Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Weka account yako ya mpesa kwa kila anayetaka kitabu aweke kiasi ila sio chini ya 500
 
Kuna habari kwamba ,hapa Tanzania Kuna vitabu vya history form five na six ambavyo serikali imevitoa kwa shule za serikali na havitolewi kwa shule binafsi.Kwamba hata mitihani ya Necta inatungwa kutoka kwenye hivyo vitabu tu.Nimejaribu kufuatilia kwa DSM lakini kila nilipoenda sijafanikiwa kuviona.Wamedai zaidi kwamba vinapatikana kwenye shule za kasikazini Kama Kisimiri na kwamba kuvipata Ni mpaka mtaaluma wa shule husika akutolee photo copy tu na si vinginevyo.Niulize tu kwamba ,Kuna ukweli wowote kuhusu jambo hili?
 
Aaaahhh....taratibu...
Itabidi tuwaombe CIA na MI6 wakishirikiana na FSB wakiwahusisha Evil Corp.
Tutakujulisha tukipata taarifa, lakini usipige simu kuuliza....
 
Kuna habari kwamba ,hapa Tanzania Kuna vitabu vya history form five na six ambavyo serikali imevitoa kwa shule za serikali na havitolewi kwa shule binafsi.Kwamba hata mitihani ya Necta inatungwa kutoka kwenye hivyo vitabu tu.Nimejaribu kufuatilia kwa DSM lakini kila nilipoenda sijafanikiwa kuviona.Wamedai zaidi kwamba vinapatikana kwenye shule za kasikazini Kama Kisimiri na kwamba kuvipata Ni mpaka mtaaluma wa shule husika akutolee photo copy tu na si vinginevyo.Niulize tu kwamba ,Kuna ukweli wowote kuhusu jambo hili?
Wewe binafsi unavyoona hiyo taarifa inaweza ikawa na ukweli?
 
Harrison's Principles of Internal Medicine 21e

Kama unacho fanya mafekeche mkuu.
 
Nina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapa
Mkuu Shadow7 nakuaminia. Kama unavyo vilivyo katika mitaala yetu hapa nyumbani anza navyo hivyo. Hata past papers za mitihani mbalimbali we weka tu. Uliweka baadhi ya vitabu vya A'level huko juu. Najua hii ni kujitolea tu na kuna ishu za bando n.k. Naweza kuchangia hela kidogo ya bando mkuu kama hilo ni tatizo. Unaweza kuja PM tukazungumza zaidi. Barikiwa mkuu [emoji1545]
 
Back
Top Bottom