Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Shida ya vijana weng wetu kutokusoma ku ji equip tu na areas of specialisation. Mtu ana desea tu madesa bas kamaliza.ukiyumbisha tu dishi hola.angalia answering sheet za watoto UE waliotoa vivd examples wachcache sana. Weng pia sisi ni waviv kusoma.
 
Kwanza umkute hata na gazet tu la mfano the citizens katulia huwez kwanza anaona jau.hakuna kusoma kabisa kabisa.unakuta mtu anasoma topic flan kwenye course.hio course tyar ina pioneers kibao washafanya research serikal pia iba deal na hio kitu.mtu kwenye pepa analeta examples zile zile za kwwnye madesa.sasa unashangaa ina mana hajaweza hata kuelewa
 
Mkuu sijapanga interview iwe ya aina gani nacho uliza hapa ni uhalali wa kutumia kigezo kimoja kufanya generalization ya dhana nzima ya kitu wakati sio sahihi

Wengine wanaweka interview za kijinga lengo sio kupata fresh bali kulinda vibarua vyao

Walinde vibarua vyao vipi na amekwambia wanachukua vijana wapya kutoka chuo. Unadhani huyo atakuwa threat kwa nafasi gani katika taasisi.

Mwenzako amekwambia changamoto za watu kushindwa kufanya analysis za mambo.

Ndiyo maana mkaambiwa mpewe elimu ya katiba kwa miaka 3 [emoji3][emoji3], maana uelewa wenu ni changamoto. Kila siku mnailaumu serikali haifanyi mambo mema kumbe ni kushindwa kuelewa.
 
Mkuu umemaliza IAA mwaka gani?
 
Waajiri wengi Bongoland ni wenye hulda na roho mbaya,hili lipo dhahiri.waliomba wapewe list ya top vipanga na chuo kiliwapa walicho hitaji,sikuona umuhimu wa mleta mada kufanya generalization kwa machaguo Yao wenyewe.

Kufanya analysis kila mtu anaweza lakini jambo muhimu unatakiwa kutambua uwezo wa kila mmoja katika kufanya hiyo analysis sio kwa kiwango unacho taka wewe kiwe ndio maana huwa Kuna kuwa na more na less.

Pia wewe unae fahamu kufanya analysis umetoa hiyo Elimu kwa watu wangapi ili wajue kufanya hiyo analysis ?

Niambia huyo mwajiri kwa kutumia kigezo kimoja kufikia hitimisho kwamba watu hao ni wajinga,alitumia akili au hisia zake binafsi ?

Kuhusu katiba kwanza unatakiwa utambue kuwa sio kila mtu anaweza kusoma na kuelewa katiba,hivyo ni wajibu wa wale wachache wenye kujua katiba kiundani kutoa elimu kuhusu katiba.

Niambie sasa wewe mwenye kuijua katiba umesaidia watu wangapi wasio jua katiba kuelewa katiba ?
 
Mmoja wa hao waathirika huyu hapa. Ona yeye anasuburi kukaririshwa habari za kuchambua habari ndiyo aweze kujibu swali kama hilo. Haoni uhusiano wowote na hajui maana ya

''reasoning and cognitive skills''

Huwezi tumia kigezo kimoja kuhitimisha ujinga au akili ya mtu,na kosa hili ndio amefanya mleta mada.

Na wewe unaye jigamba hapa na skills zako na uwezo wako wa reasoning,naona ni kujisifu na hazija weza kukusaidia lolote.
 
Pamoja na kuwa mimi sijasomea hayo ya uchumi
Ila hiki kigezo kilichotumika naweza kusema hakikutosha kumjudge mtu kuwa anaweza au hawezi.
Ulitakiwa uwape na task nyingine inayo endana moja kwa moja na walichosoma
Sasa hiyo kazi ya kuchambua magazeti naona kama ni kazi inayo hitaji skills nyingine ambayo inafundishwa huko kwa waandishi wa habari
 
Ndio maana mnaambiwa mpo empty,kwa hiyo mnataka kuulizwa yaleyale mliofundishwa darasani?yaani nyie bongo zenu haziwezi kuwaza nje ya box?bure kabisa
Wapo empty kichwani waliweza kufaulu mitihani na kuwa top scholars wa chuo ?kuwaza nje ya box ndio kunathibitisha ujinga wa mtu au akili ya mtu? Ni kwa namna gani ?

Mtu mwenye akili timamu hawezi tumia kigezo kimoja kufanya ubainifu wa ujinga na werevu wa Mtu na mwisho kuja na hitimisho la kijinga kama la mleta mada.
 
Hii tulishakubaliana hao wenzio ni vilaza mjadala ulishafungwa mwaka Jana.
 
Wewe nawe ndio hao hao wapumbavu wenyewe kazi kukariri tu notes za mwalimu..Mie nilishawahi sema kijana wa miaka 10 wa ulaya au marekani anayazidi akili na uchambuzi hayo mavilaza ya vyuo hapo mengi tu.
Wewe mwenye akili ambaye,ulikuwa haukariri notes za Mwalimu tuambia hapa umetumia hiyo Elimu kusaidia jamii yako yenye kukariri katika mambo yapi ?

Kufananisha vijana wa Ulaya na America dhidi ya vijana wa Kiafrika na kufika hitimisho la kuwa walio Ulaya na America Wana akili zaidi kuliko wa Afrika umetumia kigezo gani?
 
Vijana wa siku hz ni wa ovyo sana. Tulipofikia, ni vigumu kutofautisha kati ya kijana msomi na ambaye hakwenda shule kabisa. Ukiwakuta sasa wakibishana kuhusu Yanga na Simba......
 
Graduates wengi wamekuwa hamnazo!! Inabidi serikali iingilie kati la sivyo miaka ijayo tutakuwa na bunge la hovyo sana!!
Qualification ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika,inaingilianaje na graduates?
 
Hii tulishakubaliana hao wenzio ni vilaza mjadala ulishafungwa mwaka Jana.
Mkuu heshima kwako,hii ni JF ,hizo fikra na mawazo ya kusema mlikubalina kuwa ni vilaza mlikubalina na nani kwa kupitia njia ipi ?

Mijadala ni kama jinai kwenye field ya sharia haifi (kama nimekosea naweza elimishwa).
 
Huwezi kuwa na reasoning kubwa kama elimu yako haikujikita kwenye mazingira yako. Hata ukawa na madigrii miatano. Mzungu anaiba fedha kwao nakuja kuwekeza Africa na fisadi msomi wa Afrika anaiba fedha na kwenda kuziweka kwenye benki za ulaya zikae tu.
 
Ukubali, ukatae, nyie vijana wa siku hz mna urlewa mdogo sana wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…