Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa taarifa Kwa usahihi kama huna fatilia ndo utoe,,ni hivi wanabodi,,Jana tarehe 4 june,jumamosi wanafunzi walikuwa wanatoka kwenye graduation ya dini CASFETA,walikuwa wamepanda bajaji kutoka Dodoma mjini kwenda udom "COED" bajaji ilikuwa imewabeba watu jumla 8,kama mnavyojua wanachuo hua wanabebana,nyuma wanaingia 5 mbele 2, na dreva 1,jumla 8,walipofika karibu na mwisho wa lami kama unaelekea block T, gari linalosemekana V8,(Sina uhakika kwenye gari)ndo likawangonga uso Kwa uso ,mida ya saa Moja hv,wakafariki wanachuo 3,na dreva mmoja , waliofariki wote ni 3rd yr,,RIP
Poleni Wana UDOM, lakini tujifariji kwakuwa ndugu zetu hawa walikuwa wanatoka kwenye tukio linalohusu mambo ya imani (nadhani ya Kikristo), hivyo katika uhai wao angalau walimjua Mungu. Kwa maneno haya, na sisi tuliobaki tujifunze kuwa hakuna aijuwae baadae yake (sio kesho yake), kwa hivi tunapaswa kujiweka tayari muda wote! Hawa ndugu zetu vwalitoka kwenda kwenye mahafali wakitegemea jioni watakuwa chuoni, lakini ya Mungu mengi, amewaita. Hakuna anayejuwa ataitwa kwa mtindo gani, lakini lazima uitike ukiitwa. Sasa swali; je tutakuwa tayari tukiitwa kwa namna yoyote?Toa taarifa Kwa usahihi kama huna fatilia ndo utoe,,ni hivi wanabodi,,Jana tarehe 4 june,jumamosi wanafunzi walikuwa wanatoka kwenye graduation ya dini CASFETA,walikuwa wamepanda bajaji kutoka Dodoma mjini kwenda udom "COED" bajaji ilikuwa imewabeba watu jumla 8,kama mnavyojua wanachuo hua wanabebana,nyuma wanaingia 5 mbele 2, na dreva 1,jumla 8,walipofika karibu na mwisho wa lami kama unaelekea block T, gari linalosemekana V8,(Sina uhakika kwenye gari)ndo likawangonga uso Kwa uso ,mida ya saa Moja hv,wakafariki wanachuo 3,na dreva mmoja , waliofariki wote ni 3rd yr,,RIP
Kifo miyeyusho sana, taking care ni bora ssna maana ukivuta huku maisha yanasonga kama kawaida.Daah kuna waliopanga kuoana lakn ndo basi tena , kifo miyeyusho sana
Najiskia kulia..Mungu atusaidie kwakweliInatia simanzi, binti mmoja yupo ICU anapigania uhai wake.. ameharibika miguu yote miwili.. ni huzuni nimeumia sana
Inasemekana dereva alikua amelewa wa V8RIP kwao, je gari ni aina gani? Je kisababishi cha ajari ni nini? Je mmiliki wa gari ni nani?
kukemea kwa style hile ya na nyie madereva muache kuendesha kwa fujoPoleni sana ila Madreva wa magari ya Serikali hasa V8 Jiji la Dodoma.Wanalalamikiwa sana kwa kuendesha kwa kasi na overtake mbaya.Mh Rais Samia Suruhu Hassan awakeme wamekuwa chanzo cha ajari nyingi.
Na ma. V Eite pia yapo juu ya. SheriaBajaji hazifati taratibu kabisa,
Na bodaboda ndio usiseme
Very sadToa taarifa Kwa usahihi kama huna fatilia ndo utoe,,ni hivi wanabodi,,Jana tarehe 4 june,jumamosi wanafunzi walikuwa wanatoka kwenye graduation ya dini CASFETA,walikuwa wamepanda bajaji kutoka Dodoma mjini kwenda udom "COED" bajaji ilikuwa imewabeba watu jumla 8,kama mnavyojua wanachuo hua wanabebana,nyuma wanaingia 5 mbele 2, na dreva 1,jumla 8,walipofika karibu na mwisho wa lami kama unaelekea block T, gari linalosemekana V8,(Sina uhakika kwenye gari)ndo likawangonga uso Kwa uso ,mida ya saa Moja hv,wakafariki wanachuo 3,na dreva mmoja , waliofariki wote ni 3rd yr,,RIP
Vietee yagonga na kuua wanachuo UDOM.Toa taarifa Kwa usahihi kama huna fatilia ndo utoe,,ni hivi wanabodi,,Jana tarehe 4 june,jumamosi wanafunzi walikuwa wanatoka kwenye graduation ya dini CASFETA,walikuwa wamepanda bajaji kutoka Dodoma mjini kwenda udom "COED" bajaji ilikuwa imewabeba watu jumla 8,kama mnavyojua wanachuo hua wanabebana,nyuma wanaingia 5 mbele 2, na dreva 1,jumla 8,walipofika karibu na mwisho wa lami kama unaelekea block T, gari linalosemekana V8,(Sina uhakika kwenye gari)ndo likawangonga uso Kwa uso ,mida ya saa Moja hv,wakafariki wanachuo 3,na dreva mmoja , waliofariki wote ni 3rd yr,,RIP
Ukiwa hapa Afrika, hatupendi ukweli.Shetani ana-take advantage kwenye ujinga mara nyingi
Hawa ni wasomi wajinga baadhi yao wamefariki.
Sorry kwa kauli hii ila ndio ukweli
Poleni wafiwa.
Majeruhi mpone haraka muache ujinga.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Dah!R.I.PToa taarifa Kwa usahihi kama huna fatilia ndo utoe,,ni hivi wanabodi,,Jana tarehe 4 june,jumamosi wanafunzi walikuwa wanatoka kwenye graduation ya dini CASFETA,walikuwa wamepanda bajaji kutoka Dodoma mjini kwenda udom "COED" bajaji ilikuwa imewabeba watu jumla 8,kama mnavyojua wanachuo hua wanabebana,nyuma wanaingia 5 mbele 2, na dreva 1,jumla 8,walipofika karibu na mwisho wa lami kama unaelekea block T, gari linalosemekana V8,(Sina uhakika kwenye gari)ndo likawangonga uso Kwa uso ,mida ya saa Moja hv,wakafariki wanachuo 3,na dreva mmoja , waliofariki wote ni 3rd yr,,RIP