Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Mjibuni kwanza Profesa wa Islamic History Sir Salman Rushdie:
Aliye andika Qurani ni Satanic Verses:
Kila akiwaalika ili awaeleweshe mnaishia kuwatumia Magidi ili wamwue:
Mara ya mwisho aliwaalika mkaishia kumchoma visu:

Na badala ya kumjibu mmeishia kukipiga marufuko kitabu chake na kumtangazia Fatwa yaani mkimkamata mumuuwe:

Hivi inahitajia elimu ya dalasa la ngapi ilijue kuwa Qurani ni Satanic Verses ?

Ni kwanini mumetangaza kuwa hairuhusiwi mtu yoyote kuuza, kusambaza au kusoma Satanic Verses?

Nyie na Mwarabu PhD in Islamic History ni nani anaujua Uislamu ?

Hivi hata mnashindwa kujiuliza kweli...!

Wewe kasome biblia yako ya QUEEN JAMES VERSION

1767982783334.png
 
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible

Yesu kaja milongo kadhaa kabla. Baadaye kuna tutusa anakuja kunakili mapokeo yake. Halafu kuna matutusa squared yanakuja kuamini. Hatari sana.
 
Wewe mwanzo ulisema ni zama za umma wake mbona unaleta sindimba kwenye hoja unakata mauno tu ...hapa bado nakupasha moto tu bado sijaja na hoja nzito nakuacha ujitumbukize mwenyewe ...na wewe umeanza kuona logic japo hauta kubali kuwa maswali ninayo kuuliza yana logic ...ushahidi ni kwamba umeanza kupingana na mashehe wote ili kutafuta upenyo ...sasa unataka mimi ndiyo nibuni kuwa Muhammad ni muislamu wa kwanza kivipi kwenye umma gani wakati wewe ulisha eleza huko nyuma 😁😁😁 adriz Al-mukheef FaizaFoxy Malaria 2 Jagina Covax njooni huku mwenzenu baada ya kuona hoja zangu zilivyo akaja na dhana mpya ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kivipi kakwama na dhana yake mpya imebuma.
Hueleweki toa hoja 🤣🤣🤣
 
Sasa wewe unaona nimekosea nini wakati aya inasema kuwa nimeamrishwa kuwa wa kwanza kwa waislamu na mimi nimekwambia kwa utekelezaji wa wahyi wake

Sasa wewe unataja wa nyuma yake kwani wa nyuma yake wao waliuona wahyi wake🤣🤣🤣

Too strange to be a coincidence!​

According to the Biblical account, Pilate offered the Jews the release of just one prisoner and the cursed race chose Barabbas rather than gentle Jesus.

But hold on a minute: in the original text studied by Origen (and in some recent ones) the chosen criminal was Jesus Barabbas – and Bar Abba in Aramaic means ‘Son of the Father’!

Are we to believe that Pilate had a Jesus, Son of God and a Jesus, Son of the Father in his prison at the same time??!!

Perhaps the truth is that a single executed criminal helped flesh out the whole fantastic fable.

Gospel writers, in scrambling details, used the Aramaic Barabbas knowing that few Latin or Greek speakers would know its meaning.
 
Kumbe Petro na Yohana ni waadzabe
Mtu akizaliwa anakuwa automatically muislam,and that's according to you Muslims.
Sasa Mimi nakuuliza wale wahadzabe wa porini ambao hawana dini yeyote ni waislamu wenzenu?
Petro na Yohana nao walikuwa waislamu?
 
Hao waadzabe wanaitwa Ahlul fatrah na hukmu yao ipo kwa Allah

Hao Petro na Yohana wewe si umesema ni wakristo?
 
Sasa wewe unaona nimekosea nini wakati aya inasema kuwa nimeamrishwa kuwa wa kwanza kwa waislamu na mimi nimekwambia kwa utekelezaji wa wahyi wake

Sasa wewe unataja wa nyuma yake kwani wa nyuma yake wao waliuona wahyi wake🤣🤣🤣
Umesema Muhammad ni wakwanza kwa utekelezaji wa Wahy wa mungu kwa kiwango cha juu ndiyo maana ya Muhammad kuwa wa kwanza ......hivyo nikakuuliza kuna mtume yoyote aliye juu ya Muhammad kwenye utekelezaji wa wahy ?jibu ni hakuna ndiyo maana Muhammad amejiweka juu ya mitume wote ...swali likaja kwanini awe wa kwanza kwenye ummq wake tu ikiwa,ni wakwanza kwa nyuma zote yaani yeye kawashinda kwa daraja mitume wote walio tangulia.
 
Elewa wahyi wake ambao amepewa yeye sasa hao mitume wa nyuma wahyi wake wataufuataje wakati haukuwepo?
Ndiyo maana nikasema katika umma wake maana wahyi wake upo kwenye umma huu tu
 
swali likaja kwanini awe wa kwanza kwenye ummq wake tu ikiwa,ni wakwanza kwa nyuma zote yaani yeye kawashinda kwa daraja mitume wote walio tangulia.
Narudia tena elewa wahyi wake yeye
Je,katika Mitume hao wa nyuma unaowataja kuna ambaye alishuhudia wahyi wake Mtume Muhammad?
 
Hoja ni wa "kwanza" ukasema maana ya muhammad kuitwa wa kwanza ni katika kufuata wahy kwa ukamilifu kuliko wengine na ndiyo inasababisha mtume awe wa daraja ya juu kuliko mitume wengine ...kwa sababu uislamu unasema mbora kati yenu ni yule aliye mcha mungu zaidi...sasa kwanini muhammad awe wa kwanza katika umma waje tu na yeye ni mbora wa kufuta wahy kuliko wote walio mtangulia na walimfuatia na waislamu wenzako wanasema wa pili ni bi hadija na utaja hadi watatu na wanne wake .. na wewe umesema hayo ni madaraja ya uchamungu kwa maana ya "kufuata wahy kwa ukamilifu" hivyo ni daraja hizo za uchamungu na si utangulizi kwa kuingia kwenye uislamu kama ulivyo kanusha kuwa hizo daraja ni za 👉 ubora wa utii wa wahy siza utangulizi wa kuingia kwenye uislamu...wewe unashida ndiyo maana unakubali kisha unakanusha ulicho sema tatizo unajaribu kuutetea uislamu na siyo kuueleza uislamu ujitetee wenyewe.
 
Kwa mujibu wa Qurani na Waislamu:
Torati, Zaburi na Injiri walikabithiwa Waislamu akina Musa, Daudi na Isa toka kwa Allah, na kuhifadhiwa na Waislamu waumini:
Kwahiyo kwa Mujibu wa Waislamu akina Jagina, Covax, na wengineo;
Waislamu ndio walio viharibu, au kuvipoteza hivyo vitabu vya Allah:

Waislamu ni kwanini mmepoteza na kuvitia mikono, vitabu vya Allah?
Njia ya mwongo ni fupi sana:
 
Hoja ni wa "kwanza" ukasema maana ya muhammad kuitwa wa kwanza ni katika kufuata wahy kwa ukamilifu kuliko wengine na ndiyo inasababisha mtume awe wa daraja ya juu kuliko mitume wengine ...kwa sababu uislamu unasema mbora kati yenu ni yule aliye mcha mungu zaidi...sasa kwanini muhammad awe wa kwanza katika umma waje tu na yeye ni mbora wa kufuta wahy kuliko wote walio mtangulia na walimfuatia na waislamu wenzako wanasema wa pili ni bi hadija na utaja hadi watatu na wanne wake .. na wewe umesema hayo ni madaraja ya uchamungu kwa maana ya "kufuata wahy kwa ukamilifu" hivyo ni daraja hizo za uchamungu na si utangulizi kwa kuingia kwenye uislamu kama ulivyo kanusha kuwa hizo daraja ni za 👉 ubora wa utii wa wahy siza utangulizi wa kuingia kwenye uislamu...wewe unashida ndiyo maana unakubali kisha unakanusha ulicho sema tatizo unajaribu kuutetea uislamu na siyo kuueleza uislamu ujitetee wenyewe.
Aisee we jamaa dah🤣🤣🤣
Hebu nijibu kwanza swali hili hivi katika hao Mitume wa nyuma unaowataja je walikuwa na wahyi aliopewa Mtume Muhammad?
 
Hoja ni wa "kwanza" ukasema maana ya muhammad kuitwa wa kwanza ni katika kufuata wahy kwa ukamilifu kuliko wengine na ndiyo inasababisha mtume awe wa daraja ya juu kuliko mitume wengine ...kwa sababu uislamu unasema mbora kati yenu ni yule aliye mcha mungu zaidi...sasa kwanini muhammad awe wa kwanza katika umma waje tu na yeye ni mbora wa kufuta wahy kuliko wote walio mtangulia na walimfuatia na waislamu wenzako wanasema wa pili ni bi hadija na utaja hadi watatu na wanne wake .. na wewe umesema hayo ni madaraja ya uchamungu kwa maana ya "kufuata wahy kwa ukamilifu" hivyo ni daraja hizo za uchamungu na si utangulizi kwa kuingia kwenye uislamu kama ulivyo kanusha kuwa hizo daraja ni za 👉 ubora wa utii wa wahy siza utangulizi wa kuingia kwenye uislamu...wewe unashida ndiyo maana unakubali kisha unakanusha ulicho sema tatizo unajaribu kuutetea uislamu na siyo kuueleza uislamu ujitetee wenyewe.
Au hujui maana ya wahyi???
 
Waislamu kwanini mnakuwa waongo?

Kwa mtu mwenye kutafakari hawezi kuwa muislamu kabisa

Mimi huu uongo ndio ulinifanya nione kwanini nabaki kwenye dini ya uongo
 
Inawezekana.. Maana sijawahi kuona mkristo anafanya matendo kama ya yuda.

N.B
Nimesema tu, msininukuu vibaya.
 
Waislamu kwanini mnakuwa waongo?

Kwa mtu mwenye kutafakari hawezi kuwa muislamu kabisa

Mimi huu uongo ndio ulinifanya nione kwanini nabaki kwenye dini ya uongo
Kumjua Kristo ni Neema ya Kimungu:
Usidhani juhudi zako pekee ndizo zilikutoa huko Ndugu yangu hamis77 bali ni Nguvu ya Kimungu:
Kuna watu wanasikia lakini hawaelewi kwakuwa wapo katika Kifungo cha ufahamu:

Mathayo 13:11
"Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
12 Kwa maana ye yote mwenye kitu atapewa, naye atazidishiwa tele; lakini ye yote asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.
13 Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.
14 Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
15 Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.
16 Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia."

Pongezi nyingi kwako kwa kuijua KWELI:
 
Back
Top Bottom