Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

Asiwe na wasiwasi,akimaliza chuo ma-Nice guy wapo wa kutosha,watamtongoza,watampigia magoti na kumvisha Pete huku wanatokwa na machozi,Kisha kuwalipa wazazi wa huyo Malaya mamilioni ya pesa kama mahali
 
Elimu sio kigezo cha mtu kua mwema ama mshenzi,ukienda Mbagala huko uswahili kibinti kimeishia form two kina miaka 20 tu,ila kimewahi kufanywa kila aina ya ushetani,ukinipa nafasi ya kumshauri mtu......nitamuambia kama hauwezi kupata historia ya unayetaka kumuoa,hakikishq unaoa mwanamke Bikira
Usioe mwanamke aliyefika chuo mwisho form four sasa nyie endeleeni kukaza fuvu.
 
Tangazo kwa wadada wenzio.

Laana iliyo juu yenu ni kubwa sana.
Tubuni neema ingalipo.
 
Huyo mbwa aliwezaje kukufanya. Em fafanua hapo kwanza
 
Pesa zitatoa watu roho aisee! Uchafu wote huu unatafuta pesa? Si bora upambane upate elfu kumi yako kwa siku. Rudi kwa Mungu wako utubu kweli, Yeye ni mwingi wa rehema
 
Wale tunaweza kusema kwasababu hawana elimu ila kama mtu ana elimu na anafanya ujinga kama ule basi ni tatizo.
 
Duh! Watu mna ujasiri mno, kikubwa shukuru upo hai, maana hakuna sehemu yoyote utakayompeleka huyo mwenzio na ukapata haki yako
 
Kuna mmoja nilisoma story yake anasema yeye hela zote alizokuwa anapata alikuwa anamalizia kwenye pombe na madawa ili kutoa stress

Na mbaya zaidi mwishoni alipata shida tu kwenye njia za haja kubwa na kubakia na uraibu wa madawa

Hela we hela
Amefanya Vizuri sana,aende kanisani Ma-SIMP.wapo wa kutosha watamtolea mahali aolewe
 
Hela zitawaua, endeleeni kuzipenda kama mmezaliwa nazo, kisasa kama hilo likichoka linaanza kutaka mume liolewe, uolewe mtu umelala na ma mbwa?
Kitu kizuri kuhusu maisha,wanaume WAPUMBAVU wapo wengi sanaa,....thus why nature ipo balanced.........huyo Binti atachumbiwa ataolewa,mwanaume atatoa mamilioni ya pesa,huku akipiga magoti kumvisha pete
 
Hela zitawaua, endeleeni kuzipenda kama mmezaliwa nazo, kisasa kama hilo likichoka linaanza kutaka mume liolewe, uolewe mtu umelala na ma mbwa?
Kitu kizuri kuhusu maisha,wanaume WAPUMBAVU wapo wengi sanaa,....thus why nature ipo balanced.........huyo Binti atachumbiwq ataolewa,mwanaume atatoa mamilioni ya pesa,huku akipiga magoti kumvisha pete
 
Kapima akapewa makibu yuko HIV - au HIV + ? Usikute nao anao.

Enewei, wadada huyataka wenyewe.

Ushauri wangu:
Wadada wa chuo, muwe wa kutosheka. Maisha ya chuo ni ya muda mfupi tu. kitaa ndio maisha ya muda mrefu.
 
Nilianza kukuamini ila ulipofika hapo kwenye Mbwa,, ni chai bn. Nishaskia story hizi hapo kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…