Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Alizaliwa wapi ?Isa hajazaliwa Madina acha kupotosha
Alizaliwa wapi ?Isa hajazaliwa Madina acha kupotosha
Isa hakuwahi kubatizwa wala kutahiriwa kama Dini ya Nabii Ibrahimu inavyotaka
Mwanzo 17:10
Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
Halafu wanasema ameichukua Dini ya Ibrahimu:Mohamed ndio hakutahiriwa.
Waislam wabishe kwa aya ya Quran kuwa Mtume alifanyiwa sunna.
Kama Allah ni mungu muweza wa yote mbona Wakristu ndiyo wanaongoza dunia? Kwa nn nchi zisizoamini Allah ni dhaifu sana mbele ya nchi za Makafir?Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu wao
Allah ni jina la jumla la mungu kwa kiarab. Huyo mungu wa kiarab jina lake ni nani?Wakristo na Waislamu hawaabudu Mungu mmoja japokuwa wote Mungu wao ni mmoja ambaye ni Allah
Na wewe pia bisha kwa maandikoMohamed ndio hakutahiriwa.
Waislam wabishe kwa aya ya Quran kuwa Mtume alifanyiwa sunna.
Bayt LahmAlizaliwa wapi ?
Imeandikwa dunia ni gereza kwa muumini na pepo kwa kafiriKama Allah ni mungu muweza wa yote mbona Wakristu ndiyo wanaongoza dunia? Kwa nn nchi zisizoamini Allah ni dhaifu sana mbele ya nchi za Makafir?
Yeah na Allah ndiye aliyemtuma kama alivyowatuma Mitume na Manabii kabla yakeMuhamad hakuna sehemu anasema mungu yupi kamtuma anadai tu mungu(Allah) kamtuma.
Allah ni jina la Mungu wa Waarabu, Wakureshi.Kama Allah ni mungu muweza wa yote mbona Wakristu ndiyo wanaongoza dunia? Kwa nn nchi zisizoamini Allah ni dhaifu sana mbele ya nchi za Makafir?
Allah ni jina la jumla la mungu kwa kiarab. Huyo mungu wa kiarab jina lake ni nani?
Musa alipoambiwa na Mungu akawakomboe waisrael toka kwa Farao, Musa alimwambia Mungu kuwa Waisrael watamuuliza mungu gani kakutuma? Jina lake ni nani? Ndipo Mungu akamwambia Musa wakikuuliza wajibu Mungu "Niko ambaye niko" ama "YHWH" kwa kiebrabia amekutuma.
Muhamad hakuna sehemu anasema mungu yupi kamtuma anadai tu mungu(Allah) kamtuma.
Ilaah ni sawa na kusema god na Allah ni sawa na kusema The God ambaye huyo ni mmoja tuAllah ni jina la Mungu wa Waarabu:
Kwa Kiarabu Mungu ni illah
Shahada
La illah ila Allah= Hakuna Mungu isipokuwa Allah:
Hao Huwa wanajitoaga ufahamu tu ili kufanya Taqiyya
Allah sio Mungu wa waarabu ila ni wa watu wote hata wewe ingawa sio watu wake wote wanamuabuduAllah ni jina la Mungu wa Waarabu, Wakureshi.
Kwa Kiarabu Mungu ni illah
Shahada
La illah ila Allah= Hakuna Mungu isipokuwa Allah:
Hao Huwa wanajitoaga ufahamu tu ili kufanya Taqiyya
😃😃😃😃😃😃Isa hakuwahi kubatizwa wala kutahiriwa kama Dini ya Nabii Ibrahimu inavyotaka
Mwanzo 17:10
Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
😭😭😭😭😭😭Isa hakuwahi kubatizwa wala kutahiriwa kama Dini ya Nabii Ibrahimu inavyotaka
Mwanzo 17:10
Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
Kwa hiyo hakuna myahudi atakaye ingia peponi ? Kwani ujui kuwa yesu naye ni myahudi?Sasa si umeshasema ni wayahudi😀😀😀
Isa ni Myahudi wa taifa tu ila ni Muumini wa Allah kwa mujibu wa Qur’anKwa hiyo hakuna myahudi atakaye ingia peponi ? Kwani ujui kuwa yedu naye ni myahudi?
Mbona una tanga tanga kwenye hoja zako 😁hoja ya vipi Muhammad ni muislamu wa kwanza ukaja na kituko cha fafanuzi mpya kabisa ambayo ukiitumia kwa muislamu wa pili bi khadija inapingana 😁😁😁 hapa bado sijakuletea aya ndani ya msahafu za kukuumbuaIsa ni Myahudi wa taifa tu ila ni Muumini wa Allah kwa mujibu wa Qur’an
Huyo Allah jina lake ni nani?Isa ni Myahudi wa taifa tu ila ni Muumini wa Allah kwa mujibu wa Qur’an
Mpaka majina yetu ya Asili tumeyatupa:.Kama kuna kitu ambacho hakitakaa kiondoke kwenye fikra ya mwafrika basi ni utumwa.
Nilipotangatanga wapiMbona una tanga tanga kwenye hoja zako 😁hoja ya vipi Muhammad ni muislamu wa kwanza ukaja na kituko cha fafanuzi mpya kabisa ambayo ukiitumia kwa muislamu wa pili bi khadija inapingana 😁😁😁 hapa bado sijakuletea aya ndani ya msahafu za kukuumbua
Ni Allah ndiyo ni Mungu wa Nabii Musa na wewe piaHuyo Allah jina lake ni nani?
Ni yuleyuke NIKO AMBAYE NIKO?.
Mungu wa Nabii Musa?
ismail alipatikana kwa njia gani?? hajra alikuwa mke wa ibrahim? au alikuwa kijakazi?Wapi Uislamu unasema Mtume Ibrahimu alizini