Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

Una ushahidi gani mkuu?
Nimesikia lugha mkuu. Ni kama wanaongea na kuchanganya ''pigeon english'' ya West Africa. Nisikiliza kwa haraka haraka hivyo naweza nisiwe correct. Nikipata muda nitarudia kwa utulivu.
 
Nimejisikia uchungu...
 
Wewe mbona ni shoga na hujachapwa viboko?

Pathetic.
 
Analyzing yangu picture inasema kila kitu, 1. hapo sio bongo na 2. hiyo ni rangi ya nguo ya kijani na njano sio Yanga 3.Adhabu ya kimila, na 4. itakua ina husiana na ngono kwa hilo waafrika tupo serious sana.
Hata kama siyo Tanzania kumfunga kamba binti mdogo na kumpiga kwa kumchangia ni ukatili.

Ulivyo pumbavu unasema eti waafrika tupo serious kuthibiti ngono?

Wewe utakuwa na utapiamlo akili yako haifanyi kazi sawa sawa.

Shenzi kabisa
 
Wewe juha unajiita goodhearted?

Umesoma ulichoandika?

Wewe nani alikuharibu hadi ukanza kugawa 0?

Shenzi kabisa
 
Mmefika wapi?
 
Una ushahidi gani mkuu?
Nmesikiliza tena. Inaonekana ni Tanzania maeneo ya kusini, kuzunguka ziwa Nyasa au Malawi. Hiyo english wanapenda sana kuitumia wanyasa. Kama nimesikia na maneno kidogo ya kiswahili. Neno ''mia moja'' ''mwache kwanza'' ni kama nimeyasikia.
 
Sio kanda ya Ziwa mkuu. Nimewshirikisha wamekataa. Halafu hii sio ile ya mwaka jana. Hii ni nyingine. Ile ya mwaka jana ilikuwa ya kanda ya Ziwa na wahusika walikamatwa na kuadhibiwa.
Kumbe wale kima walidakwa?
Basi hii ni nyanda za juu kusini labda
 
Zuri sana hii hasa kwa wale wanao
1. Wasaliti kwenye ndoa
2. Mashoga
 
Kwanini usingefuatilia kwamba ni mkoa gani ukawa na details za kutosha ndo upost mtandaoni? Huoni kama wewe ni miongoni mwa makatili kwa kupost video ya kumdhalilisha binti? Serikali ikukamate wewe kwanza uisaidie polisi
 
sema viboko vimezidi idadi hapo wamekosea nimeshawahi kutukaniwa mama yangu na vibinti vya vya form two vinatoroka shule kisa nimeuliza mbona mnatoroka shule asee nilitamani niue mmoja hapo hapo
 
sema viboko vimezidi idadi hapo wamekosea nimeshawahi kutukaniwa mama yangu na vibinti vya vya form two vinatoroka shule kisa nimeuliza mbona mnatoroka shule asee nilitamani niue mmoja hapo hapo
Haya matoto ya sikuhizi nidhamu zero kabisa , kwanza hata kupigwa wanapigwa basi ,au kuguswa tu ?
Watu hawajui maudhi ya hiki kizazi cha 2000 na kuendelea ,unaweza ua kabisa

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usingefuatilia kwamba ni mkoa gani ukawa na details za kutosha ndo upost mtandaoni? Huoni kama wewe ni miongoni mwa makatili kwa kupost video ya kumdhalilisha binti? Serikali ikukamate wewe kwanza uisaidie polisi
Nipe vifaa vya kiintelejensia vya polisi, nipe usafiri, nipe cheo cha ukachero na nilipe mshahara nifanye hiyo kazi chap
 
Haya matoto ya sikuhizi nidhamu zero kabisa , kwanza hata kupigwa wanapigwa basi ,au kuguswa tu ?
Watu hawajui maudhi ya hiki kizazi cha 2000 na kuendelea ,unaweza ua kabisa

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Wewe mtu una roho mbaya sana. Sasa huko ni kupigwa au ni kutwezwa. Usiwe na roho ya kishetani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…