Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Muhimu no hilo tendo la kunyenyekea na wala sio hilo neno maana kabla ya Muhammad enzi za Manabii wa Israel si kiarabu kilikuwa hakitumiki lakini waumini bado walikuwepo
 
Sio wanafunzi wake tu, hata Yesu alikuwa muislamu. Hakuna nabii wala Mtume ambaye hakuwa Muislamu.
 
Hao wanamuamini Allah kama wale wa zamani?
 
Sio watu wote duniani ni Waislamu, wewe hili umelipata wapi ?

Haiwezekani watu wote wakawa Waislamu.
 
Maana uislam unawatafuta wakristo walioonekana kuwa na imani thabiti, na waliobarikiwa na kujawa na Roho wa Mungu, na kujibanza nao, kwa kuwaita ni waislam.
Unaweza kunitajia hawo wakristo unaowazungumzia kuwa walikuwa na imani thabiti halafu Waislamu wanawaita hao kuwa ni Waislamu
 
Yesu anakuambia kuwa YEYE amepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni, toka Baba wa imani Ibrahim, mpaka manabii, kuna yeyote uliwahi kusikia alipewa mamlaka yote Duniani na Mbinguni?
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu: wakujue Wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapo Yesu mwenyewe kuwa alitumwa yaani ni Mtume na aliyemtuma ndiye Mungu wa pekee
 
Kitu pekee muddy alichofanya kwa uhakika 100% ni umalaya
 

Inasemekana Yesu alikuwa na wanafunzi kumi na wawili, lakini cha ajabu ni kwamba tunajua karibu hakuna chochote kinachowahusu wao kimehadithiwa. Hata majina yao yanachanganya, yakitofautiana kati ya Injili.


Wengi wao hawakuacha maandishi, ushuhuda, wala mafundisho yoyote, licha ya kudaiwa kuwa mashahidi wa karibu wa Yesu.

Taarifa zinazowahusu zinatoka zaidi kwenye hadithi zilizotungwa baadaye, hasa kuhusu vifo vyao.


Kwa mtazamo wa ukosoaji, hili linaonyesha kuwa wanafunzi kumi na wawili huenda walitungwa ili kuunga mkono simulizi la Yesu, badala ya kuwa watu halisi wa kihistoria
 
Yohana 14:31
Lakini ulimwengu upate kujua ya kuwa nampenda Baba, nami hufanya kama Baba alivyoniamuru.

Hapo Yesu mwenyewe anasema anafuata amri za Mungu kama alivyomuamuru halafu wewe unasema tuzifuate amri za Yesu
Pia Yesu alileta amri mpya ya tupendane, hii amri imebeba amri zote zile 10.
Tukipendana, hutomuibia, hutomuua, hutozini naye, hutotamani mali wake mke/mume wake nk
 
Mzee acha uongo ,wanafunzi WA Yesu wote wanajulikana had maeneo waliyofika na waliacha alama

Ikiwepo makanisa ,shuhuda ,

Mfano Ethiopia,mtume Mathayo alifika pale mpaka Leo Kuna mabaki hapo

Sio huyo tu, Leo ukienda hata PATMO utakuta ushahidi wa alipokuwa Yohana

Na sehemu nyingi tu

Wala hakuna dalili au ishara yoyote ya uwepo wa uislamu

Kwanini MNAPENDA uongo?

Hiki kitu kilinifanya nitoke kwenye uislamu,maana uongo ni nguzo

Why msiwe wa kweli tu
 
Kitu pekee muddy alichofanya kwa uhakika 100% ni umalaya

@ hamis77


Hadithi nyingi kuhusu Yesu na mitume wake zilitoka wapi, na Jee ni za kweli au ni mapokeo yaliyobuniwa baadaye?


Kwanza, inaonyesha kuwa wazo la “wanafunzi kumi na wawili” halikuwa jipya.

Yoshua katika Agano la Kale pia alichagua watu kumi na wawili, mmoja kutoka kila kabila la Israeli.

Hata jina Yesu linatokana na Yoshua (Yehoshua), likimaanisha “Mungu anaokoa.” Pia Yesu anaahidi wafuasi wake viti vya enzi kumi na viwili, kama makabila ya Israeli.


Kisha maandishi yanaeleza kuwa hadithi nyingi kuhusu vifo vya mitume (kuuawa kishahidi) zilitungwa karne nyingi baadaye, si katika Biblia yenyewe.

Kwa mfano:


  • Petro kudaiwa kusulubiwa kichwa chini au kuuawa na Nero ni hadithi za baadaye.
  • Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wanatoweka mapema katika kitabu cha Matendo, licha ya baadaye kupewa hadithi ndefu za ajabu.
  • Yohana anadaiwa kuishi muda mrefu, kuandika vitabu vingi, hata kuchemshwa kwenye mafuta bila kufa — mambo ambayo Biblia haisemi wazi.
  • Mitume kama Andrea, Filipo, Bartholomayo, Tomaso, na wengine wanapewa safari za ajabu duniani kote na vifo vya kutisha, mara nyingine zaidi ya kimoja!
  • Kuna mkanganyiko mkubwa wa majina, hasa kwa Yakobo, Yuda, Mathayo na ndugu wa Yesu, kiasi cha kufanya watu wengi wachanganywe au kuunganishwa kimakosa.
  • Wengine kama Mathia na Simoni Zelote wanaonekana kuongezwa tu ili “kujaza idadi”.

Mwisho, maandishi yanasisitiza kuwa:

  • Hadithi nyingi za kishujaa na za kufa kishahidi ziliandikwa karne ya 2 hadi ya 4, si wakati wa mitume wenyewe.
  • Lengo lilikuwa kulinda mamlaka ya kanisa, kuongeza heshima ya mitume fulani, au kushindana kati ya viongozi wa kanisa.
  • Hivyo, mengi tunayoyasikia leo kuhusu mitume ni mapokeo, si historia iliyothibitishwa.

Kwa kifupi:

👉 Maandishi haya yanahoji uaminifu wa hadithi maarufu za Kikristo na kuonyesha kuwa nyingi zilitungwa baadaye, si kutoka kwa Yesu au mitume wao wenyewe.
 
Pia Yesu alileta amri mpya ya tupendane, hii amri imebeba amri zote zile 10.
Tukipendana, hutomuibia, hutomuua, hutozini naye, hutotamani mali wake mke/mume wake nk

Umepata wapi maneno hayo ??

Mbona Yesu anatwambia

“Sikuja kuleta amani, bali upanga.” — Mathayo 10:34
 
Don't worry about it bro. Hizi Dini ni man made
 
Sio watu wote duniani ni Waislamu, wewe hili umelipata wapi ?

Nimeipata kwenu . Mnasema kila mtu anazaliwa akiwa Muislam.
Au ww uko tofaut na wao?.

Tuambie wewe wanafunzi wa Yesu walikuwa dini gani ?

Walikuwa Wayahudi kwa Dini na Kabila.

Kumbuka Yesu alikuwa Myahudi kwa Dini na myahudi kwa kabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…