Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Weka mfano wa hayo mambo ninayoyafanya .

Madhambi hayamtoi mtu katika Uislamu bali u unadhoofisha Imani na Uislamu wa mtu . Mtu akizini , akawa analewavau kuiba nk bado Muislamu.

Shirki kama ya familia ya Chizi Maarifa ndio inaweza kumtoa mtu katika Uislamu . Na Waislamu wengi wanafanya ushirikina sasa kutokana na uchache wa elimu mfano ;

1. Kuvaa bangili , hirizi kuamini inakulinda
2. Kuenda kwa Mganga mshirikina
3. Kuamini katika nyota , mpiga ramli
4. Kuomba wafu makaburini , masharifu
5. Kuchinja Wanyama kwa ajili ya mizimu na majini.
6. Uganga wa Kishirikina kama wa Baba yake Chizi Maarifa na familia yake.
7. Nk

Wewe nimegundua ni kafir kabisa. Huwezi mwita sheikh ni mushrik. Kama kusoma kurjuan ni shirk basi wewe una taka kutuchafua sisi tuliofundishwa na Maalimu na Ma Alhadji siyo wewe maamuna.
 
Unanizushia mkuu , kumtoa mtu katika Uilsamu ni jambo zito hakuna mahali nimesema sio Waislamu.

Nimesema kuwa weupe kuhusu Uislamu sahihi yaani Maarifa ya Uislamu na sijasema sio Waislamu . Mtu unaweza kuwa Dereva lakini hausomea wala haujui Sheria za barabarani vizuri hapo utakuwa Dereva tu na sio Dereva bora
Kwani sifa za mtu kuitwa huyu ni muislamu ni zipi? muislamu akifanya kitu gani ndio itahesabika sasa kuwa hiyu sio muislamu Tena?
Ina maana hata kama muislamu anakula kitimoto, anazini ,shoga, anafanya ujambazi, anaua, bado anahesabika kuwa ni muislamu?
 
Wewe nimegundua ni kafir kabisa. Huwezi mwita sheikh ni mushrik. Kama kusoma kurjuan ni shirk basi wewe una taka kutuchafua sisi tuliofundishwa na Maalimu na Ma Alhadji siyo wewe maamuna.
MaSheik wengi wa Zamani walikuwa hawana Elimu sahihi mambo ya uzushi na ushirikina mwingi ndio chanzo cha hovyo cha Waislamu.

Hakuna kufundushwa Aqidah wala Tawheed ni madufu , Qu'ran tena kwa kuripua basi imetoka kuhusu Elimu ya dini weupe sana .

Kusoma Qu'ran sio shirk bali mtu anaweza kusoma Qu'ran na akawa mshirikina Vilevile kutokana na matendo yake .

Uzi kuhusu Baba yako niliusoma alikutana tu na watu wajinga wakamuona bonge la Sheikh kumbe alikuwa katika wimbi la ushirikina ndio maana sio ajabu mtoto wake kama wewe kuwa katika hali kama hii sababu umekulia katika mazingira ya ushirikina.
 
OK , kwa Leo naishia hapa nadhani ushapata darasa tosha kuwa ulikuwa gizani katika wimbi la ushirikina.

# I SINCERELY PIT YOU, YOUR FATHER AND YOUR FAMILY
 
Baada ya kuwambia wafuasi wake wapende maadui zao, kwa kushangaza, Yesu pia anawaambia wazifanye familia zao kuwa maadui zao.

“35;Kwa maana nimekuja kuleta kutokuele wana kati ya mtu na baba yake, na kati ya binti na mama yake, na kati ya mkwe na mama mkwe wake.

36 ;Na maadui wakubwa wa mtu watakuwa watu wa nyumbani kwake.”
– Mathayo 10:35,36

““Mtu ye yote anayekuja kwangu hawezi kuwa mfuasi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto, kaka zake na dada zake; naam, hata maisha yake mwenyewe..” – Luka 14:26

Yesu anaenda mbali kiasi gani na agizo hili lisilo la kirafiki (na ambalo linaonekana kupuuzia akili)? Mathayo anatoa jibu:

“ ;Ndugu atamsaliti ndugu yake auawe, na baba atamsaliti mwanae auawe. Watoto nao wataasi wazazi wao na kusababisha wauawe.– Mathayo 10:21

Baada ya kuwafanya wafuasi wake wawe mbali na familia zao kwa maneno haya ya kikatili, Yesu anawaelekeza jinsi ya kushughulikia sehemu za miili yao zinazowaongoza dhambini – kukatwa! Wanapaswa kujikata mikono na kuchomoa macho. Anasema ni bora kuwa na ulemavu kuliko kuumia kwa moto wa milele wa jahannamu.

“Kama mkono wako ukikusababisha utende dhambi, ukate. Ni afadhali kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja kuliko kuwa na mikono miwili ukaingia katika moto usiozimika. ” – Marko 9:43
Niulize mimi ili swali 😁
 
MaSheik wengi wa Zamani walikuwa hawana Elimu sahihi mambo ya uzushi na ushirikina mwingi ndio chanzo cha hovyo cha Waislamu.

Hakuna kufundushwa Aqidah wala Tawheed ni madufu , Qu'ran tena kwa kuripua basi imetoka kuhusu Elimu ya dini weupe sana .

Kusoma Qu'ran sio shirk bali mtu anaweza kusoma Qu'ran na akawa mshirikina Vilevile kutokana na matendo yake .

Uzi kuhusu Baba yako niliusoma alikutana tu na watu wajinga wakamuona bonge la Sheikh kumbe alikuwa katika wimbi la ushirikina ndio maana sio ajabu mtoto wake kama wewe kuwa katika hali kama hii sababu umekulia katika mazingira ya ushirikina.

Mapadri na wachungaji wenye elimu ,wamekuwa mashoga

View: https://youtu.be/SZC1nxhekZo?si=Yl3JjZc3Xv2wFlG6
 
Biblia inafundisha wazi kwamba Mungu pekee ndiye Muumba wa wanadamu. Mungu alimpa Adamu uhai kwa pumzi ya uhai (Mwanzo 2:7). Pumzi hiyo ni kitu kilichoumbwa, si Mungu mwenyewe.

Katika Ayubu 33:4, neno la Kiebrania Nashamah linamaanisha pumzi, si Roho wa Mungu. Hivyo aya hiyo ina maana:

Biblia pia inasema:

  • Mungu akiondoa pumzi, mwanadamu hufa (Zaburi 104:29)
  • Pumzi ya mwanadamu imeumbwa na Mungu (Isaya 57:16)

Mahali Paulo alikosea​

Paulo alimpa Roho Mtakatifu sifa za Mungu, akimfanya awe wa milele na wa Kimungu, jambo ambalo halifundishwi wazi katika Agano la Kale.

Mfano:

  • Paulo alitumia neno la Kigiriki “Aionios” (wa milele) kumhusu Roho Mtakatifu
  • Lakini Biblia inafundisha kuwa ni Mungu pekee aliye wa milele
  • Roho au pumzi hutoka kwa Mungu na hurudi kwake (Mhubiri 12:7)

BIBLIA IMEANDIKA

Hii inaonyesha kwamba roho au pumzi huondoka mwilini, si Mungu anayekufa.

  • Mungu ndiye Muumba wa milele
  • Roho/pumzi ni kitu alichoumba Mungu
  • Paulo alikosea kwa kumtukuza Roho kama Mungu wa milele, badala ya kumtaja kama pumzi au nguvu itokayo kwa Mungu

Kwa hiyo, mafundisho ya Paulo kuhusu Roho hayalingani kikamilifu na maandiko ya awali ya Biblia.
Roho mtakatifu maana yake ni nafsi ya mungu yupo milele na hata watakatifu wa kale walikuwa nayo ...soma...tatizo lako unachanganya roho ya mwanadamu na roho wa mungu ...roho mtakatifu NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWANADAMU MWENYE NAFSI YA MWANADAMU ...Neno puumzi umaanisha nafsi siyo kila pumzi yaani nafsi ni nafsi ya Mungu....wewe kinacho kuchanganya ni lugha ..mtu mwenye roho mtakatifu ni sawa na kusema ana pumzi mbili moja ya mwanadamu na nyingine ya Mungu ....
 
Mchungaji , Biblia haifundishi kwamba Roho Mtakatifu ni “nafsi ya Mungu ndani ya mwanadamu” wala mtu ana “pumzi mbili”. Huo ni ufafanuzi wa kibinadamu.

Biblia inatenganisha roho ya mwanadamu na Roho wa Mungu

“Roho wa Mungu anashuhudia pamoja na roho zetu…”— Warumi 8:16 . Kama Roho Mtakatifu ni nafsi ya mwanadamu, kusingekuwa na “roho zetu” tofauti na “Roho wa Mungu”.

Roho Mtakatifu anaweza kuondoka “Usiniondolee Roho wako Mtakatifu.” — Zaburi 51:11
Nafsi ya Mungu haiwezi kuondolewa; kwa hivyo Roho Mtakatifu si “nafsi ya Mungu ndani ya mtu”.

Watakatifu wa kale hawakuwa na Roho Mtakatifu kama Agano Jipya “Roho Mtakatifu alikuwa bado hajapewa…”— Yohana 7:39

“Pumzi ya uhai” si Roho Mtakatifu
_ Mwanzo 2:7 . Kama pumzi ingekuwa Roho Mtakatifu, basi kila mtu angekuwa naye, lakini ; Ulimwengu hauwezi kumpokea Roho.” — Yohana 14:17

Roho Mtakatifu ni kipawa, si kitu cha kuzaliwa nacho — Matendo ya Mitume 2:38

Kwa hivyo Roho Mtakatifu si nafsi ya mwanadamu, si nafsi ya Mungu iliyochanganyika na mtu, bali ni Roho wa Mungu anayekaa ndani ya mtu kwa mapenzi ya Mungu.

Tatizo si lugha, tatizo ni tafsiri isiyo ya Biblia.
 
Soma soma soma ....ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MCHAMUNGU ...WACHA UBISHI....soma sehemu zote kuhusu Roho Mtakatifu kisha tumia hii fafanuzi niliyo kupa utajua ninacho kuambia ndiyo kweli.
 
Nisome Aya ipi kutoka biblia yenye maneno yako??
 
Aliyekuambia uliokuja baadae nani
Wewe jamaa ni katuni siyo binadamu 😁😁 nimecheka sana hii comment...yaani katika kujaribu kwako kumtetea Mudi na Allah ..ulisema ..MUHAMMAD NI WA KWANZA KUFUATA WAHY ULIOKUJA ZAMA ZAKE SIYO WAHY ZA KALE ...Sasa hivi unakanudha ..kuna sehemu ulinijibu kuwa kwani hao mitume na manabii na wachamungu wa kale walikuwa na wahy wa Muhammad..ukimaanisha na kusisiza kuwa wahy unaozungumziwa ni ule wa zama za muhamad si vinginevyo ...sasa tazama jibu lako 😁 WAHY WA ALLAH KWA KUPITIA MUHAMMAD ULIKUJA MBELE YAKE SIYO NYUMA YAKE...WAHY ULIOKUWAPO NYUMA YA MUHAMMAD NI TORATI NA INJILI NA ZABURI NK ambao wewe umekanushq kuwa Muhammad siyo wa kwanza kwenye wayh isipokuwa wahy aliopokea yeye.
 
leta biblia original acha siasa.

ushahidi pekee ni kuleta original bible.

maana mtu mwenye akili timamu akiikataa biblia ya sasa kwa kusema n feki shart awe na original.

ibandike hapa. .
 
Aliyekuwa na wanafunzi alikuwa ni Yesu siyo Issa kwani walikuwa ni watu wawili tofauti kabisa.

Kutokana na Qurani Isa na wanafunzi wake ni
Waislamu:
Soma soma soma ....ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MCHAMUNGU ...WACHA UBISHI....soma sehemu zote kuhusu Roho Mtakatifu kisha tumia hii fafanuzi niliyo kupa utajua ninacho kuambia ndiyo kweli.

"The 12" - Fabricated followers of a fabricated Saviour​

Real or Imagined?​

The apostles should be twelve of the most famous people in history. We’re told they were hand picked by Jesus to witness his wondrous deeds, learn his sublime teachings, and take the good news of his kingdom to the ends of the earth.

Which makes it all the more surprising that we know next to nothing about them. We can’t even be sure of their names: the gospels list a collection of more than twenty names for the so-called twelve disciples – with Bartholomew sometimes showing up as Nathanael, Matthew as Levi and Jude as Thaddeus, Lebbaeus, or Daddaeus!

It should be apparent that if the twelve were actual historical figures, with such an important role in the foundation and growth of the Church, it would be impossible to have such wild confusion over the basic question of who they really were.

But what do we know about any of them?

"Twelve Good Men and True"?​

The fact is that for seven of the twelve, our only early source, the Gospels, say nothing about them at all. They are just names on a list.

Isn’t it a tad odd that such worthies, infused with the Holy Spirit and given powers to heal the sick and cast out demons, wrote nothing, or had nothing written for them or about them? Isn’t it odd that men chosen to be eye-witnesses to the mighty deeds of Jesus, wrote no eye-witness statements, left no sermons, no memoirs, no letters, no teachings, no pithy words of encouragement?

All that we have about “the twelve” are conflicting legends and fantastic stories from a much later date, tall stories about where they went, what they did and most especially how they died. Their deaths, it seems, have been recorded in loving and lurid detail. And it is the graphic deaths of the disciples that solves the riddle. We’ve all heard the apologetic claim: “Would they have died for a lie? Therefore the story of Jesus must be true.”

But we all know how useful to a cause is a dead martyr, even if he’s a fiction. In the case of Jesus, the twelve are a fiction, a necessary entourage for a sun god, passing through the twelve constellations of the zodiac. Just like other saviour gods, Jesus had to have his retinue.

The truth is, the twelve disciples are a grubby and sordid invention.
 
Back
Top Bottom