Bro
Lwiva . Huyu jamaa
Al-mukheef ni goi goi.
Mohamed akipopata wahyi alirud kwa Mshangazi wake Bi khadija. Akiwa ana tetemeka na baadae Bi Khadija akampeleka mwa Mkristo (Waraqa) ambaye ni Binamu yake ili kujua je alishukiwa na shetani au malaika.
Ila kabla ya hapo. Bi khadija eti alikuwa anamjua allah.😂😂😂😂
Na akasema
"“Hapana! Wallahi, Allah hatakufedhehesha kamwe.
Wewe unaunga jamaa,
unawasaidia wanyonge,
unawahudumia maskini,
unawakarimu wageni,
na unasaidia waliopatwa na misiba.”
Bi khadija alitumia fedha na muda wake kumpa sapport mume wake Mohamed. Kwahiyo mfanyabiashara Bi khadija alimuamini yeye (mohamed) kama wa kwanza kwenywe hii biashara yao mpya ya uislam.
Tuhitimishe kuwa Aliyemuunga mkono wa kwanza ni Bi khadija. Na ndiye muislam wa Pili.