manabii??? walitoa unabii upi??
Si hoja yangu ni hoja ya hao walioandika bibliakwann unakimbia hoja yako mwenyewe ya biblia tuliyonayo kuwa ni feki
sasa tupe yako orginal tuisome.
Hiyo injili uilete wewe kwani hao wanaoandika wanasema ni fakeacha siasa ilete injili og ya yohana acha kuruka ruka
Tatizo ni lugha na tafsiri zinazotumiwa na wenye kutafsiri haya maandiko.Yona au Yunus pia ni Muislam.😁😁
Kwenye Quran visa vichache walivyotoa kwenye Biblia wameset mwishon wale mitume waseme kuwa wao ni waislam.
Hii ni ya Yunus
Quran 10 : 72.
“Na wakiukataa, basi sema: Sikuombeni ujira wowote. Ujira wangu hauko ila kwa Mwenyezi Mungu. Nami nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu.”
Wewe unabii unajua ni nini?nimewafatilia hakuna unanabii waliotoa kama upo uweke apa na aya ktk kwa quruan.
acha siasa ilete injili og ya yohana acha kuruka ruka
Kama umeweza kuona hayo maneno ya Mathayo umeshindwa vp kuona hiyo amri ya upendo?Umepata wapi maneno hayo ??
Mbona Yesu anatwambia
“Sikuja kuleta amani, bali upanga.” — Mathayo 10:34
Kama umeweza kuona hayo maneno ya Mathayo umeshindwa vp kuona hiyo amri ya upendo?
leta iyo injili ya Yesu ibandike hapa kama pdf ....... leta torati orginal tuione ...... mbona ni rahisi tu....Kuhusu Biblia, Biblia siyo na kamwe haikuwa Neno la Awali la Mwenyezi Mungu.
Torati ilitumwa kwa Musa, amani iwe juu yake, na Injili ilitumwa kwa Yesu, amani iwe juu yake, si kwa mitume wala kwa wadanganyaji ambao hawakuwahi kumwona Yesu uso kwa uso, kama vile Paulo.
Sababu ya kwanini “injili” za Biblia zinajulikana kwa majina hayo leo ni kwa sababu zilipewa majina hayo kulingana na Wahyi wa awali aliyopokelewa na Yesu. Kwa maneno mengine, Injili halisi ni Injili ya Yesu Kristo. Yote mengine ni uundaji wa maneno ya Yesu na mitume yake.
Katika Uislamu, hakuna kitu kinachoitwa “Injili ya Mathayo”, “Injili ya Yohana”, au majina mengine kama hayo.
Iwapo kweli kuna injili iliyo nje ya Biblia yenye jina “Injili ya Yesu”, katika maandiko yasiyo ya Biblia, hilo ni jambo ambalo hatujui kwa hakika.
Na hakika, hata kama ipo, hatuwezi kuhakikisha kwamba haikufanyiwa uharibifu.
Mafundisho ya asili yamepotea duniani.
Ni Qur’an Tukufu tu ndiyo Neno la Awali la Mwenyezi Mungu lisilo na mabadiliko.
Hakuna kitu kingine kinachosimama. Vitabu vingine vyote vina mabadiliko na uongo ndani yake.
Ndiyo maana Mwenyezi Mungu Alisema:
". Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutao ulinda (Qur’an Tukufu, 15:9)"
".Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha (Qur’an Tukufu, 75:17)"
Sasa hapo ndiyo umejibu nini ? Mbona kila siku mnakuja na majibu mapya ? Hoja hapa ni muislamu siyo aina za uislamu...Uislamu
Uislamu ambao kila mtu anazaliwa nao ni wa Fitrah sio wa kisheria
Kwa hiyo kuabudu kwa mungu mmoja ndiyo uislamu? Swali wayahudi ni waislamu au la ? Swali mbona muhammad anasema 👉 umma wa waislamu ulikuja mwisho wa nyuma ya wayahudi na wakristo ila waislamu watakuwa ndiyo uma wa kwanza kuingia peponi...sasa angalia hizo hoja za muhammad kwa makini kuu ...utagundua peponi kuna nyuma zisizo za waislamu...swali kuna dini zaidi ya uislamu ambayo watu wake wataingia peponi baada ya uma wa waislamu kuingia ? Al-mukheef adriz FaizaFoxy Jagina Covax Mufti kuku The InfinityKatika Qurani, “Uislamu” haumaanishi dini mpya iliyoanza karne ya 7, bali inamaanisha kujinyenyekeza kwa Mwenyezi Mungu (Allah) mmoja. Kwa maana hiyo, mitume wote walikuwa Waislamu.
1. Maana ya “Muislamu” katika Qurani
Neno Muislamu linatokana na kitenzi “aslama” = kujisalimisha / kujinyenyekeza kwa Allah.
2. Mitume kabla ya Muhammad walikuwa Waislamu
Qurani inasema wazi kuwa mitume wa zamani walikuwa Waislamu:
- Ibrahim (Abrahamu):
- Musa na wafuasi wake:
- Yesu na wanafunzi wake:
3. Basi Muhammad ni “wa kwanza” kwa maana gani?
Muhammad (ﷺ) si wa kwanza kihistoria, bali ni:
Yaani:
- Wa kwanza katika jamii aliyoletwa nayo Qurani
- Wa kwanza kutekeleza kikamilifu Uislamu ulioteremshwa kwake
- Wa kwanza katika utiifu kamili kwa wahyi wa mwisho
Qurani inasema:
Hii ina maana:
- Wa kwanza miongoni mwa Waarabu wa wakati wake
- Sio wa kwanza kati ya wanadamu wote
4. Mfano rahisi
Kama mwalimu anapoletwa darasani jipya:
- Yeye ndiye wa kwanza kufuata mtaala huo
- Lakini elimu yenyewe ilikuwepo kabla
Vivyo hivyo:
- Uislamu ulikuwepo tangu Adam
- Muhammad (ﷺ) ni mtume wa mwisho, na Muislamu wa kwanza wa umma wake
Acha ufala ww mla nguruwe mafichoni.Kwa hivyo hii aya “Sikuja kuleta amani, bali upanga.” — Mathayo 10:34 ni uongo ???
Na hapa anakuambie kama huna upanga ukauze nguo ukanunuwe
Luka 22:36 SRUV
Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho lake akanunue.
Al Qurtubu anasema ni wa kwanza kwa utiifu na kamili na utelekezaji wa wahyiSasa hapo ndiyo umejibu nini ? Mbona kila siku mnakuja na majibu mapya ? Hoja hapa ni muislamu siyo aina za uislamu...
Sio umma wake Waislamu ni umma wake Muhammadumma wa waislamu ulikuja mwisho wa nyuma ya wayahudi na wakristo
Kama ni hivyo kwa nini alisema wayahudi na wakristo...kasome tena dini yako inaelekea unatatizo la ufahamuSio umma wake Waislamu ni umma wake Muhammad
Na kwa nini wewe usimfuate Yesu ili ba wewe uwe myahudi kwa dini?Nimeipata kwenu . Mnasema kila mtu anazaliwa akiwa Muislam.
Au ww uko tofaut na wao?.
Walikuwa Wayahudi kwa Dini na Kabila.
Kumbuka Yesu alikuwa Myahudi kwa Dini na myahudi kwa kabila.
Kama ni hivyo je wapili ni bi hadija naye ni kamili na utekelezaji wa wahy kuliko maswahaba wa kiume ?🙄🙄🙄Al Qurtubu anasema ni wa kwanza kwa utiifu na kamili na utelekezaji wa wahyi
Naam ni umma wa Muhammad ambao ni Waislamu wa sasaKama ni hivyo kwa nini alisema wayahudi na wakristo...kasome tena dini yako inaelekea unatatizo la ufahamu