Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu wao

Wakristo na Waislamu hawaabudu Mungu mmoja japokuwa wote Mungu wao ni mmoja ambaye ni Allah
Kama wamepotea mnahangaika nao wa nini? Na unajuaje kama wamepotea?
 
Kama wamepotea mnahangaika nao wa nini? Na unajuaje kama wamepotea?
Kwani sababu ya kupotea kwao si nimeitaja hapo?
Na wala hatuhangaiki nao ila tunawaambia ukweli na mbona huwaulizi wanahangaika na sisi kwa nini
 
Mjibuni kwanza Profesa wa Islamic History Sir Salman Rushdie:
Aliye andika Qurani ni Satanic Verses:
Kila akiwaalika ili awaeleweshe mnaishia kuwatumia Magaidi wenu ili wamwue:
Mara ya mwisho aliwaalika mkaishia kumchoma visu:

Na badala ya kumjibu mmeishia kukipiga marufuko kitabu chake na kumtangazia Fatwa yaani mkimkamata mumuuwe:

Hivi inahitajia elimu ya dalasa la ngapi ilijue kuwa Qurani ni Satanic Verses ?

Ni kwanini mumetangaza kuwa hairuhusiwi mtu yoyote kuuza, kusambaza au kusoma Satanic Verses?

Nyie na Mwarabu PhD in Islamic History ni nani anaujua Uislamu ?

Hivi hata mnashindwa kujiuliza kweli...!
Yaan mtamponda sana Muddy kwa kumkejeri ila kiukweli mimi namkubali sana kwenye ishu ya Totozi tu.Jamaa Alikuwa analamba kuanzia mishangazi( Waliomzidi umri) hadi watoto chini ya miaka 10.
Ningekuwepo kipindi chake ningeshakuwa muislam na mimi niwe najilia totozi za kila aina kama Muddy.
 
Halafu nyinyi mnapenda kuuliza maswali tu kujibu maswali yetu hamtaki

Sasa mpaka leo haujajibu mwili aliokuwa anautumia Yesu ambao unasema ni wa binadamu ulikuwa wa binadamu gani na mwenyewe yuko wapi?
Yesu ni mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu bali nafsi ya Mungu ...tumia akili ...wewe hujui nafsi ni nini ? Unapo uliza swali uwe unatumia akili
 
Yesu ni mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu bali nafsi ya Mungu ...tumia akili ...wewe hujui nafsi ni nini ? Unapo uliza swali uwe unatumia akili
Nimekuuliza mwili wa binadamu gani?
 
Pia Khadija ni wa pili kwenye kufuata wahy wa Mtume Muhammad na si wa pili kwenye kuutekeleza kiukamilifu
Mbona umesema Muhammad ni wa kwanza kwenye kutekeleza wahy KIKAMILIFU kisha bi hadija ni wapili kwenye kufuata Wahy tu...kwanza kumbuka kuwa wahy kwa Muhammad haukuja siku moja wote kwa ukamilifu...sasa ni wahy gani ambao bi hadija aliufuata siku ile ambayo Muhammad alikurupuka pangoni...maana Muhammad mwenyewe alikuwa ajui ni kiumbe gani kilicho mtokea ..hivyo Muhammad alikuwa hana wahy wowote kwa bi hadija siku ile aliyo kurupuka pangoni
 
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible
kwa Hiyo wewe umekubali kuwa Yesu ndio Isa, basi kubalina na hili kwamba Yesu sio mtoto wa Mungu wala sio Mungu.
 
Mbona umesema Muhammad ni wa kwanza kwenye kutekeleza wahy KIKAMILIFU kisha bi hadija ni wapili kwenye kwenye kufuata Wahy tu...kwanza kumbuka kuwa wahy kwa Muhammad haukuja siku wote kwa ukamilifu...sasa ni wahy gani ambao bi hadija aliufuata siku ile ambayo Muhammad alikurupuka pangoni...maana Muhammad mwenyewe alikuwa ajui ni kiumbe gani kilicho mtokea ..hivyo Muhammad alikuwa hana wahy wowote kwa bi hadija siku ile aliyo kutupukq pangoni
Wewe ndiyo umesema kuwa hakuwa na wahy wowote lakini wahy alikuwa nao

Halafu nani amesema wahy ulikuja kikamilifu tangu siku ya kwanza nani mbona unatunga wewe🤣🤣🤣
 
Wewe ndiyo umesema kuwa hakuwa na wahy wowote lakini wahy alikuwa nao

Halafu nani amesema wahy ulikuja kikamilifu tangu siku ya kwanza nani mbona unatunga wewe🤣🤣🤣
Nilini Muhammad aliambiwa na Allah kuwa awe wa kwanza kwenye uislamu? Je wakati Ana ambiwa kulikuwa na wahy gani na gani? Kwa sababu ulisema Muhammad ni wakwanza kwenye kufuata wahy kikamilifu uliokuja baada ya yeye kupewa utume ?
 
Nilini Muhammad aliambiwa na Allah kuwa awe wa kwanza kwenye uislamu? Je wakati Ana ambiwa kulikuwa na wahy gani na gani? Kwa sababu ulisema Muhammad ni wakwanza kwenye kufuata wahy kikamilifu uliokuja baada ya yeye kulewa utume ?
Aliyekuambia uliokuja baadae nani
 
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Petro alikuwa Muislam?
 
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Chizi Maarifa njoo huku muislamu mwenzio anadai Issa na nabii Adam wote walikuwa waislamu ... sasa kati ya Muhammad na nabii Adam ni yupi alikuwa muislamu wa kwanza ? Waislamu mnaruka na kukanyagana.😁
 
Back
Top Bottom