio watoto ila ni pepo la umalaya ulilonalo.
Unashauri wazazi waongee na watoto wao hususani kwenye mahusiano.
Wewe ulitakiwa uwajibike kama mzazi na uwaite hao wazazi mshauriane kwa pamoja namna ya kuwasahauri hao wanafunzi.
Mchungaji unakula kondoo,na hao wazazi wa hao watoto huenda ni malaya na mbwa kama wewe,watawashauri nini watoto?
 
Niliita mzazi nikaongea nae mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…