Wanafunzi watatu UDOM wafariki katika ajali ya gari

Daah! Pole kwa ndugu jamaa na marafiki.
 

Duh! Bora umeielezea vizuri...

Kuna funzo hapo la namna ya uchukuzi unaofanywa kwenye Bajaj ambayo imekuwa designed kubeba abiria wawili tu...
 
Pole nyingi kwa majeruhi na wote walioguswa na msiba huu
 
Poleni Wana UDOM, lakini tujifariji kwakuwa ndugu zetu hawa walikuwa wanatoka kwenye tukio linalohusu mambo ya imani (nadhani ya Kikristo), hivyo katika uhai wao angalau walimjua Mungu. Kwa maneno haya, na sisi tuliobaki tujifunze kuwa hakuna aijuwae baadae yake (sio kesho yake), kwa hivi tunapaswa kujiweka tayari muda wote! Hawa ndugu zetu vwalitoka kwenda kwenye mahafali wakitegemea jioni watakuwa chuoni, lakini ya Mungu mengi, amewaita. Hakuna anayejuwa ataitwa kwa mtindo gani, lakini lazima uitike ukiitwa. Sasa swali; je tutakuwa tayari tukiitwa kwa namna yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kuna waliopanga kuoana lakn ndo basi tena , kifo miyeyusho sana
Kifo miyeyusho sana, taking care ni bora ssna maana ukivuta huku maisha yanasonga kama kawaida.

Too sad
 
Habari yenyewe haijajitosheleza,gari aina gani iligongana na bajaji,namba za gari na bajaji,majina ya madereva wote,wa Bajaji Na gari.
 
Poleni sana ila Madreva wa magari ya Serikali hasa V8 Jiji la Dodoma.Wanalalamikiwa sana kwa kuendesha kwa kasi na overtake mbaya.Mh Rais Samia Suruhu Hassan awakeme wamekuwa chanzo cha ajari nyingi.
kukemea kwa style hile ya na nyie madereva muache kuendesha kwa fujo
 
Very sad

Viatu vya wazazi huwezi kuvivaa.

Rest well akina mjukuu
 
Vifo vimeongezeka sana isee, kila siku kuna taarifa za vifo
 
Vietee yagonga na kuua wanachuo UDOM.

POLE SANA KWA FAMILIA
 
Shetani ana-take advantage kwenye ujinga mara nyingi
Hawa ni wasomi wajinga baadhi yao wamefariki.
Sorry kwa kauli hii ila ndio ukweli
Poleni wafiwa.
Majeruhi mpone haraka muache ujinga.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Shetani ana-take advantage kwenye ujinga mara nyingi
Hawa ni wasomi wajinga baadhi yao wamefariki.
Sorry kwa kauli hii ila ndio ukweli
Poleni wafiwa.
Majeruhi mpone haraka muache ujinga.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukiwa hapa Afrika, hatupendi ukweli.

Ila baadhi ya vifo ni uzembe, mbona wenzetu wana rate kubwa ya wanaozeeka, sio bahati mbaya wanachukua tahadhari ya vitu vidogo vidogo ambavyo wanavimudu.

Mimi huwa nasema lifestyle yako, unakikwepa kifo ila uwezi jua ni points gani ilikua unakufa ukakikwepa.
 
Dah!R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…