Wanafunzi watatu UDOM wafariki katika ajali ya gari

Poleni sana ila Madreva wa magari ya Serikali hasa V8 Jiji la Dodoma.Wanalalamikiwa sana kwa kuendesha kwa kasi na overtake mbaya.Mh Rais Samia Suruhu Hassan awakeme wamekuwa chanzo cha ajari nyingi.
... wamekutana viburi. Wote V8 na bajaji are the worst drivers everywhere in this country. Funny enough, ni kama wameshindikana au wana kinga ya sheria za barabarani.
 
Kumbe ndiyo maana hii taarifa haijajitosheleza! Kumbe kuna v8 ndani doh!
 
izo v8 na gari nyingi za serikali huwa wao "rule of law "haziwahusu?

Wataua na kufa sana ikiwa wasimamizi wa sheria wao hawazitii tuache ulimbukeni.
 
Poleni sana ndugu zangu wa UDOM.
 
Hakuna madereva wa hovyo kama wanaoendesha V8 za serikali. DFPs, STK, STLs STMs na Yerpi Merkez. Wanaovertake hovyo na wanakimbiza magari bila kuzingatia alama za barabarani.
Tukiangalia kwa ufasaha utakuta wana records nyingi za ajali
 
Fortunata naye hatunaye tena[emoji25][emoji29][emoji24]
 
So sad may there soul rest in paradise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…