HUNA EXPOSURE WE JAMAA NARUDIA TENA HUNA EXPOSURE.acha uongo Iran vitu vingi vyao vimetengenezwa undersupevision kutoka russia,china,south korea...kuna interview ya balozi wa Iran kipindi cha nyuma hapa nchini anasema wayahudi nchi kwao ndio wama hold biashara kubwa na kwenye sekta ya elimu pamoja na uchache wao,alikuwa akijibu swali kwanini wana uhasama na wayahudi.
Ninaifuatilia hiyo Iran kuliko unavyoifuatilia wewe.
Iran ina mifumo yake ya elimu ila ina recruit walimu ama maprofessa toka China na Russia.
Kiteknolojia ya silaha Russia ndio mshirika wake mkubwa wa kushare naye teknolojia na kielimu ya viwanda China ndio mshirika wake wa kushare naye teknolojia.
NA KWA SASA IRAN INAO UWEZO WA KUUNDA CHOCHOTE PASI NA MSAADA WOWOTE.
PIA UACHE UONGO SOUTH KOREA HANA URAFIKI NA IRAN BALI NI NORTH KOREA.
USITUDANGANYE HAPA.