Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Paulo alipewa kitabu gani😀😀Hivi huyo Nabii Isa alizaliwa Kijiji gani?
Kumbe waliopewa Kitabu kabla yenu ni Waislamu pia🤣🤣🤣
Kumbe Mtume Paulo naye alikuwa Mwislamu🤣🤣🤣
Paulo alipewa kitabu gani😀😀Hivi huyo Nabii Isa alizaliwa Kijiji gani?
Kumbe waliopewa Kitabu kabla yenu ni Waislamu pia🤣🤣🤣
Kumbe Mtume Paulo naye alikuwa Mwislamu🤣🤣🤣
Aliyesema Bi Khadija ni wa pili kwa ukamilifu na utekelezaji wa wa wahyi ni nani?Kama ni hivyo je wapili ni bi hadija naye ni kamili na utekelezaji wa wahy kuliko maswahaba wa kiume ?🙄🙄🙄
Wapi Uislamu unasema Mtume Ibrahimu aliziniswala la rahabu kuwa mzinzi daudi alikuwa mzinzì na bado islamic mnasema n nabii ibrahim baba wa imani alizini na hajri akazaliwa ishmael(waarabu) suleman mnamuita nabii (alizini na akaoa wake700 na mivhepuko mia3)
Na kwa nini wewe usimfuate Yesu ili ba wewe uwe myahudi kwa dini?
Nani anayeiamini BibliaKwa kuwa wanaiamini Biblia.
Atoe mstar wa Biblia kuwa mtume au nabii gan alislim?
Yeye alisema ameleta dini mpya?Namfuata Yesu na ni Mkristo .
Maana yeye alisema amekuja kutimiza tanakh.
Kwahiyo namfuata yule aliyeikamilisha tanakh.
Kwa mujibu wa uislamu kuna dini ngapi za Mungu? Je unasara ni dini ya mungu au la ? Kama ni dini je kuna dini ngapi mbele za mungu ..kwanini wote wasiitwe waislamu tu kwanini ndani ya uislamu mnatambua dini zaidi ya mojaSio umma wake Waislamu ni umma wake Muhammad
Dini ya Allah ni moja tuKwa mujibu wa uislamu kuna dini ngapi za Mungu? Je unasara ni dini ya mungu au la ? Kama ni dini je kuna dini ngapi mbele za mungu ..kwanini wote wasiitwe waislamu tu kwanini ndani ya uislamu mnatambua dini zaidi ya moja
Kwako wewe unaona Uyahudi ni dini sahihi au si sahihi?Pengine hujui kuwa Uyahudi ni Dini kabla ya Ukristo na iko Hadi leo.
Paulo alipewa kitabu gani😀😀
Wewe ndiyo uliye sema ...umesema logic ya mtume kuwa wa kwanza ni kadha wa kadha ...hivyo nikakuuliza katika uislamu bi khadija anatambulika kuwa, Muhammad ni wa kwanza na wapili ni bi khadija . Sasa kwa fafanuzi yako ya Muhammad kuwa wa kwanza na vigezo ulivyo toa na uislamu unavyo mtambua mkewe Muhammad kuwa ni wapili ...vigezo vya Muhammad kutajwa wa kwanza ulivyo vitaja ndiyo hivyo hivyo nimevitumia kwa wapili ambaye ni bi khadijaAliyesema Bi Khadija ni wa pili kwa ukamilifu na utekelezaji wa wa wahyi ni nani?
Mtume amepewa Qur’anYesu alipewa kitabu gan?.
Mtume alipewa kitabu gan?.
Nabii Hudihudi alipewa Kitabu Gani?Paulo alipewa kitabu gani😀😀
Kama ni moja basi wakristo na wayahudi ni waislamu.....kwa nini wanatakiwa kusilimu ili kuwa waislamu? Je muislamu usilimu kuwa muislamu? Mfano mshia anaweza kusilimu kuwa msuniDini ya Allah ni moja tu
Mtume amepewa Qur’an
Qur’an iliandikwa wakati wa Muhammad na ilikusanywa baadae ikiwa na maana kuwa kila kilichoandikwa kwenye Qur’an Muhammad alishakiona lakini Biblia imeandikwa baadae na watu wengine walioshiriki kuandika Biblia hata sio wanafunzi wa Yesu ila waliandika maneno yao tuKumbuka vitabu vyote viliandikwa na kukusanywa na wanafunz (Yesu) na maswahaba (mtume) baada ya wao kuondoka dunian.
Qur’an ni maneno ya Allah ambayo Mtume alikuwa anawasomea maswahaba kisha wao wanayaandika kabla ya wao kuyakusanya na kuyaweka pamojaNa Yesu kapewa injili.
Na walioandika quran ni maswahaba wa mtume.
Waliondika injili ni wanafunz wa Yesu.
Kwahiyo Hoja yako kuhusu Paulo ifute.