Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

Na hajajenga mpya...
Hujakosea....[emoji3][emoji3][emoji3]
Ukilijua hill, barabara sio hoja

Ila pimbi waliozaliwa karne hii wanaona mwamba alicheza sana... kumbe hawajui zamani mababu walitengeneza barabara ili wapite punda kubeba mazao...

Kujenga barabara ni wajibu, sio credit... dont be stupid!
 
Hata mama kukupikia ni wajibu.. ila kumpa credit ni uungwana...

Chukua kioo kiangalie utamuona really stupid[emoji3][emoji3][emoji3]

Angeweza kuamua kutofanya na usingemfanya kitu..

Thanks my boss coz u are da Senior stupidier..
Ukilijua hill, barabara sio hoja

Ila pimbi waliozaliwa karne hii wanaona mwamba alicheza sana... kumbe hawajui zamani mababu walitengeneza barabara ili wapite punda kubeba mazao...

Kujenga barabara ni wajibu, sio credit... dont be stupid!
 
Hata mama kukupikia ni wajibu.. ila kumpa credit ni uungwana...

Chukua kioo kiangalie utamuona really stupid[emoji3][emoji3][emoji3]

Angeweza kuamua kutofanya na usingemfanya kitu..

Thanks my boss coz u are da Senior stupidier..
Sure... it takes a really genius to know who is the best genius. Stupidity is our profession... You are the best...

Sina muda wa kuchukua kioo maana mimi ndo nakitengeneza...
 
No Boss wewe ni mwenyekiti wetu..
Tumekupa kwa viti maalum
Sure... it takes a really genius to know who is the best genius. Stupidity is our profession... You are the best...

Sina muda wa kuchukua kioo maana mimi ndo nakitengeneza...
 
..mtu aliyesaidiwa matibabu namna hii akaelekeza bunge limnyime Tundu Lissu stahiki zake za matibabu.
Inafikirisha sana... no unafiki uliopitiliza kumwita mtu wa namna hiyo ni mwema. Mtu asiyekumbuka fadhila akizuga anamtanguliza Mungu mbele...

Apumzike alipojitafutia makazi...
 
Zitatoka takwimu zitakazoonyesha km za barabara zilojengwa under his watch as a presdent, mdo mdo mtamuheshimu uyu mtu na mtamkumbuka
Kama alitumia fedha zake mfukoni, bila shaka tutamkumbuka
 
Kumbe hii pacemaket aliyowekewa inaontesha ilimaliza muda wake.nimesoma mahali life time yake ni 10-15 years.ijapo yeye amekaa muda zaidi ya huo.labda inafanyiwaga services.

Lkn wenzetu huko ulaya walitutangilia,yaani toka 1992 walishakuwa na hii technology
 
Uko kwenye usingizi gani? Ndio tatizo la kulishwa tango pori. Mbowe na wapambe wake walikata TL kupanda kwenye ndege iliyoandaliwa kuletwa Muhimbili wakatafuta yao ya kwenda Nairobi kinyume cha kanuni maibabu na za matumizi ya pesa ya umma. Walionywa madhara yake. Mbowe kwa kauli yake aliomba wasamehewe kwa hilo sababu wangependa washughulikie kwa namna wapendayo wao.
 

..familia waliombwa mgonjwa apelekwe Nairobi, serikali ikakataa na kulazimisha apelekwe Muhimbili, labda baadae wangemhamishia Mzena.

..Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dr.Mpoki alikubaliana maoni ya familia kwamba hospitali sahihi ni Nairobi Hospital.

..Serikali ikaendelea kugoma kutoa ndege ndipo Mbowe na timu yake wakafanikisha kupatiwa msaada wa ndege na Mh.Turky mbunge wa ccm toka Zanzibar.

..Unajiuliza aliyekuwa akitoa maelekezo serikali isitoe ndege ni nani? Malengo yake yalikuwa nini? Je, aliyekatalia ndege ya serikali ndiye huyohuyo aliyetuma magaidi wamuue Tundu Lissu?
 
Usiulize nani, sheria na kanuni za kumpeleka mgonjwa nje ya nchi ndizo zinazozingatiwa. Anapelekwa nje pale madaktari bingwa wa hosp yanrufaa wanaposema hawana uwezo wa kutibu na atapelekwa nje ktk hospital iliyoorodheshwa ki kanuni na Nairobi haimo.
 
..mtoa ruhusu za wagonjwa kwenda nje kwa ajili ya matibabu ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya ambaye alikuwepo wakati Lissu anahudumiwa Dodoma, na aliridhia mgonjwa apelekwe Nairobi. hivi kwa akili zako unafikiri kwa kilichomtokea Tundu Lissu angeweza kutibiwa ktk hospitali ya Mzena na kutengemaa?
 
Maisha ya Lissu yaliokolewa na hospital ya Dodoma iliyofanya stabilization ya kuweza kusaidia mgonjwa kusafiri. Katibu mkuu akiwa mmoja ya walioshiriki operation hiyo kama mtaalam sio kama Katibu Mkuu, Wangeshindwaje Muhimbili. Utaratibu, Katibu mkuu anaidhinisha matibabu nje baada ya kuletewa taarifa ya maandishi na daktari wa hospital ya rufaa. Rwaichi hakupelekwa nje vinginevyo ungetumika utaratibu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…