Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

Akitaka kutengeneza mfumo wa HR au procurement management atafanyeje wakati hajasomea hayo mambo?
 
Hata nyie waajiri ni wajinga tena vilaza wa kutupwa kama si washamba!!

Eti mkaagiza chuo flan wawape list ya wanafunzi bora kabisa ili muwaite na blah blah kibao wewe huna lolote ni chuki na husda zidi ya waliosoma imekutawala...
 
Tatizo mnaangalia uwezo wa darasani tu! Kumbuka kuwa wanafunzi wengi Wana akili ya kukariri ili wajibu mitihani wafaulu, lakini tukija kwenye swala la uchambuzi ktk uhalisia wa alichojifunza darasani kwake ni zero!

Nadhani hata nyie mjifunze, sio Kila mwenye amefaulu darasani ana akili. Wengi waaufaulu wa michongo tu! Sie tuliopo chuo tunasoma nao ndo tunajua fulani kafaulu vp na kwa njia zipi tofauti na Jao walimu wanaoangalia marks tu
 
Kama magazeti yamewashinda kuchambua, data ndo wataweza?

Wewe nae huna reasoning and cognitive skills
Usijifanye mjuaji unajiaibisha!! Unajua covnitive skills ni hatua ya ngapi katika uelewa?
 
Kama magazeti yamewashinda kuchambua, data ndo wataweza?

Wewe nae huna reasoning and cognitive skills
Usijifanye mjuaji unajiaibisha!! Unajua covnitive skills ni hatua ya ngapi katika uelewa?
 
Shida ni mfumo wA Elimu, Kwa maana ya Mtaala hauruhusu kufikiri, isipokuwa uwezo wa kumbuka ndiyo kipimo Cha akili. Ukiweza kukariri hapa bongo utafanya vizuri Sana. Elimu imekuwa paper oriented
 
Nimekubali [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Shida ni mfumo wA Elimu, Kwa maana ya Mtaala hauruhusu kufikiri, isipokuwa uwezo wa kumbuka ndiyo kipimo Cha akili. Ukiweza kukariri hapa bongo utafanya vizuri Sana. Elimu imekuwa paper oriented
Ukienda kwenye interviews wanataka ujibu maswali kutoka kichwani mwako. Ukifaulu wakakupa kazi, ukikwama kidogo unaruhusiwa kujikumbusha kupitia Google na sio fresh from your brain.
 
Hii ni chai. Unapomuambia mtu achambue/aorodhesha habari za kiuchumi kwenye gazeti bila kumuambia idadi, hapo mpuuzi ni nani?
 
Tusiwalaumu wanafunzi. Shule zinazowaandaa toka chini ni magumashi matupu. Mfano, mtoto wa darasa za sita anaenda shule saa 12 asubuhi na kuanza kusoma saa 12 na nusu. Anatoka saa mbili usiku. Nachojiuliza wanasoma nini?
Shule gani hizi ambazo wanajitanabai kwa kupata ufaulu wa wanafunzi wote, ila walioelimika ni kiduchu tu?
Huku duniani, dunia haina huruma na mtu asiyependa kutafuta maarifa na kuondoa ujinga. Hakuna mbadala
 
Roho mbaya tu!! Maisha sio magumu kiasi hicho then muanza kuwalipa kiduchu ,acheni kukaza vichwa
 
Wewe nawe ndio hao hao wapumbavu wenyewe kazi kukariri tu notes za mwalimu..Mie nilishawahi sema kijana wa miaka 10 wa ulaya au marekani anayazidi akili na uchambuzi hayo mavilaza ya vyuo hapo mengi tu.
 
Nilifaulu aptitude test ya CRDB mwaka 2014 kisha nikaja kufeli ya Exim Bank mwaka 2019. Mimi unaniweka kundi gani? Kilaza au intelligent?
 
Kwani ni lazima kila kitu ufundishwe chuoni?

Vitu vingapi unafanya mitaani na hujawahi fundishwa popote pale?

Hayo mengine ndo skills tunazozisema hapa.
Mtaani wanafundisha kuchambua habari za uchumi kwenye magazeti? Mtaani gani huo niende mkuu?
 
kisa mafunzo chako sio toshelezi kwa aina ya ukosoaji wako, ukishapata ambacho hukuwa nacho unaona wasio nacho si kitu hujui wewe ulitoka wapi na visa mafunzo nyakati za shule havitoshi. yote kwa yote ni changamoto nzuri ya kuibua tafakuri zaidi
 
Ndio maana mnaambiwa mpo empty,kwa hiyo mnataka kuulizwa yaleyale mliofundishwa darasani?yaani nyie bongo zenu haziwezi kuwaza nje ya box?bure kabisa
 
Wewe si unaona hao hawana kitu nenda upewe mitihani yao uone utapata ngapi, kitu unasoma darasani ni tofauti na unachokutana nacho field mngeenda nao taratibu

Darasani wanafundishwa theory, inakuaje izo theory una fail ku zi implement kwenye mazigira ya kawaida??. Sasa inakua na maaana gani darasani unapata 90+ alafu kuzi apply unapata 20 ?? Hapa si elimu nayo inakua imeshidwa kuku-komboa
 
Ifike mahala hii mifumo ya Elimu inayotolewa sasa hivi ibadilishwe.

Idadi ya wasomi inaongezeka lakini ajira ni zilezile tu.

kila kitengo kingefundisha sio kwa kukalili kwa ajili ya kujibu mihani tu bali ni kujiandaa kuna maisha baada ya kuhitimu.

kila kitengo kina umuhimu wake endapo kutakua na usimamizi mzuri bila kuangalia jinsia au huyu mtoto wa nani.Endapo kutazingatiwa hakuna mtu atakayetamani akimbilie siasa.

Unakuta mtu kasomea udaktari anaona haulipi anakimbilia siasa, kuna baadhi ya viongozi wa dini pia wengine wapo kwenye siasa wengine wamejifunza enginearing lakini wamekimbilia siasa.

Hapo ndio tatizo na hii yote kutokana na ukosefu wa teknojia na miundo mbinu hali ya kua tuna kila lakini sasa hivi mtu bila kua mwanasiasa anaona hajapatia.

Zifanyike jitihada kuwaandaa vijana kuna maisha sio lazima waajiriwe kuliko kutegemea ukishasoma upate ajira tunapoelekea ni kubaya sana kama hakutanyiwa maboresho katika Elimu yetu.

Yaani ni kitu cha kawaida sana na ni hatari mno hii hali unakuta asubuhi tu mtu unamkuta anakunywa pombe (kumwagilia moyo) badala ya kufikiria afanye vipi ili ajinusuru na ukosefu wa ajira.Akijifanya anakunywa pombe kuounguza mawazo wakati hajui anajiongezea gharama ya kuja kutibu maini baada ya kuathirika na unywaji.

Vijana wawezeshwe wapewe Elimu za ujasiriamali vijengwe wiwanda vidogo vidogo tuwe na uwezo wa kuuza vitu nje kama wachina wanavyotuletea wao.Hilili halishindikani kama litafanyiwa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo kuna theory za kiuchumi sijazielewa ndo mje mniulize kwny kadamnasi naanzaje kuzijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…