Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni

Sasa kama unajua maji na sabuni lazima viwepo kwa nini unataka wajaze hayo maneno kwenye karatasi?
Rudia kusoma ujumbe wangu wa kwanza kabisa niliongea nini kuhusu sabuni.

Sijui huko shuleni mnafundishaje kwenye lugha sehemu ya ufahamu (kiswahili) au comprehension(English)!
 
Sasa kama unajua maji na sabuni lazima viwepo kwa nini unataka wajaze hayo maneno kwenye karatasi?
Kwa hivyo kuandika limao ya unga, tangawizi ya unga hakujazi makaratasi kama ukiandika sabuni?
 
Vitu hivi vya nini wakati corona imeisha bad enough ni ugonjwa mdogo
 
mazojms njoo umsome mtu mwenye akili timamu Profesa Ndalichako.
Hapa ndiyo utafunguka akili kujuwa nilikuwa sahihi na hao uliowatetea na wewe mwenyewe hamkuwa sahihi.
Kwenye post yangu niliomba wizara husika itoe muongozo na hatimae imejibu ombi langu na la wengine wengi.

Shukran zikufikie mkuu wangu dubu kwa nukuuu safi kabisa ya kusafisha vichwa vya watu wagumu kufikiri.
Shukrani @JamiiTalk kwa muongozo mzuri.
 
Serikali itoe muongozo maana maagizo kama haya ni vurugu tupu,
mazojms soma hapo juu niliandika nini kwenye kipande tu cha yale niliyoa andika na kisha soma hiyo post ya juu niliyo kunukuu uone ,muongozo wa @JamiiTalk na muongozo wa serilikali kupitia tamko la Prof. Ndalichako Waziri wa Elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…