Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Roger Muncaster 4th edition A-level Physics.

E. N Ramsden 4th edition A-level Chemistry.

Give me your best offer uje kuvichukua. View attachment 2046699View attachment 2046700View attachment 2046698View attachment 2046697
Mkuu hii s sehemu ya matangazo ya biashara Kama ingekuwa hvyo nadhan usingeona PDF ya vitabu humu

Kumbuka tunawasaidia watoto wa kitanzaniamasikin ambao hawana uwezo wa kuvipata hivi vitabu

Kama utapenda hicho kitabu tukipate basi kitume humu

Kama n biashara huu uzi hauko katka mlengo huo
 
Kaanzishe uzi wako uuze huko. Na kuna nyuzi nyingi za wanaouza vitabu. Kajiunge huko.

Hapa tunatoa sadaka tu kwa wadogo zetu wanaohangaika mashuleni na vyuoni huko bila vitabu vya kutosha. Weka pdf hapa kama unaweza...utalipwa huko mbele ya safari!
 
Umemaliza ban yako? Ulikosa nini? Pole na karibu tena [emoji1545]
 
Kaanzishe uzi wako uuze huko. Na kuna nyuzi nyingi za wanaouza vitabu. Kajiunge huko.

Hapa tunatoa sadaka tu kwa wadogo zetu wanaohangaika mashuleni na vyuoni huko bila vitabu vya kutosha. Weka pdf hapa kama unaweza...utalipwa huko mbele ya safari!
Man it costs nothing to be polite!

Sikuwa nikifahamu taratibu.

I've deleted my post.
 
Back
Top Bottom