Huyo Chizi Maarifa uliyemtaja sio Muislamu.Chizi Maarifa njoo huku muislamu mwenzio anadai Issa na nabii Adam wote walikuwa waislamu ... sasa kati ya Muhammad na nabii Adam ni yupi alikuwa muislamu wa kwanza ? Waislamu mnaruka na kukanyagana.😁
Huyo Chizi Maarifa uliyemtaja sio Muislamu.
Kuna uzi humu alisema amekulia katika mazingira ya Uislamu lakini haukuwa Uislamu but totally shirk kama kweli basi alikulia katika familia ya ushirikina ndio maana hilo likaathiri mitazamo yake kuhusu Uilsamu .
Chizi Maarifa njoo huku muislamu mwenzio anadai Issa na nabii Adam wote walikuwa waislamu ... sasa kati ya Muhammad na nabii Adam ni yupi alikuwa muislamu wa kwanza ? Waislamu mnaruka na kukanyagana.😁
Chizi Maarifa njoo huku muislamu mwenzio anadai Issa na nabii Adam wote walikuwa waislamu ... sasa kati ya Muhammad na nabii Adam ni yupi alikuwa muislamu wa kwanza ? Waislamu mnaruka na kukanyagana.😁
Kama ulichoandika ni kweli kuhusu Baba yako basi namuonea huruma sana . Kama yupo hai Allaah amuongoze katika Tawheed kama amekufa basi Allaah amsamehe alipoteleza.Baba yangu ni Sheikh maarufu na ana msikiti wake wa miaka mingi. Usijaribu kabisa kumkosea heshima. Na anaifahamu Quran vizuri humfikii hata robo. Unapata wapi ujasiri wa kumkosea heshima kiasi hiki? Yaani kusoma Quran au aya ni shirki? Wewe ni kafir.
Pole sana kwa kukulia katika familia ya Kishirikina.Baba yangu ni Sheikh maarufu na ana msikiti wake wa miaka mingi. Usijaribu kabisa kumkosea heshima. Na anaifahamu Quran vizuri humfikii hata robo. Unapata wapi ujasiri wa kumkosea heshima kiasi hiki? Yaani kusoma Quran au aya ni shirki? Wewe ni kafir.
Al-mukheefMuislamu wa kwanza kabisa ni Muhammad mwenyewe.
Alipokea wahyu wa kwanza mwaka 610 CE kutoka Malaika Jibril katika Hira, karibu na Makkah.
Hapo ndipo alipoanza kujifunza na kuhubiri Uislamu, na hivyo kuwa muislamu wa kwanza kihistoria na kidhahiri.
Baada ya Muhammad
Khadija binti Khuwaylid (mkewe) ndiye mwanamke wa kwanza kumwamini
Mtume Muhammad na Uislamu.
Ali ibn Abi Talib (binamu na mfuasi wake wa mapema) na wengine kama Abu Bakr walikuja baada yake kama wafuasi wa kwanza wa kiume.
Kwa ufupi:
Muislamu wa kwanza: Muhammad
Mwanamke wa kwanza: Khadija (R.A)
Wafuasi wa mwanzo: Ali, Abu Bakr, Bilal, na wengine waliokuwa wakiiunga Mkono dini mapema
Kama siyo muislamu...mimi nataka muislamu mwenye ilimu ya dini na sheikh haswa ili nijibiwe maswali yangu ..nitajie sheikh mmoja anaye aminika na unaye mkubali wewe ambaye yupo JF.Huyo Chizi Maarifa uliyemtaja sio Muislamu.
Kuna uzi humu alisema amekulia katika mazingira ya Uislamu lakini haukuwa Uislamu but totally shirk kama kweli basi alikulia katika familia ya ushirikina ndio maana hilo likaathiri mitazamo yake kuhusu Uilsamu .
Sasa wewe unakaa unajadiliana na mkristo mwenzio halafu unadhani atakupa ukweli?
Nashangaa sana Makafiri wa Jf Waislamu tumeridhia Uislamu wetu . Kwa nini uhangaije na mambo ya Waislamu yatakusaidia nini wakati tayari ushajishukuru kuwa Kafiri ?Kama siyo muislamu...mimi nataka muislamu mwenye ilimu ya dini na sheikh haswa ili nijibiwe maswali yangu ..nitajie sheikh mmoja anaye aminika na unaye mkubali wewe ambaye yupo JF.
Nashangaa sana Makafiri wa Jf Waislamu tumeridhia Uislamu wetu . Kwa nini uhangaije na mambo ya Waislamu yatakusaidia nini wakati tayari ushajishukuru kuwa Kafiri ?
Pole kwa kukulia katika familia ya KishirikinaKafir wewe pia unapaswa uifaham dini usikariri tu. Mimi nakupa ilimu ili usiwe kafir na usiwe maamuma.
Pole kwa kukulia katika familia ya Kishirikina
Growing in a Polytheistic Family , You must had a miserable childhood.
I sincerely pit you and your father
KUJI HESABIA HAKI NI HASARA KUBWA SANA ... KUNA TOFAUTI GANI KATI YA UISLAMU NA UKAFIRI MAANA YOTE WATENDAYO MAKAFIRI NA WAISLAMU MNATENDA ...Mfano unafiki ,uzinzi uhasharati, ufisadi, ushirikina,... nyinyi ndiyo wale WAPUMBAVU mnao amini kuwa duniani kungekuwa ni uislamu tu basi shetani asingekuwepo ...DINI YA KWELI NA YA VIUMBE WOTE NI MOJA TU NAYO NI UTAKATIFU...MUNGU ALIWAAMBIA WAISRAELI KUWA 👉 KUWENI WATAKATIFU KWA SABABU MIMI MUNGU PIA NI MTAKATIFU ...Hivyo waislamu na wakristo mmeudharau utakatifu na kujitukuza katika dini na madhehebu ya dini ...Nashangaa sana Makafiri wa Jf Waislamu tumeridhia Uislamu wetu . Kwa nini uhangaije na mambo ya Waislamu yatakusaidia nini wakati tayari ushajishukuru kuwa Kafiri ?
That is poor mindset , watu kama nyie tu mnasone mtu akiwa mweupe automatically anakuwa na akili .Wewe ni kafir. Huwezi mwita sheikh na al hadj mshirikina. Nyie watu ndo mlimroga hadi mtume akawa kachanganyikiwa.
Wewe ni kafir. Huwezi mwita sheikh na al hadj mshirikina. Nyie watu ndo mlimroga hadi mtume akawa kachanganyikiwa.That is poor mindset , watu kama nyie tu mnasone mtu akiwa mweupe automatically anakuwa na akili .
Wanafiki wa Madina walikuwa wanaswali mpaka vitani wanaenda lakini walikuwa wanafiki wakubwa na sio Waislamu.
Huko kuhiji kwenyewe wapo wanaonda kwa ajili ya ushirikina wakifika wanafanya ushirikina wa kubeba mchanga wa Makkah, mawe , vipande vya shuka vya Al Kaaba nk ili kuja kuendeleza ushirikina wao wakirudi bongo .
Lazima itakuwa ulipitia magumu mno kushudia ushirikina live nyumbani kwenu ukifanywa na familia yenu , I can't imagine stress uliyokuwa nazo na majuto ya kushuhudia ushirikina ndani ya nyumba yenu kwa misingi ya dini.
# I SINCERELY PIT YOU , YOUR FATHER AND FAMILY AT ALL
Mkuu kwa vigezo ulivyoandika hapo kuna binadamu sasa hivi anavyo? Maana yake sasa hivi hakuna muislamu. Kwa uliyoandika wewe pia sio muislamu maana yapo unayofanya lakini hayatakiwi kufanywa na muislamu.Kama ulichoandika ni kweli kuhusu Baba yako basi namuonea huruma sana . Kama yupo hai Allaah amuongoze katika Tawheed kama amekufa basi Allaah amsamehe alipoteleza.
Kujua kusoma Qu'ran , kuswalisha au kuwa Sheikh nk hakukufanyi kuwa Muislamu wa sawasawa . Kuna MaSheikh wengi wamewatapeli watu miaka ya nyuma mfano kuogesha Wanawake wanapotoka kujifungua , kuwanuwiza watu Ramadhani, mambo ya majini nk na wengine bado wanaendeleza na utapeli.
Qu'ran sio kigezo hata Lavalava , Zuchu na Mbosso wanajua Qu'ran ila kuhusu Uislamu sahihi weupe kabisa kichwani . Masheik wa Kisufi wamechangia pakubwa kuzalisha Waislamu wajinga wasio na elimu sahihi wao wanachojali Mwanafunzi kukariri Qur'an tu .
Uilsamu ni elimu na elimu sio kujua kusoma na kuhifadhi Qur'an pekee.
Weka mfano wa hayo mambo ninayoyafanya .Mkuu kwa vigezo ulivyoandika hapo kuna binadamu sasa hivi anavyo? Maana yake sasa hivi hakuna muislamu. Kwa uliyoandika wewe pia sio muislamu maana yapo unayofanya lakini hayatakiwi kufanywa na muislamu.
Mkuu kama ukitenda dhambi bado unakua muislamu, kwa nini wewe umewahukumu hao wengine kuwa sio waislamu? Mfano hap kina mbosso, zuchu n.kMadhambi hayamtoi mtu katika Uislamu bali u unadhoofisha Imani na Uislamu wa mtu . Mtu akizini , akawa analewavau kuiba nk bado Muislamu.
Unanizushia mkuu , kumtoa mtu katika Uilsamu ni jambo zito hakuna mahali nimesema sio Waislamu.Mkuu kama ukitenda dhambi bado unakua muislamu, kwa nini wewe umewahukumu hao wengine kuwa sio waislamu? Mfano hap kina mbosso, zuchu n.k