MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Na ukiwaangalia wale wote wanaoandamana sio wazungu mbona? au ni majicho yangu hayaoni vyema?Unafikiri hawakupaona hapo IRAN wakati wanaelekea Marekani?
Hakuna Mwarabu anapenda kurudi Uarabuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukiwaangalia wale wote wanaoandamana sio wazungu mbona? au ni majicho yangu hayaoni vyema?Unafikiri hawakupaona hapo IRAN wakati wanaelekea Marekani?
Hakuna Mwarabu anapenda kurudi Uarabuni.
Sawa.Arabuni ndiko elimu ilikotokea na huko itarudi.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kwenda Iran au Yemen.Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.
Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.
Aliyewaroga nyie Kobaz atakuwa motoniNaunga mkono hoja, Iran inatoa wanafunzi wazuri zaidi na huko yemen kuliko magharibi na US
Atakua na mtindio wa ubingosasa mtu atoke Havard ama Columbia university akasome Yemen? atakuwa amepoteza pakubwa!
tumeleweshwa na US kudhani wao ndio wamehodhi elimu zote.Vyuo vya ulaya na US vilitishia dunia zamani lakini katika dunia ya leo ukienda Apollo hosp. Kule india wataalam wa moyo, upasuaji wa ubongo wabobez waliopo pale wengi wamesoma india, china, Thailand, Singapore n.k Mfano mwingi ni Iran unasoma pale hadi unatengeneza hypersonic missile hata guided missile sasa wewe mweusi nenda kasome huko ulikokariri halafu uone kama utatengeza hata compressor ya baiskeli
"We are serious about welcoming students that have been suspended from US universities for supporting Palestinians," an official at Sanaa University, which is run by the Houthis, told news agency Reuters.Yaani mtu akasome Yemen kweli, kwani Yemen kuna hata shule ya sekondari si wao wanajua Madrassat tu. Si afadhali waje wasome hapa Udom angalau.
Ukishafukuzwa unakuwa huna chako tena.. utaenda tu huko kwa wapiga mabusu jiwe jeusi ambalo zamani lilikuwa jeupe kabla hawajapata tena jiwe jipya ambalo kwa sasa limebakia vijiwe kama sita. Na moja uturuki walikiibaYani Kwa Akili za Kawaida Utoke USA Uende Ukaishi na kusoma Yemen Au Iran Utakuwa Mzima Kweli za Kuambiwa changanya na Zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au atoke Massachusetts,sasa mtu atoke Havard ama Columbia university akasome Yemen? atakuwa amepoteza pakubwa!
Huna hata hoja, ndo umesoma huko Yemen? [emoji23][emoji23][emoji23]Unawazimu Yemen mbona tuna wanafunzi wazuri zaidi kuliko wa kutoka Columbia university na Hovard? au umeanza kuvutiwa na ushoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiiYaani mtu akasome Yemen kweli, kwani Yemen kuna hata shule ya sekondari si wao wanajua Madrassat tu. Si afadhali waje wasome hapa Udom angalau.
Hamna kitu hapo wanafundishana mambo ya ugaidi tu na kwamba ukimfia allah utaenda akhera kupewa mabikra 72 wenye macho kama mayai na uume unasimama kwa mwaka mzima na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko akhera. Hamna zaidi ya hapo.