DOKEZO Wanafunzi wanaagizwa kupeleka matofali ikiwa kama adhabu wanapofanya makosa shuleni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Braza nimekueleza humu wengi ni walimu tegemea kupata upinzani. Huyo unayemjibu ni Mwalimu wa shule ya msingi.

Mimi nachokueleza ni hivi mpigie simu huyo mwalimu au mfuate, mwambie hiko kitu hakipo utaona jinsi atavyokua mpole. Wanawafanyia hivyo wakijua hamuwezi kuuliza, Ila ukianza kuuliza watajua huyu ni mjanja kashtuka.
 
Kaa nae kwako mtoto wako umfungulie shule yako
 
Ndio mwongozo unavyosema mwanafunzi atoe pesa akifanya kosa? Tena kosa la kutokusanya daftari?
Bei ya tofali unaijua? Huyo mtoto anapata wapi 5000 tshs za kwenda kununua tofali na kuzileta shuleni? Au mmekula hela za ujenzi mnatafuta pa kuijazia?
Mchukue kaa nae kwako
 
duh mbona chuki zitaliua bara la afrika , hatuez pembua akili vzr ,na hawa watoto wakiwa viongoz na wao wanaweka tozo bila kujali maoni ya wengine kisa hata yeye alipitia msoto
 
Mchukue mpeleke kwenye shule yenu ya ukoo
 
Huo ni ujuha wa walimu.
Walimu wengi ni wapumbavu
Nikiwa nasoma O -level mwalimu wetu wa mathematics alikuwa Mmarekani, ukifanya mistake adhabu zake ni very simple sema tu utaona aibu kesho lazima ujitahidi.
Jamaa mara nyingi wale waliopata below au kutokufanya zoezi anawatoa nje mnakimbia mchakamchaka pamoja naye dk 15.
Bongo yaani mwalimu anaamuru wanafunzi wawazomee watatu walioshika mkia bila kuangalia reasons behind.
Hii kada bongo imeshikiliwa na vilaza
 
Jamaa anachekesha Sana.
Wengine tofali tushapigaga Sana kama 200 alafu Sisi wengine Bora adhabu kulipo kuchapwa[emoji4][emoji4]
duh unaandikq ujinga ila hujui kuwa ni ujinga nq mkitoka hapo mnasema viongoz wenu wabovu kumbe wamezoea maisha ya kukandamizana tangu utotoni , shule ni pa kujifunzia mazur na sio kujifunza umwiny
 

Na wewe soma comment uelewe legeza fuvu
 
Hizo tofali wanajenga nazo madarasa then msigwa anapost anasema tozo zajenga madarasa
 
Nenda kaishi huko Marekani
 
Kama tofali zitatumika kuendeleza miundo mbinu ya shule. Naunga hoja
 
duh unaandikq ujinga ila hujui kuwa ni ujinga nq mkitoka hapo mnasema viongoz wenu wabovu kumbe wamezoea maisha ya kukandamizana tangu utotoni , shule ni pa kujifunzia mazur na sio kujifunza umwiny
Yes.
Eti mtu anajisifia kutendewa ujinga.
 
Toa pesa wewe ili uzio wa shule ukamilike, na mtoto wako asome katika mazingira salama. Elfu 3 tu ya matofali, unalalamika!!

Unategemea hii serikali yako ya tozo itakufanyia kila kitu, bila ya kujiongeza! Ingekuwa hizo hela zinaliwa na hao walimu, sawa! Ila kama huo utaratibu ulipitishwa na bodi ya shule! Basi utaishia tu kuugulia maumivu.

Toa hela ya tofali aisee!! Na hili jambo nitalisimamia mpaka nahakikisha umelipa hiyo hela. Kwa taarifa yako, Mimi ndiye mwenyekiti wa bodi ya hiyo shule anayosomakijana wako mtukutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…