Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran


Wajibu pia.

Huyo Yesu wanayemuongelea alizaliwa kwenye Zizi la ngombe (biblia) au chini ya mtende (quran).
 
Muhammad alisema wapi kuwa yeye ni mkuu kuliko Mungu
Kujihita mkuu kuliko yesu ndiyo maana yake hiyo tumia akili Yesu ni mfalme mbinguni ndiye bwana wa Ibrahimu bwana wa musa bwana wa mitume na manabii wote ...sasa muarabu anajidai ni mkuu kuliko yesu?
 
Vizuri umempasha mvaa makobazi
 

Umepanick brother.😎😎😎
Ww ndio ulikuwa hujui na ndio maana ukauliza lile swali.

Hebu nione kama unajua uislam kwa kujibu haya maswal madogo.

- Maana ya Uislam ni nini?.

- linganisha jibu la juu alaf utuambie Inakuwaje mtoto anazaliwa tayar Muislam?
 
ii umeitoa katika andiko gan katika quruan?? ni nani aliyeslimu kbla ya muhamad ebu mtaje taja na aya katika quruan inayosema ilo.
مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿٦٧
67. Ibraahiym hakuwa Yahudi wala Naswara, lakini alikuwa mwenye kujiengua na upotofu akaelemea Dini ya haki, Muislamu na hakuwa miongoni mwa washirikina.
 
Kujihita mkuu kuliko yesu ndiyo maana yake hiyo tumia akili Yesu ni mfalme mbinguni ndiye bwana wa Ibrahimu bwana wa musa bwana wa mitume na manabii wote ...sasa muarabu anajidai ni mkuu kuliko yesu?
Umetumia nini kusema Yesu ni bwana wa mabwana sijui bwana wa Mitume wote?
 
Umbile la kiislamu ndiyo gani ilo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁...kama kika mtu uzaliwa muislamu...vipi mnadai muhammad ni muislamu wa kwanza katika umma wake ? Je wakati muhammad anazaliwa hakukuwa na watoto walio zaliwa mbele yake kwa masaa....siku....miezi...je hak siyo waislamu...nataka jibu sahihi.
 
Huna akili wewe, tuwekee ushahidi hapa.

Type ushahidi hapa ya kuwa walikuwa Wayahudi kwa dini.

Usikimbie maana ww una akili.

Yesu alizaliwa kwa familia ya Kiyahudi, kwenye jamii ya Wayahudi na wanaofuata dini ya kiyahudi.

Wanafunzi wake walifundishwa Torah na desturi za Kiyahudi,(dini) hivyo walielewa:
-Sheria za Musa
-Maandiko ya Kiyahudi (Tanakh),
-Utamaduni wa kidini(kutahiri)
-Majina ya wanafunz wote aliowachagua ni ya kiyahudi.
-Sehem aliyowachagua walikuwa wanakaa wayahudi.
-Walikuwa wanajua torat ya Mussa Ndio maana kuna siku wanafunzi walimsihi asiponye mtu siku ya sabato.

Pengine hujui kuwa Uyahudi ni Dini kabla ya Ukristo na iko Hadi leo.
 
Kwenye passage uliyo quote kutoka kwenye Biblia,Mungu anajitambulisha kwamba yeye ni El Shadai. El Shadai ni Allah?
 

Hii nayo Jibril alimshushia Mtume?.
Kwamba watu walikuwa hawamjui Ibrahim?. Hadith za Ibrahim hazikuwepo had pale Jibril amuelekeze kuwa hapo zaman kulikuwa ABC?.

Tuachane na hilo.
  • Uislam ni nini?
  • jibu lihusishe na je dini zozote zinazoabudu Mungu mmoja ambazo sio Waislam . Je ni waislam?.

NB uweke akilini Allah na islam ni majina la kiarabu.
 
ibrahim wa kwenye quruani hajawahi kuwepo wala kuishi

sababu ya 1 hana ukoo ....... ...(. ni wa kukopi na kupesti kutoka kwenye bible)

tofauti na kwenye torati ambapo ukoo wa ibrahim unarud kutoka kwa tera babaye ibrahim mpaka kwa adamu
 
Uislamu ni Dini ya kujisalimisha na kunyenyekea kwa Allah
 
ibrahim wa kwenye quruani hajawahi kuwepo wala kuishi

sababu ya 1 hana ukoo ....... ...(. ni wa kukopi na kupesti kutoka kwenye bible)

tofauti na kwenye torati ambapo ukoo wa ibrahim unarud kutoka kwa tera babaye ibrahim mpaka kwa adamu
Sawa ila ushahidi uliotaka ndo huo nimekupa si ulitaka ushahidi wa Qur'an
 

Watu wa vitabu walikuwepo.
Hadith za watu wa vitabu ni zile zile had leo.

Ikawaje Jibril akamuhadithia Mohamed hadith chache na kuacha nyingne?.

Kuna maneno mengne mitume wa Kwenye Biblia hawajaongea wala hayapo kwa biblia ila maneno yako kwa Quran.

Au ni maneno waliongea na Jibril wakiwa peponi?.
 
Kila siku mnakuja na swali hili na huwa ninawajibu lakini sidhani mnasoma au akili zenu zimejaa maji machafu hazikamati tena
 
Sawa ila ushahidi uliotaka ndo huo nimekupa si ulitaka ushahidi wa Qur'an

Hayo maneno ni Ibrahim aliongea na Jibril akiwa Peponi?.

Mbona kwenye Biblia hayako.

Wakat story za watu wa kitabu (wayahudi) inatoka kwa watu wa kitabu na sio kwingineko tena baada ya miaka 600.

Jibril ndio alisema Yesu alizaliwa chini ya mtende?.

Wakat wenye Yesu wenyewe wanasema alizaliwa zizini kwa ngombe.

Tuamini lipi?
 
Kwahiyo bro. Jibril ndio alishusha aya kwa mtume na mtume akawahadithia maswahaba wake kuwa Wanafunz wa Yesu walisema kuwa wao ni waislam ?

Si ndio?.
😎😎😎😎😎

Hayo uliyoyaandika ndio akivaa yesu ??
 
Hapo ndio ujue sasa Qur’an haijakopi Biblia maana kuna Mitume wengine kwenye Qur’an ila kwenye Biblia hawapo
 
Kwani nyinyi si mnasema Yesu na Isa ni tofauti au?
Halafu usitake eti Qur’an iwe na kilichoandikwa kwenye Biblia wakati Qur’an haiifuati Biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…