Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #41
Hayo mambo kwa atakayeyapta unao ni madogo wewe.Hamna kitu hapo wanafundishana mambo ya ugaidi tu na kwamba ukimfia allah utaenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera. Hamna zaidi ya hapo.
Hapa duniani hivyo vitu tuanvitamani na wengi wetu hatuvipati.Wachache wanaopata mfano wake wala hawadumu navyo.Mara wanashindwa kuvitumia au wanaviacha na bado wanavitaka.