Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

Unafikiri hawakupaona hapo IRAN wakati wanaelekea Marekani?

Hakuna Mwarabu anapenda kurudi Uarabuni.
Na ukiwaangalia wale wote wanaoandamana sio wazungu mbona? au ni majicho yangu hayaoni vyema?
 
Woke peeps ìn Iran and Yemen 🤣🤣🤣
 
Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.

Maamuzi hayo yamekuja wakati polisi nchini Marekani wakiendelea kuwakamata wanafunzi hao na kutishia kuwafungulia mashtaka huku vyuo wanavyosoma navyo vikitishia kuwafukuza kutoka vyuo hivyo.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kwenda Iran au Yemen.
 
Vyuo vya ulaya na US vilitishia dunia zamani lakini katika dunia ya leo ukienda Apollo hosp. Kule india wataalam wa moyo, upasuaji wa ubongo wabobez waliopo pale wengi wamesoma india, china, Thailand, Singapore n.k Mfano mwingi ni Iran unasoma pale hadi unatengeneza hypersonic missile hata guided missile sasa wewe mweusi nenda kasome huko ulikokariri halafu uone kama utatengeza hata compressor ya baiskeli
 
tumeleweshwa na US kudhani wao ndio wamehodhi elimu zote.
 
Yani Kwa Akili za Kawaida Utoke USA Uende Ukaishi na kusoma Yemen Au Iran Utakuwa Mzima Kweli za Kuambiwa changanya na Zako
Ukishafukuzwa unakuwa huna chako tena.. utaenda tu huko kwa wapiga mabusu jiwe jeusi ambalo zamani lilikuwa jeupe kabla hawajapata tena jiwe jipya ambalo kwa sasa limebakia vijiwe kama sita. Na moja uturuki walikiiba
 
Hakuna mwanafunzi mwenye akili timamu aache chuo marekani aende yemeni au irani na hata wakiondoa ada hakuna mtu ataenda
 
Hawatakubali kwenda, tena Waislam ndio kabisaa HAWATAKUBALI

Ni bora waende kuishi Vatican kwa Makafiri kwasbabu kuna Amani na hakuna Magaidi kuliko kwenda kupigwa risasi msikitini au kulipuliwa.
 
Kama wanataka ilimu ya ugaidi na kuchinja watu wasio amini allah huko Yemen na Iran patawafaa.
 
Yaani mtu akasome Yemen kweli, kwani Yemen kuna hata shule ya sekondari si wao wanajua Madrassat tu. Si afadhali waje wasome hapa Udom angalau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii
 
Back
Top Bottom