Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

Hamna kitu hapo wanafundishana mambo ya ugaidi tu na kwamba ukimfia allah utaenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera. Hamna zaidi ya hapo.
Hayo mambo kwa atakayeyapta unao ni madogo wewe.
Hapa duniani hivyo vitu tuanvitamani na wengi wetu hatuvipati.Wachache wanaopata mfano wake wala hawadumu navyo.Mara wanashindwa kuvitumia au wanaviacha na bado wanavitaka.
 
Hamna kitu hapo wanafundishana mambo ya ugaidi tu na kwamba ukimfia allah utaenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera. Hamna zaidi ya hapo.
Mlokole unapata tabu sana. 🤣
 
Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.

Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.
Hakuna mwanafunzi wa Marekani atakyechukua ofa hiyo. Hii nina uhakika 98%
 
Mimi nimeona watu wote wa race zote mpaka weusi sasa anaposema wametoka uarabuni ndo nashangaa
Inapendeza sana.Bado dunia ina watu wapenda haki kutoka kila eneo na rangi.
Ingetokea ni waarabu tu basi mtu akitamani kufa asingelaumiwa kwani shetani angekuwa ndiye mtawala peke yake.
 
Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.

Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.
Waarabu walioko huko USA walienda huko bila mwaliko kwa sababu tu ya mbinyo mkali usioruhusu mawazo mbadala.
Serikali zao bado ziko vile vile ni za kidikteta na utawala wa ukoo mmoja.
Ndio moto uliokuunguza kwanza leo hii ukuambie ingia ndani yangu japo bado nawaka ila sikuunguzi?
Thubutu mwarabu aliyetoroka kwao kurudi nyuma.
 
Taja mwanafunzi mmoja toka Yemen au Iran aliyefanya kitu kikaleta impact duniani.
Sasa mbona US wako busy sana kutaka kujua silaha alizotengeneza Iran na wanaihofia, na munasema waarabu hawana elimu, elimu iko Ulaya na Marekani
 
Taja mwanafunzi mmoja toka Yemen au Iran aliyefanya kitu kikaleta impact duniani.
Silaha anazotengeneza Iran US hawana ndio maana wanaihofia Iran siku zote, ni kutokana na taaluma mkuu kule Marekani sana sana utapewa elimu ya mwanaume kuolewa na kupata haki zenu za msingi kama hizo
 
Unafikiri hawakupaona hapo IRAN wakati wanaelekea Marekani?

Hakuna Mwarabu anapenda kurudi Uarabuni.
Iran sio waarabu ni waajemi.
Iran ina mfumo bora wa elimu na pia ina maendeleo mazuri ya teknolojia.
Iran unaweza jifunza mambo mengi kama unayojifunza Western world/USA.
Ila michezo ya kisiasa ndio imeidumaza Iran.
 
Vyuo vya ulaya na US vilitishia dunia zamani lakini katika dunia ya leo ukienda Apollo hosp. Kule india wataalam wa moyo, upasuaji wa ubongo wabobez waliopo pale wengi wamesoma india, china, Thailand, Singapore n.k Mfano mwingi ni Iran unasoma pale hadi unatengeneza hypersonic missile hata guided missile sasa wewe mweusi nenda kasome huko ulikokariri halafu uone kama utatengeza hata compressor ya baiskeli
Iran hawaruhusu wanawake kuvaa vimini na tight
 
ukiua wenzio unategemea pongez ?
Nani alianza kuua wenzake kati ya Israel na Palestina!?
Au mnajitoa ufahamu kuwa August mlianza kuchoma mashamba ya wapalestina Jenin!?
Mlitaka Palestina wanyamaze kwa huo ukatili?
 
Silaha anazotengeneza Iran US hawana ndio maana wanaihofia Iran siku zote, ni kutokana na taaluma mkuu kule Marekani sana sana utapewa elimu ya mwanaume kuolewa na kupata haki zenu za msingi kama hizo
Hata Pro-Russia wa bongo ukiwaambia wachague kati ya US au Iran, Yemen na Russia watakimbilia US!
 
Je iran ilivyotumia nguvu kubwa kuwasaidia hamas kuua wayahudi 1300 na kuwateka 230 je huwa hamuoni uovu wa hamas ila wapalestina ndio watu pekee?
Unatakiwa ukumbuke kuwa Israel ndio ilianza.
Mnamo August wayahudi wakisaidiwa na IDF walivamia makazi na mashamba ya wapalestina na kuyavunja na kujimilikisha ili kufanya expansion.
Au umesahau kuwa EU imetoa sanctions kwa jewish settlers!?
Au mnadhani sisi wajinga hatujui kufuatilia habari!?
 
Yani Kwa Akili za Kawaida Utoke USA Uende Ukaishi na kusoma Yemen Au Iran Utakuwa Mzima Kweli za Kuambiwa changanya na Zako
Iran ni taifa la wasomi kijana.
Ifuatilie Iran vizuri,hata hivyo vifaa tiba vingine hususan vya upasuaji viligunduliwa na Iran.
Iran ni taifa lenye mifumo bora ya elimu.
Ila uhasama na figisu za wamagharibi taifa la Iran limedogoshwa.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kwenda Iran au Yemen.
Yemen kwenda hapana maana nchi haijakaa vizuri kiuchumi njaa kali na amani bado haijakaa sawa pia kuna ubaguzi Yemen.
Ila IRAN IS FAR WAY BETTER THAN ANY AFRICAN NATION IN TERMS OF EDUCATION.
Na kwenda mbali zaidi IRAN kupitia BRI wameunga ushirikiano na CHINA katika sekta ya elimu hususan katika ngazi za teknolojia mbali mbali.
Hivyo ukisoma chuo Iran ni sawa umesoma China.
Kuweni na exposure ninyi watu.
 
Back
Top Bottom