Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Ndio walishahadia Shahada ya kwanza ni ya kumkubali Mungu na ya pili na ya kumkubali Mtume aliyeletwa kwao ambaye ni Yesu (Amani iwe juu yake ) sasa watawezaje kutoa shahada ya kumkubali Muhammad (Peace and blessings be upon Him) kuwa Mtume wao wakati alikuwa bado hajaletwa ? Baada ya kuleta Mtume Muhammad na kuja wale wafuasi wa Yesu hapo ndio lazima kumfuata Mtume mpya maana ndio amekuja kuendeleza chain ya Manabii wa Allaah . Baada ya kuja yeye haikubaliki tena Mila yeyote.

Ila kwenye Qu'ran na hadithi Kuna viashiria kuwa Wanafunzi wa Yesu na waliomfuata mafundisho yake kiukweli walishahadia hata kabla ya ujio wa Mtume Muhammad (Peace and blessings be upon Him ) na kuweka nia kuwa akija watamfuata kwani alitajwa kwenye vitabu vyao na ikawa unafahamika kuwa Kuna Mtume mpya atatokea bara la Uarabuni.

Ndio maana Kuna Swahaba Salmani Al Farsi(Allaah amridhie )yeye alikuwa kwenye dini ya kuabudu moto huko Syria kama sikosei siku ulivyokuja msafara Wakristo nchini kwao akaipenda hiyo dini na akatoroka kuishi na kiongozi mkubwa wa Kikiristo wakati huo alipo kufa alihamia kwa kiongozi mwengine mpaka wa mwisho alipokaribia kufa alimwambia kuwa Zama za kufika Mtume mpya zimekaribia akamuelekeza alama zake na maeneo atayapatikana huyo Swahaba akafika mpaka Madina akahakiki zile alama alizoambiwa na huyo kiongozi wa kikiristo akawa Muislamu . (Soma historia yake Swahaba Salman Al Farsi Allaah amridhie ipo hata gugo)

Nitarudi nikuonyeshe Shahada kwenye Qu'ran
Hivi kwa nini Wakristu hawamtambui Muhamad kama Mtume wala Allah kama Mungu wao?

Mbona ni Waislam tu wanataka kuonesha wao na Wakristu wanaabudu Mungu mmoja?

Mbona hata Wayahudi hawamtambui Allah wala Muhamad? Mbona hawana time na hao watu wala Makkah wala Madina?
 
Qur’an iliandikwa wakati wa Muhammad na ilikusanywa baadae ikiwa na maana kuwa kila kilichoandikwa kwenye Qur’an Muhammad alishakiona lakini Biblia imeandikwa baadae na watu wengine walioshiriki kuandika Biblia hata sio wanafunzi wa Yesu ila waliandika maneno yao tu

Maneno yao ambayo ndio Injili.

Na Jibril alimuhadithia mtume hiyo Injili na mtume akawahadithia maswahaba wake na kuweka kwenye Quran.

Na wakaandika vibaya kuwa Yesu kazaliwa chini ya mtende badala ya kwenye zizi la ngombe.

Jibril ndio kakosea au mtume au maswahaba?

NB : kuna aya zilikuwa hazijaandikwa. Zinahadithiwa kwa mdomo. Au hujaona hapo juu?.
 
Kama ni moja basi wakristo na wayahudi ni waislamu.....kwa nini wanatakiwa kusilimu ili kuwa waislamu? Je muislamu usilimu kuwa muislamu? Mfano mshia anaweza kusilimu kuwa msuni
Sijakuambia dini iko moja nimekwambia dini ya Allah ni moja tu
 
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Vipi muislam mwenzenu Isa alibatizwa mto yordani kwa MAJI wewe ulibatizwa wapi?
 
Na Jibril alimuhadithia mtume hiyo Injili na mtume akawahadithia maswahaba wake na kuweka kwenye Quran.
Jibril hakumuhadithia Mtume Injili ila alimfundisha Qur’an kama alivyopokea kutoka kwa Allah na Muhammad hakuwahi kusoma Injili
 
Injili(sio Biblia)haijaandikwa na wanafunzi wa Yesu ila ni maneno ya Allah aliyomteremshia Mtume wake Isa

Hii hoja nyingne na naona ni ndefu.
Qur’an ni maneno ya Allah ambayo Mtume alikuwa anawasomea maswahaba kisha wao wanayaandika kabla ya wao kuyakusanya na kuyaweka pamoja

Allah alimtuma Jibril.
Jibril kamsomea Mtume.
Mtume kawaadithia maswahaba.

Ndio mnavyoamini.

Kuhusu Yesu kazaliwa wap nani atakuwa amekosea?.
Usikwepe swali
 
Hivi kwa nini Wakristu hawamtambui Muhamad kama Mtume wala Allah kama Mungu wao?

Mbona ni Waislam tu wanataka kuonesha wao na Wakristu wanaabudu mungu mmoja?

Mbona hata Wayahudi hawamrambui Allah wala Muhamad? Mbona hawa rime na hao watu wala Makkah wala Madina?
Wakristo Mungu wetu anaitwa NIKO AMBAYE NIKO:
Kuna siku Waislamu mumemuabudu Mungu NIkO ?
Nyie wenu si anaitwa Allah..!

Shahada
La illah ila Allah=Hakuna Mungu isipokuwa Allah:
Vipi kama Allah sio Mungu Mwenyezi?
Hii Kufru kubwa sana
 
Hata kwenye Injili hakukuwa na hizo stori

Injili ni nini? Na ina vitabu? Kama viko ni vingap? Na vinasema visa vya nani?.

Nb: kwenye hivyo Visa utaona kisa cha kuzaliwa kwa Yesu.
Sasa ndio useme nan kakosea.
 
Hivi kwa nini Wakristu hawamtambui Muhamad kama Mtume wala Allah kama Mungu wao?

Mbona ni Waislam tu wanataka kuonesha wao na Wakristu wanaabudu mungu mmoja?

Mbona hata Wayahudi hawamrambui Allah wala Muhamad? Mbona hawa rime na hao watu wala Makkah wala Madina?
Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu wao

Wakristo na Waislamu hawaabudu Mungu mmoja japokuwa wote Mungu wao ni mmoja ambaye ni Allah
 
Injili ni nini? Na ina vitabu? Kama viko ni vingap? Na vinasema visa vya nani?.

Nb: kwenye hivyo Visa utaona kisa cha kuzaliwa kwa Yesu.
Sasa ndio useme nan kakosea.
Kwenye Injili hakuna kisa cha kuzaliwa kwa Isa maana hicho kitabu alipewa yeye mwenyewe Isa kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuongelea habari zake zaidi ya habari za waliopita na wajao
 
Vipi muislam mwenzenu Isa alibatizwa mto yordani kwa MAJI wewe ulibatizwa wapi?
Isa hakuwahi kubatizwa wala kutahiriwa kama Dini ya Nabii Ibrahimu inavyotaka
Mwanzo 17:10
Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
 
Wakristo wamepotea ndio maana hawamtambui Muhammad kama Mtume na Allah kama Mungu wao

Wakristo na Waislamu hawaabudu Mungu mmoja japokuwa wote Mungu wao ni mmoja ambaye ni Allah

Bro. Wakristo hatumtambui na kamwe hatuwez kumtambua Mohamed wala allah.

Waislam mnajipendekeza sana na Wakristo. Hatuwataki bana aaagh😎😎😎😎

Bakin na manabii wenu watatu na mtume wenu mmoja. Si ingetosha kabisa. Kwann mfungamane na wakristo alaf kutwa kucha unasema eti wanakosea.

Yaan ukute dini iko miaka 600+ alaf ww utokee jamii nyingne kabisa na kusema eti wanakosea.
Ni ujinga kuamini hayo.
 
Wapi tumejifungamanisha na Ukristo?
 
Back
Top Bottom