camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Yohana na Petro!Unaweza kunitajia hawo wakristo unaowazungumzia kuwa walikuwa na imani thabiti halafu Waislamu wanawaita hao kuwa ni Waislamu
Yohana na Petro!Unaweza kunitajia hawo wakristo unaowazungumzia kuwa walikuwa na imani thabiti halafu Waislamu wanawaita hao kuwa ni Waislamu
Yesu ni mambo mawiliTumia chochote ulichonacho baadaye ujibu hili swali
Kwani Yesu wapi alikufa?? weka aya usituletee maneno ya kanisani
Yesu ni mambo mawili
1)mwili na
2)nafsi
Hivyo ukisema Yesu alikufa upo sahihi na ukisema Yesu hakufa upo sahihi ila fafanuzi tu ndiyo tofauti .. mwili wa yesu ndiyo uliokufa na kufufukq siku ya 3 bali nafdi ya yedu haiwezi kufa kwa sababu ni Mungu ...YESU ASEMAPO "MWANA" UMAANISHA ULE MWILI WAKE NA ASEMAPO "BABA" UMAANISHQ NAFSI YAKE ...
Yesu ni mambo mawiliTumia chochote ulichonacho baadaye ujibu hili swali
Kwani Yesu wapi alikufa?? weka aya usituletee maneno ya kanisani
Yesu ni mambo mawili
1)mwili na
2)nafsi
Hivyo ukisema Yesu alikufa upo sahihi na ukisema Yesu hakufa upo sahihi ila fafanuzi tu ndiyo tofauti .. mwili wa yesu ndiyo uliokufa na kufufukq siku ya 3 bali nafdi ya yedu haiwezi kufa kwa sababu ni Mungu ...YESU ASEMAPO "MWANA" UMAANISHA ULE MWILI WAKE NA ASEMAPO "BABA" UMAANISHQ NAFSI YAKE
Aya kwenye nini msahafu wa Muhammad aliokuwa anaongozwa na jini au aya kutoka wapi?hata awe na nafsi kumi na iwe moja ni Lwiva , mimi nataka aya
Kwani Yesu wapi alikufa?? weka aya usituletee maneno ya kanisani
Aya inasema ameamriwa awe wa kwanza kwa WaislamuKwa hiyo leo mnakanana nyinyi kwa kwa nyinyi 😁😁😁😁 ndivyo wasemavyo mashekh wote wa sasa na wazamani ...pia kuna hoja kama ni wakwanza kwenye kutekeleza wahy kikamilifu kwa nini hoja ya wakwanza kwenye umma wake itumike je yupo mchamungu zaidi ya muhammad aliye pita au atakaye kuja duniani ? Kama hakuna vipi ulisema WA KWANZA KWENYE UMMA WAKE ...KWANINI ISIWE WA KWANZA NA WA MWISHO KWENYE NYUMA ZOTE ....TUMIA AKILI adriz Malaria 2 Jagina FaizaFoxy Covax Al-mukheef
Aya niambie nani wanasema hao ni WaislamuYohana na Petro!
Si mnasema kila mtu akizaliwa anakuwa muislamu?Aya niambie nani wanasema hao ni Waislamu
Mimi siwafahamu siwezi kuwaongelea zaidi maana sijui historia yao iliishiajeSi mnasema kila mtu akizaliwa anakuwa muislamu?
Hawajabatizwa wale ujue!
Kwa hiyo wale ni waislamu kwa kuzaliwa?
Wewe mwanzo ulisema ni zama za umma wake mbona unaleta sindimba kwenye hoja unakata mauno tu ...hapa bado nakupasha moto tu bado sijaja na hoja nzito nakuacha ujitumbukize mwenyewe ...na wewe umeanza kuona logic japo hauta kubali kuwa maswali ninayo kuuliza yana logic ...ushahidi ni kwamba umeanza kupingana na mashehe wote ili kutafuta upenyo ...sasa unataka mimi ndiyo nibuni kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi kwenye umma gani wakati wewe ulisha eleza huko nyuma 😁😁😁 adriz Al-mukheef FaizaFoxy Malaria 2 Jagina Covax njooni huku mwenzenu baada ya kuona hoja zangu zilivyo akaja na dhana mpya ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kivipi kakwama na dhana yake mpya imebuma.Aya inasema ameamriwa awe wa kwanza kwa Waislamu
Sasa hapo wewe angalia mwenyewe kwa za zama hii au zama zote
Hauko serious Mkuu!Mimi siwafahamu siwezi kuwaongelea zaidi maana sijui historia yao iliishiaje
Aya kwenye nini msahafu wa Muhammad aliokuwa anaongozwa na jini au aya kutoka wapi?
Niliwai kuwakimbiza Waislamu hapa jf kuhusu kufa kwa yesu na kwanini muhammad anapinga sana ilo swala ...nikauliza kwani mcha mungu kufa ni dhambi au mchamungu kuuliwa ni dhambi ...basi kwanini muhammad anaumia sana na kifo cha yesu .. kuna SIRI KUBWA SANA NYUMA YA MUHAMMAD KUUMIA KUSIKIA YESU ALIKUFA ...KIFO CHA YESU NI PIGO KWA SHETANI KUBWA SANA.wacha kujitia shetani wa Paulo
Kwani Yesu wapi alikufa?? weka aya usituletee maneno ya kanisani
Niliwai kuwakimbiza Waislamu hapa jf kuhusu kufa kwa yesu na kwanini muhammad anapinga sana ilo swala ...nikauliza kwani mcha mungu kufa ni dhambi au mchamungu kuuliwa ni dhambi ...basi kwanini muhammad anaumia sana na kifo cha yesu .. kuna SIRI KUBWA SANA NYUMA YA MUHAMMAD KUUMIA KUSIKIA YESU ALIKUFA ...KIFO CHA YESU NI PIGO KWA SHETANI KUBWA SANA.
Nimekuuliza haya kutoka katika msahafu au biblia ujajibu naweza kukuwekea aya zaidi ya 20Shukrani kwa ngonjera za kanisa lako sasa tuambie
Kwani Yesu wapi alikufa?? weka aya usituletee maneno ya kanisani
Huna aya inayothibitisha kuwa Yesu alikufa msalabani , unabaki kuleta ngonjera za kanisaNimekuuliza haya kutoka katika msahafu au biblia ujajibu naweza kukuwekea aya zaidi ya 20
Siyo kukupa aya tu ninajua hata sababu kwa nini ilikuwa lazima Yesu auliwe msalabani tofauti kabisa na wakristo wanavyo danganywa makanisaHuna aya inayothibitisha kuwa Yesu alikufa msalabani , unabaki kuleta ngonjera za kanisa
Huna aya inayothibitisha kuwa Yesu alikufa msalabani , unabaki kuleta ngonjera za kanisaSiyo kukupa aya tu ninajua hata sababu kwa nini ilikuwa lazima Yesu auliwe msalabani tofauti kabisa na wakristo wanavyo danganywa makanisa