Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Arrghh acheni zenu 🤣Hahaha 😂, kwa hiyo alijipiga ban
Arrghh acheni zenu 🤣Hahaha 😂, kwa hiyo alijipiga ban
Tabia ya EliCohenAmejireboot 😂🤣😂🤣😂
Hebu sema ule msemo wako wa 'uncircumcised ' mkuu kama hutojali 😂.Arrghh acheni zenu 🤣
Ila kiongozi unajua hiki chama kingekuwa serious kwel kingesaidia sana kuinua matumaini kwa vijana maana Kuna situation wanapitia inabidi kuwe na umoja wa kuwaunganishaBro mapinduzi kwenye chama Cha ma jobless pro max labda niombe kustaafu to 🤣🤣
Uo si ndio ulimpeleka jela ya masaa 😂😂😂Hebu sema ule msemo wako wa 'uncircumcised ' mkuu kama hutojali 😂.
Mbona ule wa 'no malice to nobody' haukumtupa korokoroni? Au huu wa siku hizi una matusi? 😂😂Uo si ndio ulimpeleka jela ya masaa 😂😂😂
Huu wasikuhizi unatisha sana....anaku quote mpaka usiku wa manane 😂😂😂😂😂Mbona ule wa 'no malice to nobody' haukumtupa korokoroni? Au huu wa siku hizi una matusi? 😂😂
I still repeatHebu sema ule msemo wako wa 'uncircumcised ' mkuu kama hutojali 😂.
😂😂😂🤣 Ila hii misemo ya huyu jamaa na ile avatar yake ya mara ya kwanza ilikuwa inaendana.Huu wasikuhizi unatisha sana....anaku quote mpaka usiku wa manane 😂😂😂😂😂
Ilikuwa ya miezi, mwamba nika maliza kesi🤣😂Uo si ndio ulimpeleka jela ya masaa 😂😂😂
Haya ndo maneno sasa.I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Mungu nifundishe kunyamazaHuu wasikuhizi unatisha sana....anaku quote mpaka usiku wa manane 😂😂😂😂😂
usi lalamike kwa maamuzi yangu, ngumbaru wee
Mungu nifundishe kunyamazaIla kiongozi unajua hiki chama kingekuwa serious kwel kingesaidia sana kuinua matumaini kwa vijana maana Kuna situation wanapitia inabidi kuwe na umoja wa kuwaunganisha
Rais wangu ukikasirika nakujua uchelewi kunipa suspension ya kwenye chama nikawa mgogo fc 😂😂😂😂😂Mungu nifundishe kunyamaza
Nawapa offer ya chama halafu kesho mna omba nipigwe ban 🤣🤣Ila kiongozi unajua hiki chama kingekuwa serious kwel kingesaidia sana kuinua matumaini kwa vijana maana Kuna situation wanapitia inabidi kuwe na umoja wa kuwaunganisha
Mkuu ukishakuwa nami hata mods wanakuogopa maana Mimi ni jitu la Miraba minne 😂usi lalamike kwa maamuzi yangu, ngumbaru wee
Mungu nifundishe kunyamazaMkuu ukishakuwa nami hata mods wanakuogopa maana Mimi ni jitu la Miraba minne 😂
Hizo habari nilizipata Kwa jamaa mmoja ambaye ni JF mod
Ni uchaw huo kumuombea mwenzako ban....tutazinguana kiume utanifukuza niende kwa wagogo ila mwisho narudia chaman tunavibe tena 🤣😂🤣Nawapa offer ya chana halafu kesho mna omba nipigwe ban 🤣🤣