kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kuskia maziwa ya unga? Jiongeze mkuu
Mkuu wa shule hana kazi hapa. Lazima atumbuliwe.
Hv umejichunguza ukaona uko sawa???kichwan au umebeba bichwa ka boga??accha kuropoka mpuuzi wewe usiye na hata chembe ya akili bwege weweUongozi wa shule hii wana shida kubwa sana mahali.
Wanasema wanafunzi hawatatoka wala kutembelewa na wazazi.
Je, waalimu nao hawata onana na watu wengine au na familia zao pia zifugiwe au wafungiwe waalimu tu?
Sanitizer nusu lita kwa mtu mmoja ni nyingi sana kwa muda mfupi wanaokaa shuleni sabuni za maji ndiyo muhimu sana kuliko sanitizer.
Kutembea na barakoa wakati wote siyo vizuri kiafya watawaumiza watoto wa watu wapate shida za mfumo wa upumuaji.
Limao ya unga sidhani kama ina virutubisho au kemikali muhimu zinazosaidia kuongeza Vitam C na wala kuondoa ute kwenye koo, shule iwaagize waje na pesa ya kununua malimao mabichi ambayo pesa wanapewa shule na kuwagawia wanafunzi limao bichi moja kila siku.
Tangawizi mbichi ndiyo bora zaidi hivyo shule ifanye kama hapo nilivyo shauri kwenye limao halisi siyo ya unga.
Mwisho waalimu wapunguze uoga, kama wanaogopa waache kazi wabakizwe waalimu vijana wenye afya wawafundishe wadogo zao badala ya kuwanyanyapaa na kuwatesa na makemili na mabarakoa kila saa.
Serikali itoe muongozo maana maagizo kama haya ni vurugu tupu, kuna wanafunzi wenye shida za ulcers na nyinginezo za tumbo au kuna wale wenye allergy na sanitizer flai wasije kulazimishwa haya makemikali ya sanitizer na malimao feki, watoto wasije wakarudi nyumbani matumbo yashatoboka na madonda ya tumbo.
Umemeliza kutukana?Hv umejichunguza ukaona uko sawa???kichwan au umebeba bichwa ka boga??accha kuropoka mpuuzi wewe usiye na hata chembe ya akili bwege wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Si uje na hoja kupinga hoja zangu kama nilivyofanya mimi kupinga au kukosoa hayo maagizo na kuweka sababu zangu(hoja).Jiongeze kidogo kufikiri. Umeropoka kihayawani.
Huna hoja we boya tu tukana kama vp bichwa hewa umejaza upepoUmemeliza kutukana?
Unafikiri nashindwa kutukana kama wewe? Naweza, tena naweza kukutukania hadi wazazi wako, babu na bibi zako.
Lakini unafikiri itaniongezea nini maishani au wewe utapata nini au umepata nini baada ya kunitukana? Jibu: Hakuna kitu zaidi ya kujishushia heshima tu mimi au wewe mtukanaji.
Kama wewe ni mmoja wa waalimu wa hiyo shule waliopanga wanafunzi waende na mahitaji hayo uje na hoja za kupinga hoja zangu kama mimi nilivyofanya nimepinga na kutoa hoja au sababu zangu kwa kila hoja niliyo kosoa.
Jinsi ulivyo jibu kwa mihemko na matusi unaonesha uwezo wako mdogo wa kufikiri na kujenga hoja.
Tanzania ilivyojaa majizi hii corona itageuka kuwa fursa ya kuibia watu
Umeandika mambo ya msingi sana serikali itoe mwongozo kwenye hili suala wakiacha kila shule ijiamulieUongozi wa shule hii wana shida kubwa sana mahali.
Wanasema wanafunzi hawatatoka wala kutembelewa na wazazi.
Je, waalimu nao hawata onana na watu wengine au na familia zao pia zifugiwe au wafungiwe waalimu tu?
Sanitizer nusu lita kwa mtu mmoja ni nyingi sana kwa muda mfupi wanaokaa shuleni sabuni za maji ndiyo muhimu sana kuliko sanitizer.
Kutembea na barakoa wakati wote siyo vizuri kiafya watawaumiza watoto wa watu wapate shida za mfumo wa upumuaji.
Limao ya unga sidhani kama ina virutubisho au kemikali muhimu zinazosaidia kuongeza Vitam C na wala kuondoa ute kwenye koo, shule iwaagize waje na pesa ya kununua malimao mabichi ambayo pesa wanapewa shule na kuwagawia wanafunzi limao bichi moja kila siku.
Tangawizi mbichi ndiyo bora zaidi hivyo shule ifanye kama hapo nilivyo shauri kwenye limao halisi siyo ya unga.
Mwisho waalimu wapunguze uoga, kama wanaogopa waache kazi wabakizwe waalimu vijana wenye afya wawafundishe wadogo zao badala ya kuwanyanyapaa na kuwatesa na makemili na mabarakoa kila saa.
Serikali itoe muongozo maana maagizo kama haya ni vurugu tupu, kuna wanafunzi wenye shida za ulcers na nyinginezo za tumbo au kuna wale wenye allergy na sanitizer flai wasije kulazimishwa haya makemikali ya sanitizer na malimao feki, watoto wasije wakarudi nyumbani matumbo yashatoboka na madonda ya tumbo.
Soma vizuri, hawaendi na malimao yenye maganda toka shambani. Wameambie waende na ya unga hi yaweza kuishi Hadi miaka 2 ndo expire dateTatizo hizo kitu zinaharibika mapema ni bora wangeeleza kuwa waende na hela wanunue huko huko zitakapohitajika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wanafunzi wasiambiwe waende na pesa ya limao na tangawizi kisha uongozi wa shule wawe wananua limao na tangawizi fresh wanawapa wanafunzi vitu vya siku moja moja au siku mbilimbili au zaidi.Soma vizuri, hawaendi na malimao yenye maganda toka shambani. Wameambie waende na ya unga hi yaweza kuishi Hadi miaka 2 ndo expire date
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Limao inawasaidia hata wajawazito maana likizo ilikua ndefu sana hii