Hayo mambo kwa atakayeyapta unao ni madogo wewe.Hamna kitu hapo wanafundishana mambo ya ugaidi tu na kwamba ukimfia allah utaenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera. Hamna zaidi ya hapo.
Kumbe wale wazungu wanaondamana wametokea uarabuni sikujua .Unafikiri hawakupaona hapo IRAN wakati wanaelekea Marekani?
Hakuna Mwarabu anapenda kurudi Uarabuni.
Mlokole unapata tabu sana. 🤣Hamna kitu hapo wanafundishana mambo ya ugaidi tu na kwamba ukimfia allah utaenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera. Hamna zaidi ya hapo.
Hakuna mwanafunzi wa Marekani atakyechukua ofa hiyo. Hii nina uhakika 98%Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.
Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.
Umeona sura za wazungu tu au ndo Mayopia?Kumbe wale wazungu wanaondamana wametokea uarabuni sikujua .
Mimi nimeona watu wote wa race zote mpaka weusi sasa anaposema wametoka uarabuni ndo nashangaaUmeona sura za wazungu tu au ndo Mayopia?
Taja mwanafunzi mmoja toka Yemen au Iran aliyefanya kitu kikaleta impact duniani.Naunga mkono hoja, Iran inatoa wanafunzi wazuri zaidi na huko yemen kuliko magharibi na US
Inapendeza sana.Bado dunia ina watu wapenda haki kutoka kila eneo na rangi.Mimi nimeona watu wote wa race zote mpaka weusi sasa anaposema wametoka uarabuni ndo nashangaa
Waarabu walioko huko USA walienda huko bila mwaliko kwa sababu tu ya mbinyo mkali usioruhusu mawazo mbadala.Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.
Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.
Vipi Russia?Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kwenda Iran au Yemen.
Sasa mbona US wako busy sana kutaka kujua silaha alizotengeneza Iran na wanaihofia, na munasema waarabu hawana elimu, elimu iko Ulaya na MarekaniTaja mwanafunzi mmoja toka Yemen au Iran aliyefanya kitu kikaleta impact duniani.
Silaha anazotengeneza Iran US hawana ndio maana wanaihofia Iran siku zote, ni kutokana na taaluma mkuu kule Marekani sana sana utapewa elimu ya mwanaume kuolewa na kupata haki zenu za msingi kama hizoTaja mwanafunzi mmoja toka Yemen au Iran aliyefanya kitu kikaleta impact duniani.
Iran sio waarabu ni waajemi.Unafikiri hawakupaona hapo IRAN wakati wanaelekea Marekani?
Hakuna Mwarabu anapenda kurudi Uarabuni.
Iran hawaruhusu wanawake kuvaa vimini na tightVyuo vya ulaya na US vilitishia dunia zamani lakini katika dunia ya leo ukienda Apollo hosp. Kule india wataalam wa moyo, upasuaji wa ubongo wabobez waliopo pale wengi wamesoma india, china, Thailand, Singapore n.k Mfano mwingi ni Iran unasoma pale hadi unatengeneza hypersonic missile hata guided missile sasa wewe mweusi nenda kasome huko ulikokariri halafu uone kama utatengeza hata compressor ya baiskeli
Nani alianza kuua wenzake kati ya Israel na Palestina!?ukiua wenzio unategemea pongez ?
Hata Pro-Russia wa bongo ukiwaambia wachague kati ya US au Iran, Yemen na Russia watakimbilia US!Silaha anazotengeneza Iran US hawana ndio maana wanaihofia Iran siku zote, ni kutokana na taaluma mkuu kule Marekani sana sana utapewa elimu ya mwanaume kuolewa na kupata haki zenu za msingi kama hizo
Unatakiwa ukumbuke kuwa Israel ndio ilianza.Je iran ilivyotumia nguvu kubwa kuwasaidia hamas kuua wayahudi 1300 na kuwateka 230 je huwa hamuoni uovu wa hamas ila wapalestina ndio watu pekee?
Wametoka Russia na BelarusKumbe wale wazungu wanaondamana wametokea uarabuni sikujua .
Iran ni taifa la wasomi kijana.Yani Kwa Akili za Kawaida Utoke USA Uende Ukaishi na kusoma Yemen Au Iran Utakuwa Mzima Kweli za Kuambiwa changanya na Zako
Yemen kwenda hapana maana nchi haijakaa vizuri kiuchumi njaa kali na amani bado haijakaa sawa pia kuna ubaguzi Yemen.Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kwenda Iran au Yemen.