Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

Habari JF,

Mimi ni mwalimu nimebahatika kufundisha shule tatu ambapo katika shule hizo nimekutana na changamoto nyingi sana kutoka kwa vijana wetu

A.mkoani lindi
kipindi nipo shule X mkoani lindi nilikutana na wamafunzi wa ajabu sana

Jambo la ajabu kabisa ni kuona mwanafunzi akimtongoza mwalimu mwanafunzi wa kike ambae ni mrembo sana nahisi hata jf hakuna kama huyo alifanikiwa kunifatilia sana na kuomba kukutana na mimi akidai kua anamazungumzo na mimi

Marakwamara nikikutana nae nikimuuliza mazungumzo gani alishindwa kujieleza

Mwisho wa siku niliamua kumpa namba ya simu kama anashida anieleze inawezekana anachangamoto za kifamilia

Mwisho wa siku nikajikuta nimejaa kwenye mfumo wake

aLitokea kunipenda sana mwisho wa siku nikaamua kumkata baada ya muda flani akataka kujiua na kesi ilitaka kufika shule lakini tukalimaliza

niliamua kupoteza mawasiliano pindi anaponitumia ujumbe wa simu

baadae tena mdada mzuri sana aliomba aje nyumbani niwe nafundisha kweli nilimkubalia kwa sababu ya uhitaji wa taaluma

Mwishowe mambo yalibadilika yule mwanafunzi akifika nyumbani ni stori za mapenzi mwisho alifanikiwa kuniteka

BAadae akatokea mwingine kwa lengo kufundishwa nae alibafilika mwisho kabisa alikua anaaga kwao anaenda shule usiku kusoma muda wa prepo kuanzia saa moja hadi saa nne na nusu usiku alikua anakuja nyumbani

Walitokea wengi sana wanarequest mwisho nikaamua kuondoka

B.PWANI
HUku pia changamoto ni ilele walijitokeza wengi sana hadi kama mwalimu nachanganyikiwa

Ndugu zangu jama jf tujitahidi kuongea na watoto wetu kuhusu mahusiano ,watoto wanaharibika sana

Bikra nyingi zipo shule na ndipo zinapoharibika kwa wanafunzi wetu

Wa aza asalam aleykum
Yaani ulikula nyara za serikali na unajitapa shenzi na pole yako tena
 
We mpumbavu sana, kwa hayo uliyoyafanya unaona ni ufahari!
Haujui hata ethics za taaluma yako.
 
Back
Top Bottom