Ultimate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 739
- 1,888
- Thread starter
- #161
Mimi kama Mchumi nimesoma huu Uzi kwa makini sana,na kweli mtoa mada kampuni yanu ilitoa usahili mzuri tena mzuri sana kwa Wachumi hao-na hizo ndio kazi halisi za Wachumi kufanya uchambuzi wa kiuchumi.
Tatizo mnaangalia uwezo wa darasani tu! Kumbuka kuwa wanafunzi wengi Wana akili ya kukariri ili wajibu mitihani wafaulu, lakini tukija kwenye swala la uchambuzi ktk uhalisia wa alichojifunza darasani kwake ni zero!
Nadhani hata nyie mjifunze, sio Kila mwenye amefaulu darasani ana akili. Wengi waaufaulu wa michongo tu! Sie tuliopo chuo tunasoma nao ndo tunajua fulani kafaulu vp na kwa njia zipi tofauti na Jao walimu wanaoangalia marks tu
Usijifanye mjuaji unajiaibisha!! Unajua covnitive skills ni hatua ya ngapi katika uelewa?
Hii ni chai. Unapomuambia mtu achambue/aorodhesha habari za kiuchumi kwenye gazeti bila kumuambia idadi, hapo mpuuzi ni nani?
Roho mbaya tu!! Maisha sio magumu kiasi hicho then muanza kuwalipa kiduchu ,acheni kukaza vichwa
Assume mnaitaji mchumi ambae anatumika ku forecast labda supply & demand, sales au price ya bidhaa husika based on data kwa quatre ya 3 2023, kama huyu hawezi kujua visababishi vya inflation au exchange fluctuation estimation zake zitakua sio bias???
Labda tuna import bidhaa, kama hawezi kujua ni nini kinafanya shilling kupungua thamani atatushaurije mda gani wa ku import na mda gani si wa ku import ile tuwe benefited na foreign exchange??
Baadhi kuna baadhi darasani walikua wameiva mtu unamuuliza kuna tofauti gani logit na probit model anajua, unampa graph unamuuliza upi kati ya huo ni stationery au non stationery process anajua anakupa na sababu
Mtu unaona kabisa tukimpa miezi 6 ya kujifunza anaweza kusaidia