Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni

Kwa upande wa limao ya unga mmmmhhhh, ile kitu ukitaka kuona madhara yake zoea kuitumia kwa watoto wadogo. Ile ni mchanganyiko wa kemikali tupu, hakuna limao pale. Ni kama ukwaju wa azam
Ni kweli niliwahi kuambiwa kuwa una madhara ule unga sio limao wala sio ndimu halisi ila ni chemical zimechanganywa kupata radha ya limao

Hapo katika limao wamebugi ni bora wangewambia wawe na bajeti ya kununua malimao
 
Kwanini wanafunzi wasiambiwe waende na pesa ya limao na tangawizi kisha uongozi wa shule wawe wananua limao na tangawizi fresh wanawapa wanafunzi vitu vya siku moja moja au siku mbilimbili au zaidi.

Limao fresh hailingani ubora na ya unga.
Huo mradi utaharibu taaluma. Waalimu Wana njaa halafu uwape tenda ya kusupply malimao nk. Watagombania tu hiyo tenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongozi wa shule hii wana shida kubwa sana mahali.

Wanasema wanafunzi hawatatoka wala kutembelewa na wazazi.
Je, waalimu nao hawata onana na watu wengine au na familia zao pia zifugiwe au wafungiwe waalimu tu?

Sanitizer nusu lita kwa mtu mmoja ni nyingi sana kwa muda mfupi wanaokaa shuleni sabuni za maji ndiyo muhimu sana kuliko sanitizer.

Kutembea na barakoa wakati wote siyo vizuri kiafya watawaumiza watoto wa watu wapate shida za mfumo wa upumuaji.

Limao ya unga sidhani kama ina virutubisho au kemikali muhimu zinazosaidia kuongeza Vitam C na wala kuondoa ute kwenye koo, shule iwaagize waje na pesa ya kununua malimao mabichi ambayo pesa wanapewa shule na kuwagawia wanafunzi limao bichi moja kila siku.

Tangawizi mbichi ndiyo bora zaidi hivyo shule ifanye kama hapo nilivyo shauri kwenye limao halisi siyo ya unga.

Mwisho waalimu wapunguze uoga, kama wanaogopa waache kazi wabakizwe waalimu vijana wenye afya wawafundishe wadogo zao badala ya kuwanyanyapaa na kuwatesa na makemili na mabarakoa kila saa.

Serikali itoe muongozo maana maagizo kama haya ni vurugu tupu, kuna wanafunzi wenye shida za ulcers na nyinginezo za tumbo au kuna wale wenye allergy na sanitizer flai wasije kulazimishwa haya makemikali ya sanitizer na malimao feki, watoto wasije wakarudi nyumbani matumbo yashatoboka na madonda ya tumbo.
Uongozi wa shule hauna shida, shida kubwa iko kwako. Ni upumbavu kutoa ushauri huku ukiamini ushauri wako ndio sahihi zaidi.
Hoja zako ni dhaifu sana kupelekea kusema uongozi wa shule unashida.

1. Hili tangazo limetolewa kwa ajili ya wanafunzi na si kwaajili ya walimu. Walimu pia huwa wanapewa muongozo wao.

2. Sanitizer ni rahisi na haraka zaidi kutumia kuliko maji. Maji hayapatikani kila sehem, huwezi weka maji darasani wala bwenini ila sanitizer inaweza kutumika sehem yeyote.

3. Yani unajiona unaakili kabisa kupinga matumizi ya barakoa? Njia zote zikifeli barakoa ndio defence ya mwisho na ndio ina %kubwa ya kukinga maambukizi.

4. Tofauti kati ya limao fresh na unga ni water content tu basi. Kama unabisha lete uthibitisho. Vivyo hivyo kwa tangawizi.

5. Hizo ni zana ambazo mwanafunzi anatakiwa awe nazo na hakuna atakae lazimishwa na hakuna namna ya kuwalizimisha wanafunzi kutumia limao, wala kutumia tangawizi, wala kunawa na sanitizer. Sidhani kama kuna mwanafunzi wenye allergy na vitu vyote hivyo kwa pamoja.

- Barakoa ndio inatakiwa waweke ulazima zaidi. Na ndicho kimeandikwa kwenye tangazo.
 
Ni upumbavu kutoa ushauri huku ukiamini ushauri wako ndio sahihi zaidi.
Unaonaje nikikujibu upumbavu ni kujibu hoja kwa matusi?
Kwanini usitetee tu hoja kama ulivyofanya chini?

Upumbavu ni kukataa kukosolewa sababu unahisi kukosolewa ni kosa.

Watu wenye upumbavu kama huu wako ni dalili ya kupata malezi na wazazi au walezi wapumbavu.

Sijawahi kumjibu mtu namna hii humu JF wewe nakutolea mfano na wapumbavu wengine wajue haya matusi kila mtu anaweza.

Nakutahadharisha wewe mpumbavu ukinijibu matusi nakuja kukujibu kadiri ya upumbavu wako , ukileta tusi nakupa tusi jingine kubwa kuliko lako.

Hukusoma huko juu nilivyo wauliza wenzio kuna faida gani kujibu matusi badala ya kujibu au kutetea hoja?

Wewe mpumbavu ujifunze leo siyo kila anaye kukosoa yupo sahaihi, wewe wajibu wako ni kumuonesha huyo mtu hayupo sahihi kwa hoja na kitu gani kipo sahihi. Huo ndiyo utaratibu wa kufanya mijadala kama watu waliohudhuria shule na kustaharabika.
 
Huo mradi utaharibu taaluma. Waalimu Wana njaa halafu uwape tenda ya kusupply malimao nk. Watagombania tu hiyo tenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni akili kubwa, umejenga hoja nzuri sana kuliko matusi kama waalimu waliotangulia.
Hao waalimu wamekuja na matusi badala ya kujenga hoja kama wewe.

mazojms njoo uone watu wenye akili timamu wanavyojadili kwa hoja na ustaarabu.
 
Unaonaje nikikujibu upumbavu ni kujibu hoja kwa matusi?
Kwanini usitetee tu hoja kama ulivyofanya chini?

Upumbavu ni kukataa kukosolewa sababu unahisi kukosolewa ni kosa.

Watu wenye upumbavu kama huu wako ni dalili ya kupata malezi na wazazi au walezi wapumbavu.

Sijawahi kumjibu mtu namna hii humu JF wewe nakutolea mfano na wapumbavu wengine wajue haya matusi kila mtu anaweza.

Nakutahadharisha wewe mpumbavu ukinijibu matusi nakuja kukujibu kadiri ya upumbavu wako , ukileta tusi nakupa tusi jingine kubwa kuliko lako.

Hukusoma huko juu nilivyo wauliza wenzio kuna faida gani kujibu matusi badala ya kujibu au kutetea hoja?

Wewe mpumbavu ujifunze leo siyo kila anaye kukosoa yupo sahaihi, wewe wajibu wako ni kumuonesha huyo mtu hayupo sahihi kwa hoja na kitu gani kipo sahihi. Huo ndiyo utaratibu wa kufanya mijadala kama watu waliohudhuria shule na kustaharabika.
Kilicho kutokea ndio lengo langu, lets hope umejifunza.
 
Sijajifunza chochote toka kwako akili ndogo, yaani hata upumbavu uliojibu pale chini nimeona kazi kukuonesha umejinyea wapi wewe mlugaluga.

Ule siyo utetezi wa kisayansi ni uharo tu.
Maji ni less expensive kuliko sanitizer, bei ya lita moja ya sanitizer ni aghali kuliko maji lita 1000 kwa bei ya mamlaka ya maji ya Mwanza, ilipo hiyo shule maji yafika kirahisi tu kwa njia mbalimbali. Tank la lita 2000 la kampuni ya Kiboko bei yake halizidi laki 3 ni pungufu ya hapo.

Kunawa maji na sabuni ni more effective kujikinga na COVID-19 kuliko sanitizer hapa ukibisha naweza kuja kukuletea tafiti kibao.

Sanitizer nyingi hasa hizi za nchi zetu maskini ambako kuna uzembe na ujanja ujanja mwingi zinaharibu ngozi.

Nina hoja kibao za kupangua ule upumbavu ulio jibu sema nina kazi muhimu nafanya muda huu. Hata hivyo kujadili na mtu mpumbavu ni kubishana badala ya kujadiliana.
 
Sijajifunza chochote toka kwako akili ndogo, yaani hata upumbavu uliojibu pale chini nimeona kazi kukuonesha umejinyea wapi wewe mlugaluga.

Ule siyo utetezi wa kisayansi ni uharo tu.
Maji ni less expensive kuliko sanitizer, bei ya lita moja ya sanitizer ni aghali kuliko maji lita 1000 kwa bei ya mamlaka ya maji ya Mwanza, ilipo hiyo shule maji yafika kirahisi tu kwa njia mbalimbali. Tank la lita 2000 la kampuni ya Kiboko bei yake halizidi laki 3 ni pungufu ya hapi.

Kunawa maji na sabuni ni more effective kujikinga na COVID-19 kuliko sanitizer hapa ukibisha naweza kuja kukuletea tafiti kibao.

Sanitizer ningi hasa hizi za nchi zetu maskini ambako uzembe na ujanja ujanja mwingi zinaharibu ngozi.

Nina ohoja kibao za kupangua ule upumbavu ulio jibu sema nina kazi muhimu nafanya muda huu. Hata huvyo kujadili na mtu mpumbavu ni kubishana badala ya kujadiliana.
- Huo uchungu kwenye maandishi yako ndio unaonionyesha somo nililokusudia limefika.

tuachane na hayo.

- Unataka wanafunzi waandikiwe kwamba waende shuleni na maji? Au waende shuleni na sabuni?

- Mbona hujauliza kwanini hawajaambiwa kwenda na sale?
 
Hapa najisumbua tu kukuelewesha bora tuachie hapo tulipofikia.

BTW, mimi sina uchungu wowote na tusi lako kama umenifuatilia muda mrefu humu JF unaweza kuona mtu anaweza kunitukana na mimi nikajishusha na kumuomba anisamehe kama nimemkera.
Wewe leo imekuangukia bahati mbaya kama kwenye jackpot maana niliweka ahadi kuna mtu mmoja nitakuja kumfanya mtu wa mfano kwa kumjibu kadiri ya alivyo nitusi.

Mimi ni mwanafunzi wa falsafa ya Stoicism, I can not be perturbed easly and very calm in these situations. What I did to you was just to give you a taste of your own medicine.
 
- Unataka wanafunzi waandikiwe kwamba waende shuleni na maji? Au waende shuleni na sabuni?
Ile ni shule ya bweni maji ni ya lazima.
Maji toka Mwanza yamepelekwa mkoa mwingine Shinyanga inashindikana vipi kuyafikisha hapo shule?
Wana nawa, kuoga, kufulia na kunywa nini? Just use your common sense.

Sabuni ya majii inayokaa kama kwenye chupa kama za sanitizer original zile inauzwa bei ndogo sana reja reja ni 3000/- tu na jumla shule ikiagiza ni bei ndogo zaidi. Hiyo mwanafunzi mmoja anaitumia zaidi ya miezi miwili, kuna sabuni za kawaida nazo ni bei ndogo sana.
 
Ile ni shule ya bweni maji ni ya lazima.
Maji toka Mwanza yamepelekwa mkoa mwingine Shinyanga inashindikana vipi kuyafikisha hapo shule?
Wanana, kuoga, kufulia na kunywa nini? Just use your common sense.

Sabuni ya majii inayokaa kama kwenye chupa kama za sanitizer original zile inauzwa bei ndogo sana reja reja ni 3000/- tu na jumla shule ikiagiza ni bei ndogo zaidi. Hiyo mwanafunzi mmoja anaitumia zaidi ya miezi miwili, kuna sabuni za kawaida nazo ni bei ndogo sana.
Sasa kama unajua maji na sabuni lazima viwepo kwa nini unataka wajaze hayo maneno kwenye karatasi?
 
Uongozi wa shule hauna shida, shida kubwa iko kwako. Ni upumbavu kutoa ushauri huku ukiamini ushauri wako ndio sahihi zaidi.
Hoja zako ni dhaifu sana kupelekea kusema uongozi wa shule unashida.

1. Hili tangazo limetolewa kwa ajili ya wanafunzi na si kwaajili ya walimu. Walimu pia huwa wanapewa muongozo wao.

2. Sanitizer ni rahisi na haraka zaidi kutumia kuliko maji. Maji hayapatikani kila sehem, huwezi weka maji darasani wala bwenini ila sanitizer inaweza kutumika sehem yeyote.

3. Yani unajiona unaakili kabisa kupinga matumizi ya barakoa? Njia zote zikifeli barakoa ndio defence ya mwisho na ndio ina %kubwa ya kukinga maambukizi.

4. Tofauti kati ya limao fresh na unga ni water content tu basi. Kama unabisha lete uthibitisho. Vivyo hivyo kwa tangawizi.

5. Hizo ni zana ambazo mwanafunzi anatakiwa awe nazo na hakuna atakae lazimishwa na hakuna namna ya kuwalizimisha wanafunzi kutumia limao, wala kutumia tangawizi, wala kunawa na sanitizer. Sidhani kama kuna mwanafunzi wenye allergy na vitu vyote hivyo kwa pamoja.

- Barakoa ndio inatakiwa waweke ulazima zaidi. Na ndicho kimeandikwa kwenye tangazo.
Unayo elimu lakini bado unahitaji elimu zaidi juu ya njia za kupambana na covid 19.
Bila shaka hiyo ndimu ya unga si sahihi,tangawizi nk.

Elimu haina mwisho,bado unayo nafasi ya kujielimisha....jielimishe.
 
- Ebu nipe hiyo elimu, kwanini si sahihi kutumia unga w ndimu/tangawizi kupambana na covid 19?

- Labda nikuulize tena limao/ tangawizi inasaidia vipi kupambana na covid 19?
 
Back
Top Bottom