Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

ismail alipatikana kwa njia gani?? hajra alikuwa mke wa ibrahim? au alikuwa kijakazi?

Wanajisasibu na Ishmael.

Uzao wa Ishmael kwenye Bible.
Na uzao wa Ishmael wa kwenye Quran ni tofaut.

Ishmael sio baba wa Waarabu.
Alipoenda uarabun alikuta waarabu tayar. Ila yeye alioa muarabu na akakubal tamaduni za kiarabu. Ingawa hakuzaliwa muarabu.
So hawez kuwa baba wa waarabu
Wala babu wa Mohamed.

Mtume amejibambikiza ili aseme kuwa amebarikiwa maana Ishmael aliambiwa amebarikiwa na Mungu kwa kupitia Baba yake Ibrahim.
 
Acha ufala ww mla nguruwe mafichoni.
Kasome Yohana 15:12

Baada ya kuwambia wafuasi wake wapende maadui zao, kwa kushangaza, Yesu pia anawaambia wazifanye familia zao kuwa maadui zao.

“35;Kwa maana nimekuja kuleta kutokuele wana kati ya mtu na baba yake, na kati ya binti na mama yake, na kati ya mkwe na mama mkwe wake.

36 ;Na maadui wakubwa wa mtu watakuwa watu wa nyumbani kwake.”
– Mathayo 10:35,36

““Mtu ye yote anayekuja kwangu hawezi kuwa mfuasi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto, kaka zake na dada zake; naam, hata maisha yake mwenyewe..” – Luka 14:26

Yesu anaenda mbali kiasi gani na agizo hili lisilo la kirafiki (na ambalo linaonekana kupuuzia akili)? Mathayo anatoa jibu:

“ ;Ndugu atamsaliti ndugu yake auawe, na baba atamsaliti mwanae auawe. Watoto nao wataasi wazazi wao na kusababisha wauawe.– Mathayo 10:21

Baada ya kuwafanya wafuasi wake wawe mbali na familia zao kwa maneno haya ya kikatili, Yesu anawaelekeza jinsi ya kushughulikia sehemu za miili yao zinazowaongoza dhambini – kukatwa! Wanapaswa kujikata mikono na kuchomoa macho. Anasema ni bora kuwa na ulemavu kuliko kuumia kwa moto wa milele wa jahannamu.

“Kama mkono wako ukikusababisha utende dhambi, ukate. Ni afadhali kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja kuliko kuwa na mikono miwili ukaingia katika moto usiozimika. ” – Marko 9:43
 
Wanajisasibu na Ishmael.

Uzao wa Ishmael kwenye Bible.
Na uzao wa Ishmael wa kwenye Quran ni tofaut.

Ishmael sio baba wa Waarabu.
Alipoenda uarabun alikuta waarabu tayar. Ila yeye alioa muarabu na akakubal tamaduni za kiarabu. Ingawa hakuzaliwa muarabu.
So hawez kuwa baba wa waarabu
Wala babu wa Mohamed.

Mtume amejibambikiza ili aseme kuwa amebarikiwa maana Ishmael aliambiwa amebarikiwa na Mungu kwa kupitia Baba yake Ibrahim.

Mwanzo 16:3 Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.

Ningeweza kumaliza hapa tu, kwa kuwa aya yenyewe inasema kuwa Abrahamu alimwoa Haga!

Lakini nitachukua hatua zaidi, kwa sababu baadhi ya Wakristo bado hawataridhika na hili na wanaweza kuleta tafsiri zisizo sahihi.

Kwa hivyo nitataja wanachuoni wa Biblia, na tafsiri za Biblia kuhusu aya hii yenyewe.

The Adam Clarke Commentary

Verse 1. She had a handmaid, an Egyptian

As Hagar was an Egyptian, St. Chrysostom's conjecture is very probable. that she was one of those female slaves which Pharaoh gave to Abram when he sojourned in Egypt; see Genesis 12:16. Her name hagar signifies a stranger or sojourner, and it is likely she got this name in the family of Abram, as the word is pure Hebrew.

Verse 2. Go in unto my maid.

It must not be forgotten that female slaves constituted a part of the private patrimony or possessions of a wife, and that she had a right, according to the usages of those times, to dispose of them as she pleased, the husband having no authority in the case.

I may obtain children by her.

The slave being the absolute property of the mistress, not only her person, but the fruits of her labour, with all her children, were her owner's property also.
The children, therefore, which were born of the slave, were considered as the children of the mistress. It was on this ground that Sarai gave her slave to Abram; and we find, what must necessarily be the consequence in all cases of polygamy, that strifes and contentions took place.

Verse 3. And Sarai, Abram's wife, took Hagar-and gave her to her husband-to be his wife.

There are instances of Hindoo women, when barren, consenting to their husbands marrying a second wife for the sake of children; and second marriages on this account, without consent, are very common.-Ward

The New John Gill Exposition of the Entire Bible

And Sarai, Abram's wife, took Hagar her maid, the Egyptian
,
&c.] Took her by the hand, it is probable, and led her into the apartment where Abram was, and presented her to him; their characters are very exactly described, and the contrast beautifully given, that the affair might be the more remarkable and observable:

after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan;

so that he was now eighty five years of age, for he was sventy five when he departed from Haran and came into Canaan, (Genesis 12:4) ; and Sarai, being ten years younger than he, must be sventy five; the Jews from hence have formed a rule or canon; that if a man marries a woman, and she has no children in ten years, he is obliged to marry another F8:

and gave her to her husband Abram to be his wife
;

his secondary wife, or concubine; which, though contrary to the first institution of marriage, was connived at of God, and was practised by good men: nothing can excuse them but their earnest desire after the Messiah, the promised seed; and one may conclude, that nothing but this especially could move Sarai to take such a step, so contrary to the temper and disposition of women in common.

Coffman Commentaries on the Old and New Testament

Verses 3, 4

And Sarai, Abram's wife, took Hagar the Egyptian, her handmaid, after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan, and gave her to Abram her husband to be his wife. And he went in unto Hagar, and she conceived: and when she saw that she had conceived, her mistress was despised in her eyes.

Sarai and Abram had not counted on such a development as this. They had their weaknesses, but Hagar also had hers. Hagar was then Abram's wife, and although she was not on an equality with Sarai, being in fact her slave, she nevertheless despised her mistress. Thinking that, then, her child would be heir to Abram's fortune, her essential temperament as a slave did not lead her to accept her status and treat Sarai with proper respect.

Thus, the tragedy of the arrangement was soon evident. It was impossible for Hagar to be sent away by Sarai, for the laws of that period granted certain rights to slave wives, and Hagar could neither have been sold nor dismissed. The device had appeared to work. Sure enough, Hagar would soon be a mother, but the jealousies and hatreds that entered Abram's household at that point must have been a sore trial for the whole family. Such is ever the result of sin. As Leupold expressed it, "Polygamy is always bound to be the fruitful mother of envy, jealousy, and strife.

A number of authors refer to the Code of Hammurabi in connection with this episode. It "warns expressly, that a slave girl elevated by her mistress should not and could not claim equality."

To be his wife?

The Hebrew word rendered wife is the same word also rendered concubine. However, there was a difference, and Hagar certainly enjoyed the status of Abram's wife, however subordinate to Sarai. It was a situation certain to produce friction, hatred, and tragedy.

So as you can see, I have quoted 3 Christian bible commentaries (tafsir) and they all agree that Hagar was indeed Abraham’s wife.

Kama unavyoona, tafsiri hizi tatu za Biblia za Kikristo zinakubaliana kwamba Haga kweli alikuwa mke wa Abrahama, ingawa katika hadhi ya pili na chini ya Sarai.
 
ismail alipatikana kwa njia gani?? hajra alikuwa mke wa ibrahim? au alikuwa kijakazi?
Alikuwa ni mke halali wa Nabii Ibrahim na kabla ya hapo alikuwa ni kijakazi wa mke mkubwa wa Nabii Ibrahim Bi Sarah na ndipo Bi Sarah akampa mumewe ili amuoe
 
Nilipotangatanga wapi
Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi ?...majibu yako kama ya AI...yaani unageuza geuza vigezo...onyesha aya ya hiyo hoja yako kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye dhana ya kupokea wahy siyo kuwa muislamu
 
Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi ?...majibu yako yako kama ya AI...yaani unageuza geuza vigezo...onyesha aya ya hiyo hoja yako kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye dhsna ya kupokea wahy siyo kuwa muislamu
Wewe una majibu yako ya Nabii wako Tito ??
 
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo

Makobaz bana, yaani muddy alikuja akabuni huo utopolo na kuwaambia kuwa Yesu aliufuata.
Ujio wa muddy ulishatajwa kama mpinga Kristo na atawapeleka jehanum nyie wote.
Alikua mchafu wa kudinya katoto ka umri wa miaka tisa, kila nikifikiria hicho kitu huwa nachukia sana, napata kichefu chefu cha kutapikisha
 
Wewe una majibu yako ya Nabii wako Tito ??
Injili zote zimetaja Yesu kuwa ni mfalme je aliwahi kuwa mfalme alipokuwa duniani ? Hadi torati ina mtaja kuwa mfalme ...ndiyo maana hadi waisrael wa kale hadi leo wanatambua huyo mtu akija duniani ni mfalme.....na imeandikwa kwenye vitabu vya torati kuwa UFALME WAKE HAUNA MWISHO ,,swali huyo masihi ni Muhammad? Je Muhammad anazo sifa hizo ? Je yesu naye ni mfalme duniani hadi sasa ana ishi duniani ? Kama siyo basi huu ni ushahidi kuwa Yesu ni mfalme na UFALME wake ni wamilele mbinguni .
 
Mwanzo 16:3 Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.

Ningeweza kumaliza hapa tu, kwa kuwa aya yenyewe inasema kuwa Abrahamu alimwoa Haga!

Lakini nitachukua hatua zaidi, kwa sababu baadhi ya Wakristo bado hawataridhika na hili na wanaweza kuleta tafsiri zisizo sahihi.

Kwa hivyo nitataja wanachuoni wa Biblia, na tafsiri za Biblia kuhusu aya hii yenyewe.

The Adam Clarke Commentary

Verse 1. She had a handmaid, an Egyptian

As Hagar was an Egyptian, St. Chrysostom's conjecture is very probable. that she was one of those female slaves which Pharaoh gave to Abram when he sojourned in Egypt; see Genesis 12:16. Her name hagar signifies a stranger or sojourner, and it is likely she got this name in the family of Abram, as the word is pure Hebrew.

Verse 2. Go in unto my maid.

It must not be forgotten that female slaves constituted a part of the private patrimony or possessions of a wife, and that she had a right, according to the usages of those times, to dispose of them as she pleased, the husband having no authority in the case.

I may obtain children by her.

The slave being the absolute property of the mistress, not only her person, but the fruits of her labour, with all her children, were her owner's property also.
The children, therefore, which were born of the slave, were considered as the children of the mistress. It was on this ground that Sarai gave her slave to Abram; and we find, what must necessarily be the consequence in all cases of polygamy, that strifes and contentions took place.

Verse 3. And Sarai, Abram's wife, took Hagar-and gave her to her husband-to be his wife.

There are instances of Hindoo women, when barren, consenting to their husbands marrying a second wife for the sake of children; and second marriages on this account, without consent, are very common.-Ward

The New John Gill Exposition of the Entire Bible

And Sarai, Abram's wife, took Hagar her maid, the Egyptian
,
&c.] Took her by the hand, it is probable, and led her into the apartment where Abram was, and presented her to him; their characters are very exactly described, and the contrast beautifully given, that the affair might be the more remarkable and observable:

after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan;

so that he was now eighty five years of age, for he was sventy five when he departed from Haran and came into Canaan, (Genesis 12:4) ; and Sarai, being ten years younger than he, must be sventy five; the Jews from hence have formed a rule or canon; that if a man marries a woman, and she has no children in ten years, he is obliged to marry another F8:

and gave her to her husband Abram to be his wife
;

his secondary wife, or concubine; which, though contrary to the first institution of marriage, was connived at of God, and was practised by good men: nothing can excuse them but their earnest desire after the Messiah, the promised seed; and one may conclude, that nothing but this especially could move Sarai to take such a step, so contrary to the temper and disposition of women in common.

Coffman Commentaries on the Old and New Testament

Verses 3, 4

And Sarai, Abram's wife, took Hagar the Egyptian, her handmaid, after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan, and gave her to Abram her husband to be his wife. And he went in unto Hagar, and she conceived: and when she saw that she had conceived, her mistress was despised in her eyes.

Sarai and Abram had not counted on such a development as this. They had their weaknesses, but Hagar also had hers. Hagar was then Abram's wife, and although she was not on an equality with Sarai, being in fact her slave, she nevertheless despised her mistress. Thinking that, then, her child would be heir to Abram's fortune, her essential temperament as a slave did not lead her to accept her status and treat Sarai with proper respect.

Thus, the tragedy of the arrangement was soon evident. It was impossible for Hagar to be sent away by Sarai, for the laws of that period granted certain rights to slave wives, and Hagar could neither have been sold nor dismissed. The device had appeared to work. Sure enough, Hagar would soon be a mother, but the jealousies and hatreds that entered Abram's household at that point must have been a sore trial for the whole family. Such is ever the result of sin. As Leupold expressed it, "Polygamy is always bound to be the fruitful mother of envy, jealousy, and strife.

A number of authors refer to the Code of Hammurabi in connection with this episode. It "warns expressly, that a slave girl elevated by her mistress should not and could not claim equality."

To be his wife?

The Hebrew word rendered wife is the same word also rendered concubine. However, there was a difference, and Hagar certainly enjoyed the status of Abram's wife, however subordinate to Sarai. It was a situation certain to produce friction, hatred, and tragedy.

So as you can see, I have quoted 3 Christian bible commentaries (tafsir) and they all agree that Hagar was indeed Abraham’s wife.

Kama unavyoona, tafsiri hizi tatu za Biblia za Kikristo zinakubaliana kwamba Haga kweli alikuwa mke wa Abrahama, ingawa katika hadhi ya pili na chini ya Sarai.

Maelezo yako marefu ya AI hayajajibu hoja yangu.

1. Uzao wq Ishmael kwenye Biblia na wa kwenye Quran unatofautiana.

2. Inawezekanaje awe Baba wa Waislam wakat kazaliwa na Ibrahim (baba) na ubin unatoka kwa baba.

3. Ameoa muarabu ndio. Lakin kumbuka Ubin unatoka kwa baba. (Ibrahim) na kwenda kwa mtoto(ishamel).
How its possible akawa na wan.a. waarabu?.
 
Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi ?...majibu yako kama ya AI...yaani unageuza geuza vigezo...onyesha aya ya hiyo hoja yako kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye dhana ya kupokea wahy siyo kuwa muislamu
Wewe unakimbilia kuwaambia wenzio watoe ushahidi wa aya ila ukiambia wewe utoe ushahidi wa maandiko tu unakimbia🤣🤣🤣
 
Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi ?...majibu yako kama ya AI...yaani unageuza geuza vigezo...onyesha aya ya hiyo hoja yako kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye dhana ya kupokea wahy siyo kuwa muislamu
Hayo ni maelezo ya Mwanazuoni wa Kiislamu Al Qurtubu
 
Injili zote zimetaja Yesu kuwa ni mfalme je aliwahi kuwa mfalme alipokuwa duniani ? Hadi torati ina mtaja kuwa mfalme ...ndiyo maana hadi waisrael wa kale hadi leo wanatambua huyo mtu akija duniani ni mfalme.....na imeandikwa kwenye vitabu vya torati kuwa UFALME WAKE HAUNA MWISHO ,,swali huyo masihi ni Muhammad? Je Muhammad anazo sifa hizo ? Je yesu naye ni mfalme duniani hadi sasa ana ishi duniani ? Kama siyo basi huu ni ushahidi kuwa Yesu ni mfalme na UFALME wake ni wamilele mbinguni .

1. Je, Yesu aliwahi kuwa mfalme alipokuwa duniani?​

Kwa uhalisia wa kihistoria na Injili zenyewe:

  • Yesu hakuwahi kuwa mfalme wa kisiasa (hakutawala taifa, jeshi wala serikali).
  • Alizaliwa katika familia ya kawaida, akaishi kama mhubiri, na akauawa na Warumi.

Ndiyo maana Yesu mwenyewe alisema:

“Ufalme wangu si wa dunia hii” (Yohana 18:36)

Hii inaonyesha wazi:

Yesu hakudai ufalme wa kidunia.

2. Kwa nini Injili zinamwita Yesu “mfalme”?​

Katika Injili:

  • Yesu huitwa “Mfalme wa Wayahudi”, lakini:
    • Warumi walitumia jina hilo kwa dhihaka
    • Wayahudi wengi walimkataa kwa sababu hakutimiza matarajio yao ya mfalme wa kisiasa

Wayahudi walimngojea Masihi ambaye:

  • Ataongoza vita
  • Atawakomboa kutoka kwa Warumi
  • Ataanzisha ufalme wa Israeli duniani

Yesu hakufanya haya, ndiyo maana:

“Aliwajia wake, lakini wake hawakumpokea” (Yohana 1:11)

3. Torati na “ufalme usio na mwisho” inamaanisha nini?​

Katika Torati na Manabii (kama Danieli, Isaya):

  • “Ufalme wa milele” si lazima uwe ufalme wa kifalme wa mtu mmoja mbinguni
  • Mara nyingi humaanisha:
    • Dola ya haki
    • Sheria ya Mungu kuendelea
    • Uongozi wa kiungu kupitia manabii

Mfano:

“Mungu atainua ufalme ambao hautaangamizwa kamwe” (Danieli 2:44)

👉 Hapa haijasema mfalme atakuwa Mungu, bali ufalme wa Mungu (utawala wa sheria ya Mungu).

4. Je, Masihi huyo ni Muhammad ﷺ?​

Kwa mtazamo wa Uislamu:

  • Muhammad ﷺ si Masihi (Masih) – Masihi ni Yesu (Isa).
  • Lakini Muhammad ﷺ:
    • Alikuwa mtawala wa kidunia
    • Alianzisha dola
    • Sheria yake (Uislamu) inaendelea hadi leo
    • Hana ukoo wa kifalme lakini aliunganisha dini + dola

Kwa maana ya:

“Ufalme usio na mwisho” = sheria ya Mungu kuendelea
👉 Hapa Uislamu unatimiza sifa hiyo zaidi kihistoria

5. Je, Yesu ni mfalme aliye hai hadi sasa?​

Hapa mitazamo inatofautiana:

Ukristo:

  • Yesu ni mfalme wa mbinguni
  • Ana ufalme wa milele
  • Anaishi mbinguni kama mfalme wa kiroho

Uislamu:​

  • Yesu yuko hai, lakini:
    • Sio mfalme
    • Sio Mungu
    • Ni mtume wa Mungu
    • Atarudi duniani kama mfuasi wa sheria ya Muhammad, si kama mfalme wa mbinguni

6. Je, hoja yako ni ushahidi wa Yesu kuwa mfalme wa milele?​

Kwa mtazamo wa imani ya Kikristo – ndiyo
Kwa mtazamo wa historia na maandiko yenyewe – hapana kwa lazima

Kwa sababu:
  • Yesu hakutawala duniani
  • Hakusema atatawala kisiasa
  • Alisema ufalme wake si wa dunia hii
  • Torati haifundishi Masihi kuwa Mungu
Yesu ni Masihi – hili linakubaliwa na Ukristo na Uislamu
Yesu hakuwa mfalme wa kisiasa duniani
“Ufalme wa milele” unaweza kumaanisha utawala wa sheria ya Mungu, si kiti cha kifalme mbinguni
Muhammad ﷺ alitimiza sifa za uongozi wa kidini na kisiasa unaoendelea hadi leo
 
Maelezo yako marefu ya AI hayajajibu hoja yangu.

1. Uzao wq Ishmael kwenye Biblia na wa kwenye Quran unatofautiana.

2. Inawezekanaje awe Baba wa Waislam wakat kazaliwa na Ibrahim (baba) na ubin unatoka kwa baba.

3. Ameoa muarabu ndio. Lakin kumbuka Ubin unatoka kwa baba. (Ibrahim) na kwenda kwa mtoto(ishamel).
How its possible akawa na wan.a. waarabu?.

Kwani Ibrahim ametokea nchi gani ??
 
Hayo maelezo hayatoki AI , otherwise kila mtu anaruhusiwa kutumia hiyo AI unaweza ku check. Mimi sina haja ya kuingia AI , material za ukristo ninazo kwa libraries.

Mwanzo 17:20 (Biblia ya NIV):

“Na kwa habari za Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki; nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya kuwa taifa kubwa.”

Kumbukumbu la Torati 4:7–8 (Biblia ya NIV):

“Ni taifa gani lililo kubwa kiasi cha kuwa na miungu iliyo karibu nalo kama vile Bwana Mungu wetu alivyo karibu nasi kila tunapomwomba? Na ni taifa gani lililo kubwa kiasi cha kuwa na amri na sheria zilizo za haki kama sheria hii yote ninayoweka mbele yenu leo?”

Katika aya zilizo juu, kwanza tunaona ahadi iliyo wazi kutoka kwa MUNGU Mwenyezi kwamba Atalifanya “taifa kubwa” kutokana na wazao wa Ishmaeli.
Kisha tunaona ufafanuzi wa maana ya “taifa kubwa,” yaani taifa linalopokea moja kwa moja Sheria kutoka kwa MUNGU Mwenyezi.

Haya yote ni mazuri na yanaafikiana na Uislamu. Hebu tuangalie kile ambacho Allah Mwenyezi amesema kuhusu Sheria ya Kiyahudi katika Qurani Tukufu:

Qurani Tukufu 5:44:

“Hakika Sisi tuliteremsha Taurati; ndani yake mlikuwamo uongofu na nuru. Kwa hiyo Manabii waliokuwa wamejisalimisha (kwa Mwenyezi Mungu) waliwahukumia Wayahudi kwa hiyo, na vilevile marabi na wanazuoni wa sheria; kwa sababu wao walipewa dhamana ya kulinda Kitabu cha Mwenyezi Mungu, nao walikuwa mashahidi wake. Basi msiwaogope watu, bali niogopeni Mimi, wala msiziuze ishara Zangu kwa thamani ndogo. Na yeyote asiyohukumu kwa yale aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio makafiri.”
 
Makobaz bana, yaani muddy alikuja akabuni huo utopolo na kuwaambia kuwa Yesu aliufuata.
Ujio wa muddy ulishatajwa kama mpinga Kristo na atawapeleka jehanum nyie wote.
Alikua mchafu wa kudinya katoto ka umri wa miaka tisa, kila nikifikiria hicho kitu huwa nachukia sana, napata kichefu chefu cha kutapikisha

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi
Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano
wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini?
 
1. Je, Yesu aliwahi kuwa mfalme alipokuwa duniani?​

Kwa uhalisia wa kihistoria na Injili zenyewe:

  • Yesu hakuwahi kuwa mfalme wa kisiasa (hakutawala taifa, jeshi wala serikali).
  • Alizaliwa katika familia ya kawaida, akaishi kama mhubiri, na akauawa na Warumi.

Ndiyo maana Yesu mwenyewe alisema:

Hii inaonyesha wazi:

Yesu hakudai ufalme wa kidunia.

2. Kwa nini Injili zinamwita Yesu “mfalme”?​

Katika Injili:

  • Yesu huitwa “Mfalme wa Wayahudi”, lakini:
    • Warumi walitumia jina hilo kwa dhihaka
    • Wayahudi wengi walimkataa kwa sababu hakutimiza matarajio yao ya mfalme wa kisiasa

Wayahudi walimngojea Masihi ambaye:

  • Ataongoza vita
  • Atawakomboa kutoka kwa Warumi
  • Ataanzisha ufalme wa Israeli duniani

Yesu hakufanya haya, ndiyo maana:

3. Torati na “ufalme usio na mwisho” inamaanisha nini?​

Katika Torati na Manabii (kama Danieli, Isaya):

  • “Ufalme wa milele” si lazima uwe ufalme wa kifalme wa mtu mmoja mbinguni
  • Mara nyingi humaanisha:
    • Dola ya haki
    • Sheria ya Mungu kuendelea
    • Uongozi wa kiungu kupitia manabii

Mfano:

👉 Hapa haijasema mfalme atakuwa Mungu, bali ufalme wa Mungu (utawala wa sheria ya Mungu).

4. Je, Masihi huyo ni Muhammad ﷺ?​

Kwa mtazamo wa Uislamu:

  • Muhammad ﷺ si Masihi (Masih) – Masihi ni Yesu (Isa).
  • Lakini Muhammad ﷺ:
    • Alikuwa mtawala wa kidunia
    • Alianzisha dola
    • Sheria yake (Uislamu) inaendelea hadi leo
    • Hana ukoo wa kifalme lakini aliunganisha dini + dola

Kwa maana ya:

5. Je, Yesu ni mfalme aliye hai hadi sasa?​

Hapa mitazamo inatofautiana:

Ukristo:

  • Yesu ni mfalme wa mbinguni
  • Ana ufalme wa milele
  • Anaishi mbinguni kama mfalme wa kiroho

Uislamu:​

  • Yesu yuko hai, lakini:
    • Sio mfalme
    • Sio Mungu
    • Ni mtume wa Mungu
    • Atarudi duniani kama mfuasi wa sheria ya Muhammad, si kama mfalme wa mbinguni

6. Je, hoja yako ni ushahidi wa Yesu kuwa mfalme wa milele?​

Kwa mtazamo wa imani ya Kikristo – ndiyo
Kwa mtazamo wa historia na maandiko yenyewe – hapana kwa lazima

Kwa sababu:
  • Yesu hakutawala duniani
  • Hakusema atatawala kisiasa
  • Alisema ufalme wake si wa dunia hii
  • Torati haifundishi Masihi kuwa Mungu
Yesu ni Masihi – hili linakubaliwa na Ukristo na Uislamu
Yesu hakuwa mfalme wa kisiasa duniani
“Ufalme wa milele” unaweza kumaanisha utawala wa sheria ya Mungu, si kiti cha kifalme mbinguni
Muhammad ﷺ alitimiza sifa za uongozi wa kidini na kisiasa unaoendelea hadi leo
SASA UMEJUA KUWA YESU NI MFALME MBINGUNI NA MFALME MBINGUNI NI MMOJA TU NI MUNGU ...HIVYO TAMBUA KUWA NAFSI YA YESU NDIYO MUNGU..
 
Hayo ni maelezo ya Mwanazuoni wa Kiislamu Al Qurtubu
Kamq ni hivyo wapili kupokea wahy ni bi khadija je bi khadija alikuwa anapokea wahy kwa Malaika hadi hapate cheo cha muislamu wa pili
 
Nani kasema Bi Khadija ni wa pili kwa ukamilifu wa kutekekeleza wahyi ni nani?
Al Qurtubu alisema wa kwanza ni Mtume kwa hilo hakutaja habari za Bi Khadija
 
SASA UMEJUA KUWA YESU NI MFALME MBINGUNI NA MFALME MBINGUNI NI MMOJA TU NI MUNGU ...HIVYO TAMBUA KUWA NAFSI YA YESU NDIYO MUNGU..
Mungu hakatwi fudu, akajamba

Yaani hivi Mungu anaweza kugeuka panya akaliwa na paka , na mavi yatakuwa ya paka ya ya Mungu?
 
Back
Top Bottom