Mkuu, nimepata hivi hapa lakini nitaendelea kutafuta zaidiMkuu, kama unavyo vya form 6 Kemia na Jiografia msaada wako pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana kamanda. Madogo washindwe wenyewe tu aisee.Mkuu, nimepata hivi hapa lakini nitaendelea kutafuta zaidi
Chemistry na Geography books
Kina title inayozidi kutuchonganisha na wale waliowahi kuiba rsilimali zetuKitabu hujakisoma lakini unakikandia? We ulisikia wapi?
Hiki ni kitabu cha Historia. Na Historia maana yake nini? Ni kumulika tulikotoka, tumefikaje hapa tulipo na tufanyeje ili kuwa na future nzuri bila kurudia makosa yale yale ya zamani.
Ni kitabu kizuri sanana kinachopendwa duniani kote - kwa wale waliokwishakisoma na kuona yaliyomo. Ndiyo maana mwandishi wake (Walter Rodney) aliuawa kwa kutegeshewa bomu kwenye gari huko kwao Guyana!
Imitation is a limitation by john mason. Nitashukuru san mkuu.Nina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapa
Modern BiologyNina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapa
Ndiyo kazi ya Historia hiyo. Kusema yaliyotokea bila kuficha...ili muendelee kuibiwa raslimali zenu vizuri tu. Afrika bara la ajabu!Kina title inayozidi kutuchonganisha na wale waliowahi kuiba rsilimali zetu
Hiki nacho kinasomwa mashuleni mkuu? Hapa tujikite na vitabu vya mashuleni na vyuoni tu. Kuna nyuzi nyingine huko za vitabu vya kawaida....Imitation is a limitation by john mason. Nitashukuru san mkuu.
Nelkon kimeshawekwa nadhani. Angalia huko juu...Mkuu Kama unayo Principals of Physics by Nelkon Cha O level, nisaidie
Sawa mkuu.Hiki nacho kinasomwa mashuleni mkuu? Hapa tujikite na vitabu vya mashuleni na vyuoni tu. Kuna nyuzi nyingine huko za vitabu vya kawaida....