Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

Mleta simulizi ni kenge maji.
Yaani iPhone 16 na M3 juu kwa kila mtu hizo Kei na tigo zao zina Tanzanite??

Uongo wa kingese sana huu.
 
Uhuni ni tabia yenu mkiwa vyuoni mnakuwa malembukeni wa maisha. Kwanza kwa UZOEFU ELIMU gani ya lugha hadi ukawe mkalimani. Ulikuwa unajua unachoenda kufanya ila ujira wake ni mnono. Weka namba hapa nikuunganishe na wataliano na wagiriki usahau umaskini.
 
Daah,TamaaaπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni hazina ya taifa na kielelezo cha uongozi wa kisasa unaojengwa juu ya hekima, uvumilivu na maono ya mbali. Ni kiongozi ambaye anasimamia misingi ya haki, usawa na maendeleo ya watu wote bila ubaguzi. Ujasiri wake
Acha uchawa kijana,jinga kabisa
 
Kama ulikuwa unajiuliza wale Shy Girls wanaofanya porn na Wazungu wasioonekana face hupatikanaje? Ndio kama hivi
 
Usd 2000 na ushee vipi umepima Ngoma na kansa ya mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…