Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Kwani Yesu akivaa nini , ubinda?

Kwahiyo bro. Jibril ndio alishusha aya kwa mtume na mtume akawahadithia maswahaba wake kuwa Wanafunz wa Yesu walisema kuwa wao ni waislam ?

Si ndio?.
😎😎😎😎😎
 
Sasa Unabisha ulikuwepooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa Unabisha ulikuwepooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yona au Yunus pia ni Muislam.😁😁

Kwenye Quran visa vichache walivyotoa kwenye Biblia wameset mwishon wale mitume waseme kuwa wao ni waislam.

Hii ni ya Yunus
Quran 10 : 72.
β€œNa wakiukataa, basi sema: Sikuombeni ujira wowote. Ujira wangu hauko ila kwa Mwenyezi Mungu. Nami nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu.”
 
Yaani unatafuta utetezi wa Quran kwenye quran we kweli kiazi, ni sawa na kutafuta ushahidi wa jambazi kwa jambazi mwemyewe
 
Hata kama hilo neno lisingekuwepo lakini wanaomuabudu Allah wangekuwepo jambo ambalo ndio la msingi kuliko hilo neno Uislamu
Allah ni jina tu hata wewe unaweza kupewa hata muhammad mbona ni majina tu ...tunazungumzia wakati wa mitume na manabii wa kale neno uislamu lilikuwepo ? Na kuabudu mungu kwa lugha ya kiarabu tu kulikuwepo....hivi mtume anaye sema yeye ni mkuu kuliko mungu huyo ni mtume ? Sasa inakuwaje muhammad awe juu ya Yesu... tumia akili.
 
Je pasipo kuwepo na Biblia neno Ukristo lingekuja duniani?
Hivi waislamu mnaendaga misikitini kujambiana tu au πŸ™„? Mbona amna logic kichwani? Swali lilikuwa uislamu ulikuwepo kabla ya muhammad ...nani kasema ukristo ulikuwepo kabla ya Yesu kuja duniani ? Kituko na msingi wa swali ni madai ya muarabu kuwa uislamu ulikuwepo kabla ya mudi boy ..sasa wewe hoja yako nikana kwamba wakristo ndiyo wenye madai kuwa mitume na manabii wa kale ni wakristo ...nani kasema hivyo ? Hayo ni madai ya muarabu kuhusu uislamu.
 
Kama walikua Waislam walishahadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia wanapataje sifa za kua waislamu Sheikh adriz?
Walikuwa waislamu wa kuzaliwa si wakuslimu.
 
Yesu hakuwa na wanafunzi 12 pekee kila anayemwamin Yesu n mwanafunzi wake

lbda tuwasemee wale wanafunzi 12 (waitwao Thenashara)....

mathayo aliandika mathayo

yohana aliandika ...yohana injili....waraka wa 1 wa 2 wa3 wa yohana

yakobo aliandika kitabu cha yakobo

petro aliandika kitabu cha petro wa1 wa2

yuda aliandika ..kitabu cha yuda

sema jingne(lbda kama ulitaka wote 11 wawe waandishi)
 
Dini yenu ya kufosi tu
 
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad (S.A.W) karibu miaka 600 baada ya Ukristo na Uyahudi. Uislamu ulianza karne ya 7 (milango ya mwaka 610 BK) wakati Mtume Muhammad alipopokea wahyi (ufunuo) kutoka kwa Malaika Jibril huko Makka, Saudi Arabia.


Wafuasi wa Yesu walikuwa Wayahudi wa wakati wake, na wengi wao walikuwa wanafunzi wa Yesu au watu waliokolewa na mafundisho yake. Ingawa Yesu alikulia kama Myahudi na alifundisha kwa msingi wa imani ya Kiyahudi, wafuasi wake walikuja kuwa kundi linalojitambulisha na jina la "Wakristo" (wafuasi wa Kristo) baada ya kifo na ufufuo wake.

Hivyo asili ya Ukristo ni Uyahudi pia.
 

Nakazia.

Agano Jipya limeandikwa na makundi mawili

1. Wanafunzi wa Yesu
-hawa waliokuwa mashahidi wa moja kwa moja wa matukio ya Yesu.
(Mathayo , Petro na Yohana.)

2. Wale waliokuwa karibu na mashahidi wa moja kwa moja wa wanafunz wa Yesu.
(Marko, Luka na Paulo.)
 
ii umeitoa katika andiko gan katika quruan?? ni nani aliyeslimu kbla ya muhamad ebu mtaje taja na aya katika quruan inayosema ilo.

Aya za Quran ziko . Maana Quran mitume wote wa nyuma wamewekewa aya mwishon kuwa wameslim na kuwa waislam.

Kwa kuwa wanaiamini Biblia.
Atoe mstar wa Biblia kuwa mtume au nabii gan alislim?

Pia akumbuke islam ni neno la kiarabu. Na manabii ni wayahudi.
 
swali ni moja tu nitajie aya ndani ya quruan inayoorodhesha ukoo wa Yesu......(na sio kuzunguka et Yesu katika quruan ametokea ukoo safi.......ukoo hewa au)

swala la rahabu kuwa mzinzi daudi alikuwa mzinzì na bado islamic mnasema n nabii ibrahim baba wa imani alizini na hajri akazaliwa ishmael(waarabu) suleman mnamuita nabii (alizini na akaoa wake700 na mivhepuko mia3)

lkn biblia huwataja hao wote juu akiwemo rahabu na tamari kama wadhambi waliosamehewa kama ilivyo kwa daudi suleman ibrahim(baba wa imani) na wengne

mwisho acha janja janja quruan 5:76 na 19:29 hakuna orodha ya majina ya ukoo .
 
Muhammad alisema wapi kuwa yeye ni mkuu kuliko Mungu
 
Nimeipata kwenu . Mnasema kila mtu anazaliwa akiwa Muislam.
Au ww uko tofaut na wao?.
Sasa ndio ulitakiwa unukuu kwa usahihi, unakuwa muongo mpaka kwenye kunukuu.

Nukuu unasema kila anae zaliwa ni muislamu yaani anazaliwa katika umbile la kiislamu, bali wazazi wao ndio huwafanya wawe wakristo au wamajusi.

Wewe unaonekana muongo muongo na huna unalolijua katika Uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…